Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Sina haja ya salamu! Nyie akina baba, nyie vijana, nyie wenye tabia ya mazoea ya ovyo ovyo na vibinti, mnachokitafuta mtakipata. Wewe ni mwalimu na unafundisha? Safi, maliza muda wako wa kazi...
12 Reactions
53 Replies
3K Views
Wakuu habari Kuna binti mmoja nilikuwa namfukuzia mwezi wa nne sasa, ni mdada anafanya kazi badarini Field ya shipping. Lakini Jana nimeongea nae kwa Simu kwa mara nyingine Nikamwambia namuhitaji...
1 Reactions
5 Replies
348 Views
Habari mabibi na mabwana...nilikuja kuomba ushauri hapa juu ya zawadi niliyomnunulia mpenzi wangu. Kiukweli wengi walinipa possitive feedback. Kiukweli zawadi nilimkabidhi na nashukuru sana...
16 Reactions
133 Replies
7K Views
Habari wakuu? Iko hivi,jana around saa 3 usiku EAT nimetua nchini kutokea huko duniani ambako nimekua nikiishi for sometimes. Kabla sijaja bongo, nilikua na misunderstanding ndogo na wife kuhusu...
9 Reactions
65 Replies
3K Views
Merry Xmass, Naamanisha kila mtu anamawazo yake kuhusu mtu Fulani kajiwekea mtu Fulani ni handsome , au beautiful anakula vitu amazing na kadhalika je wewe unamuona nani wakitofuati kwako? Mie...
20 Reactions
680 Replies
20K Views
Husika na kichwa cha habari, Napenda tuzungumze kiroho zaidi na Sitataja watumishi hapa majina. Ila nataka tujadili kwa kila ambaye ameona au kusikia changamoto ambazo zinawapata hawa watumishi...
7 Reactions
97 Replies
4K Views
Hiyo issue ilitokea 5 years ago kwa kaka yangu, baba na mama mmoja. Baada ya kumaliza chuo nikapata kikazi cha kujishikisha katika hospital karibu na anaposhi broo wangu, kaka yangu alijua kabisa...
52 Reactions
83 Replies
10K Views
Kwa ufupi 35: Umri wa bwana harusi Ally Kimbunga. 60: Umri anaotajwa kuwa nao bibi harusi Asha Abdallah ‘Binti Dulla’. Dar es Salaam. Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ndivyo unavyoweza kusema, baada...
5 Reactions
97 Replies
11K Views
Ama kweli tenda wema nenda zako, na leo yamenikuta, ni miaka mitano sasa tokea nilipomchukua, mke wangu na mdogo wake, ambae ni wa kike, tukaishi kwa upendo na amani, huyu mdogo wake nilimchukulia...
18 Reactions
112 Replies
6K Views
Ni hivi wakuu, Mwezi huu katkati aliniomba nnapofunga nimpitie kazini kwake nimpe lift hana ela ya nauli, nikasema sawa. Baada kumpitia akaomba nimpitishe na dukani kwake Kuna mwavuli wake...
5 Reactions
51 Replies
4K Views
Wananzengo habari zenu kwa ujumla. Jamani sijui ni mimi tu au kuna wenzangu wenye wishes kama zangu kwenye sex fantansy? Unajua kuna vitu vingi huwa tuna-wish kwenye suala zima la kufanya...
16 Reactions
72 Replies
6K Views
Jamani mimi nachoka na hawa wanaume anakutongoza asubui jioni anapiga simu anakuhitaji jamani Yani hata kumfikilia tu unakuwa bado eti anataka tunda jamani haya Mambo ni hisia labda kwa wale...
21 Reactions
259 Replies
15K Views
Hili nalo lakutazamwa wajameni. Mmeoana jamaa yupo sawa na speed yake unaielewa, imetokea bahati mbaya kaumwa na magonjwa haya jamani kama mnavyoyaelewa mara sukari, mara presha looo! unakuta...
2 Reactions
3 Replies
425 Views
Habari za wakati huu wana JF. Baada ya kupitia ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara nimegundua visa vingi vimejengeka katika mazingira yanayohusisha matumizi ya vilevi. Hivi sababu ni nini...
4 Reactions
56 Replies
8K Views
Wanaume wenzangu nasisitiza iwe jua au mvua usiku au mchana iwe bara au visiwani usijaribu kukiri kosa la uchepukaji kwa mkeo hata siku moja. Eti anakuta tu sms kwenye simu yako unakiri kweli...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Hali zenu, Hivi unajua kua kila mwanamke anauwezo wa kuifanya ndoa yake idumu au ianguke, kuimarisha au kuidhoofisha. Sasa leo nataka nikupe experience ya mambo ambayo itasaidia kuijenga na...
44 Reactions
491 Replies
105K Views
Dada zangu kwann mnawapenda sana wanaume wahuni wanaume kama sisi type ya dunga mawe a.k.a nagwa? Kuna mademu mtaani kwangu wananikubali sana japo wanajua mimi mhuni mfano mwingine kuna jamaangu...
12 Reactions
76 Replies
5K Views
Wajumbe leteni habarii! Twende moja kwenye mada.Inasikitisha sana kuona mume anatoka bila kujua kinachoendelea nyumbani ikiwamo mahitaji ya ndani hususan yahusianayo na chakula.Hayo yanayohusu...
1 Reactions
15 Replies
454 Views
NALIA NGWENA The left foot magician (Aziz k) huwa nakutana na maswali ninapokua na Bebe (totozi) haswa pale ninapotumia styles zangu kuntu nilizojifunza kutoka kwenye sehemu mbali mbali na jamii...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika nyumba nyingi au familia nyingi kumekuwa kunauwingi wa kazi, hivyo huhitajika msaidizi ambaye huitwa Housegirl au Dada aka Beki 3. Mabosi wengi wamekua wakisikika wakisema mabeki tatu ni...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom