Kwema Wakuu!
Vijana, ikiwa usipokuwa na Pesa wanakudharau, wanakunyali, hawakutaki, na Wakati mwingine wanakutukana. Au ukimuoa siku ukafilisika wanakukimbia. Kwa nini kwako iwe kosa ukijiwekea...
Wakuu kwema naimani mko poa.
Nililetaga uzi wangu hapa kuwa kila mda nilikua nawaza kuoa.
Sasa nilikua na Girlfriend wangu wa kitambo nikamcheki tukachati chati nikamsetisha akakubali nikamtumia...
Wadau hamjambo!!
Nauliza, hivi kuna dawa ya kuweza kumvuta mpenzi wako, ambaye ameamua kukuacha. Yaani mpenzi wako kakuacha na kuamua kukublock ili msiwasiliane huku akijiapiza mbele ya rafiki...
Habari wadau JF kama kichwa cha habari kinavyo jieleza niende moja kwa moja kwenye main issue! Kama mnavyojua siku hizi kila pisi kali utakayo igusa lazima itakwambia ina mtu wake basi mimi huwa...
Imezuka tabia ya wadau walio Katika mahusiano kuchafuana baada ya kuachana.
Unakuta watu waliishi vizuri tu inapotokea wametofautiana wakaachana unaanza kuskia mara oooo! kwanza alikuwa analima...
Wakuu hapa kuna mjadala unaendelea nimeona nishare na wanavyuoni wa JF.
Wengine wanasema lengo la tendo la ndoa ni kupata mtoto au mwanaume kuburudika, mwanamke ajiongeze humohumo wakati mwanaume...
Wadau Leo heb tuangazie kidogo haya maharage yaliyojizolea umaarufu nchini Tanzania yaani maharage ya mbeya[emoji23].Imekuwa ikisemekana kwamba maharage haya yanaiva haraka sana tena hatakama moto...
Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.
Ipo hivi;
Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo...
Yamemtokea jamaa yangu wa karibu
, mbaya zaidi anaonekana kushibana kweli na mpenzi wake tatizo linalowakwamisha kufunga ndoa ni kua kila mmoja hayupo tayari kufata imani ya mwenzie, na ndoa ya...
Habari ya mchana JF, naomba niende moja kwa moja kwenye mada kama ilivyo.
Nina mpenzi wangu huu mwaka wa pili sasa lakini kinachoniumiza akili zaidi ni kwamba hataki nimchezee na vidole wala...
"Kijana tafuta pesa" ndio kauli utasikia vijana wengi wakishauriana....
Na pia wanawake mkiona nyuzi humu vijana wanapigizana kelele watafute pesa ili wawapate mnajiona mpo juu....lakini ukweli...
Wakuu habarini naomba kuuliza,
Kuna binti na mu approach lakini haoneshi kukubali Wala kukataa aisee na shidwa kuelewa. Ila naona kama vile anapima uvumilivu wangu, aisee.
Yaani sielewi wakuu.
Sina haja ya kusalimia kabisa.
Nimemuita demu wangu tulale naye leo anipe kampani cz kazini nimevurugwa sana ila katika kupiga piga story kaanza makelele na lawama zisizo na mpangilio hata radio...
Ndugu zangu kwa kifupi, ma Binti naowahitaji huwa sipawati lakn wale nisio wahitaji ndio Wana jilengesha.
Roho Inaniuma sana sijui shida nini?
Sijui sifahamu namna ya ku approach.
I feel sad
Ati ukiachana na mpenzi wako basi litampata baya huko aendako na hata kama likimpata baya usifikiri limempata kwasababu aliachana nawewe! Huo ni upuuzi tu ambao ni kama failure ya ubongo. Your not...
Salaam,
Huwa nastaajabu sana humu kwa baadhi ya wanandoa wakituhasa vijana ya kuwa kuoa sio guarantee yakupewa tendo utakavyo. Wengine wanadai inawafikia hadi mwezi wanabaniwa.
Nachofahamu mim...
Halafu mimi naishiwa kisimuliwa maufundi na vimbwenga mbalimbali wanavyofanya wenzangu
Sijui wanawake wengine wako vipi asee. Ni housegirl wa jirani yangu, nikaona wacha nimpandie hewani. Baada...
Nimeshajionea mara kadhaa hasa hizi pisi za chini ya miaka 26 huwa wanajiona dunia ni yao na wa kupanga vigezo ni wao.
Kuwa approach mabinti wa umri huu wengi mkizinguana kidogo tu hawaoni shida...
Tusisumbuane na mambo ya salamu........
NB:- MI SIO MTAALAMU SANA KIUANDISHI WALA KUPANGILIA VISA NA MATUKIO KWA HIYO SOMA VILE UTAKAVYOELEWA, AMBAVYO HAUTAVIELEWA NITAJIBU KWENYE COMMENT...
Ijumaa Kareem!
Kwamba mmeamua kumwaga ugali au?
Naomba nisiongee mengi leo ila nashuhudia malalamiko mengi sana kutoka kwa wanawake. J Pili nikipiga jicho Kawe kwa Mwamposa naona mamia ya akina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.