Nawajulia hali!
Baada ya kukosa usingizi usiku wa leo na mchana kutwa, kutokana na tafakuri nzito, nimeamua kuja humu kuuliza hili.
Inawezekana kuna dhambi nyingi ambazo mtu anaweza kuzitenda...
Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili.
Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma...
Wakuu naandika huku nina stress. Huwa ni mzito wa kuongelea mambo yangu ya mapenzi ila hapa JF naona ni sehemu sahihi ya kuomba ushauri kwasababu kila mtu yupo huru kwa feki ID.
Kiufupi mimi ni...
Mida hii nimetoka kukutana na shemeji/wifi yenu angalau kupata moja baridi moja moto; kiufupi ni mchepuko wangu ambaye ameamua kubeba ujauzito wangu hivi karibuni.
Katika kupata vinywaji...
Habarini nyote,
Maarifa na ufahamu ni kitu cha bure, napenda kuwajuza ya kwamba haifai kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kama mume alokuwa nae bado yupo.
Ni nuksi mbaya na ni dhambi ogopa...
Wanajukwaa hebu ngoja kwanza ncheke mana....(Hahahaaaaaaaa!)
Hivi mwanamke unayeweka hizo kucha mikononi usafi unafanyaje? Nakuuliza usafi unafanyaje? Weka basi hata mkono mmoja angalau, Sasa...
Jamani.
Imekuaje tena wanaume mmeacha kupenda kama wazazi wetu wa zamani.
Upendo wa baba zetu ulikuwa wa kweli, ilikuwa ni ngumu kusikia mwanamke analia kwa habari za kupigwa, kuchitiwa...
Habari za wakatu huu wana MMU.
Niende kwenye dhima moja kwa moja.
Nakumbuka enzi nasoma sekondari huko kijijini kwetu na baadae nikafanikiwa kuchaguliwa shule ya mbali, moja ya wosia niliokua...
Kodi ya ukahaba siyo jambo geni duniani, ipo katika baadhi ya mataifa yanayotupatia misaada..
Ni ujinga kutoikusanya fedha Kodi hii kwa kisingizio cha maadili, mila na tamaduni zetu huku...
Leo asubuhi nimepata wasaa wa kutembelea rafiki yangu comrade wangu wa siku nyingi, nimemkuta yuko na pilikapilika za kufua nguo zake za kesho kazini na huku anaanda breakfast.
Kumuuliza kulikoni...
Hii tetesi ina ukweli?
Mdada akizaa uzao wa kwanza, kama ni mrembo, urembo unaongezeka na kama sio mrembo ndiyo anakuwa mrembo.
Lol my miss chagga....sipati picha.
Mahusiano ya wanandoa wanaojiendeleza kielimu yanakuwa katika hali tete sana .Unakuta mtu kamwacha mume/mke wake nyumbani akiendelea na majukumu mengine akifika chuo anajichukulia Sheria mkononi...
Kwema Wakuu!
Kuna mtu alianzisha mada hapa akiuliza swali, je wanawake wanatamani Kama wanaume?
Kabla hujajibu swali hilo unatakiwa ujue kuwa Mwanamke ni Binadamu Kama wewe Kwa 100%.
Ikiwa...
Saikolojia ya Mwanamke
Maelezo haya yanatoa mafunzo kuhusu tabia na akili ya mwanamke wakati anapoingia katika mapenzi na mwanaume. Na hasa mwanamke anapokuwa mrembo, fahamu atakujaribu bila hata...
Ndugu zangu hivi kuna goli tamu kama la kwanza?
Sisi wanaume huwa tunaenjoy sana goli la kwanza baada ya hapo huwa tunajitutumua tu kuweka heshima.
Vivyo hivyo kwa wanawake au nakosea dada zangu?
Habari ndugu zangu..
Kuna wimbi kubwa sana la wanaume wasasa wanao waambia wanaume wenzao "mambo" kama salamu na wanaona kabisa wapo sawa.
Hiii salamu ni ya kike kike, nawakati mwingine ni ya...
You've surely come across someone like this. Someone who comes off as superficial or inauthentic. Of course, nobody wants to identify as shallow. Yet, many of us tend to make shallow assumptions...
Habari za mchana wana jamvi, mimi naomba kumuombea ushauri rafiki yangu.
Rafiki ana boyfriend ambaye wamekuwa pamoja kwa muda sasa, huyo boyfriend alikua anafanya biashara zake ila ni wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.