Rafiki yangu anapitia changamoto ya kuwa mbali na mpenzi wake au niseme mchumba wake, hii inamfanya amuwaze sana, anakosa hamu ya kula, hatoki tena misele na sisi yeye ni kulala tu ukimuuliza...
MKASA WA DOKTA MELLUS TSHUBE...
Alikuwa kawaida tu.
Hakuonekana kuwa na msongo wa mawazo.
Aliendelea na shughuli zake za kila siku kama kawaida. Hata, Feb 2 mwaka huu, alipost picha akiwa na...
Habari ndugu zangu..
Mimi sijaenda kwenye nyumba za ibada nipo hapa nawaza sana jinsi viongozi wadini wanavyo changia ndoa nyingi sana kuvunjika kutokana na mafundisho yao ya kila siku.
Kwenye...
Wanaofumaniwa ni kwamba wanakuwa hawana nguvu au ujasiri unayeyuka?
Mbona hakuna anayemtwanga aliyemfumania Unampiga tu anaekufumania akileta shida.
Kwani huyo mwanamke wake ni mtoto?
Si...
Katika ulimwengu huu wa mapenzi niliwahi kusikia kuwa ili kumfanya mpenzi wako akuamini sana wewe yapo mambo msingi ambayo unatakiwa kufanyia mwanamke huyo. Pia wataalamu wa mambo wanao msemo wao...
Rafiki yangu anapitia changamoto ya kuwa mbali na mpenzi wake au niseme mchumba wake, hii inamfanya amuwaze sana, anakosa hamu ya kula, hatoki Tena misele na sisi yeye ni kulala tu ukimuuliza...
Habarini nyote Bazzukulu,
Nawakumbusha wanaume kuwekeza kwenye ubunifu wakati wa kula tunda ikiwa ni pamoja na kuicheza ngoma ya mlo wa tunda kwa kumkatikia mwanamke mauno yenye ustadi wa hali...
Kwema wana jukwaa?
Kuna jamaa yangu kakumbwa na mkasa amenisumulia nimebaki kinywa wazi.
Ni hivi jamaa anaishi na mke wake na ndoa haina muda mrefu akiwa anajishughulisha na kazi za miradi...
Guys nimekaa nimewaza na kuwazuwa nikaona acha nifunge mwaka na zawadi flani hivi ndogo ila ina thamani kimtindo. Nataka nimchukulie wifi yenu iPhone 13 wenyewe wanaiita macho 3 najuwa sio latest...
Kuna ofisi moja nimekuwa nikienda tangu siku nyingi kupata huduma, katika hiyo ofisi receptionists ni wanawake. Katika hao receptionists kuna mmoja kila akiona nikizungumza na mwenzake yeyote hapo...
Ukitaka salamu nenda Pemba au Unguja, kwangu utaula wa Chuya
Kwakuwa mmeamua kukubaliana na Makahaba ya mjini na yasiyokuwa na ndoa ila kazi yao ni kuachanisha ndoa za watu, inapaswa uamue...
Ndugu zangu habari mko poaaah...jamani kama kichwa Cha habari kinavojieleza ndugu zangu rafiki zangu tuliosoma wote Shule ya msingi MBARAMO wilayani muheza NIMEWAKUMBUKA SANA tukutane hapa ni...
Kuna wanawake wasiri sana miaka mitatu sikuwahi kusikia,kuona wala kusikia harufu ya mashuzi,
Hata akienda chooni hakuna harufu iliyokuwa ikivuka chumbani iwe hotelini au nyumbani,kumbuka vyumba...
Mke wangu kwa sasa amegubikwa na pepo la uvivu. Amefikia hatua ya kufanya derivery hadi vitu vya genge/ sokoni. Anafanya derivery. Kuna kakijana ndiko ambako humletea mahitaji kutoka sokoni, baada...
Kwema?
Aisee kuna mwanamke unaweza kuwa nae kimahusiano na mambo yako yakaenda vizuri sana mpka ukashanga natolea mfano mdogo huyu wa kwangu.
Aliniomba elfu 40,00/= nikamuambia sina hela niko...
1. Papara
Wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba...
Najua taonekana wa ajabu kutokea!!! Lakin ni uhalisia:
Wayback!! 2010s Niliwahi mpenda mrembo wangu wakuitwa~J!!!! Ooh my God!!
Ule upendo ulikua wa Aina yake..aijapata tokea kwangu mpka Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.