Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
After I permanently lose someone very special, how do I, and should I even try to, keep from falling into despair? Rest in internal peace my lovely Mom. Kweli sio kila anaecheka na wewe...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Kutokana na changamoto za kiuchumi pamoja na uhaba wa wanaume wenye sifa za uoaji kupungua; mabinti wakileo wameanzisha utaratibu wa kujisogeza kwa mwanaume na kuanza naye maisha, bila kufuata...
25 Reactions
78 Replies
5K Views
Wanajukwaaa mko pouwaa. Looooo! Katika hali ya kushangaza ndoa ya kungwi mmoja marufu hapa kitaani na mwenye jina kubwa kwenye media ndoa yake imevunjika. Suala hili limezua gumzo na tafran...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Hi, Ni onyo kali hata iweje usiache ghetto ukahamisha vitu vyako ukaenda kuishi na mwanamke kwake awe amejenga au amepanga, au kama mmepanga yeyw mwanamke ndiye awe anafahamika kwa mwenye nyumba...
11 Reactions
26 Replies
3K Views
Zifuatazo ni faida za kuoa mke zaidi ya mmoja 01. kupunguza wimbi kubwa la machafu ya uzinifu kwenye jamii....sababu wanawake asilimia kubwa watakuwa kwenye stara 02. Kuongezeka kwa uchumi na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wewe msichana umejipangaje usipoolewa?
20 Reactions
182 Replies
7K Views
[emoji1787]
14 Reactions
199 Replies
7K Views
Umekutana na mwanamke ukapata namba yake na mkapanga mkutane mara ya kwanza mahali ili muongee/ mle/ mpate kinywaji. Kuna muda hili jambo linatia mawazo sana. Unajiuliza utafanyaje ili umpate...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye uzi. Kama kichwa cha uzi kinavyosema" wanawake hawapendi ndoa" ndio hii inaweza kukushangaza lakini ndio ukweli. Wanawake hawapendi ndoa kabisa tena hiki kizazi cha sasa...
11 Reactions
59 Replies
2K Views
Ipo hivi... Mimi na waifu tuna miliki kiwanda cha kuchakata mkaa. Sasa leo asubuhi kama kawaida nimetoka nyumbani alfajiri nikaenda porini kupangua tanuru la mkaa ili niupange kwenye magunia...
26 Reactions
97 Replies
6K Views
Habari wakuu...nimeona story ya kijana akielezea wema ulivyotaka umponze eneo la kazi 1. INTRODUCTION: SHAVU In 2015 mwishoni nikiwa 3rd year nlipata shavu mahala in a private company. So i...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Greetings members and guests!!!!! Napokea malalamiko/Kero/misuguano/sintofahamu n.k kuhusu wanawake kuacha kazi kisa wanaume.... Wadada acheni hizi eti unaacha kazi kisa jamaa kasema acha mwisho...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Niajeeeeeee Naskia rangi ya majani mabichi na manjano wameanza kukusanya magaidi uko mtaaani[emoji1787],,wataenda kujibu kwa mwenyezimungu siku moja wallah![emoji120] Kuna vitu vya kuogofya...
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Ndugu wana JamiiForums ninapenda kuomba ushauri hivi nikitaka kuoa nizingatie sifa zipi (characteristics) Kwasababu hivi sasa hakuna ndoa imekuwa ni complex organization ambayo inaundwa na...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari za wakati huu, sasa ndoa za kileo ni za hatari sana, Tukiachana na zamani: 1. Ndoa za leo ni misukosuko. Wanaume wanaoa kitu kwa mtu badala ya yeye mwenyewe. 2. Mtu anaolewa na mtu kwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Huu ni ukweli mtupu,hawa feminists wengi ni wahuni tena wamechangia kutuvurugia ndoa nyingi sana na kuziacha familia zikiwa hoi. Naomba ntajiwe feminists 10 wa hapa nyumbani wenye ndoa halali na...
9 Reactions
18 Replies
852 Views
Hakuna Mwanaume malaya, Wanaume wengi wanapitia magumu kwenye utaftaji wanajinyima wasile ili familia zao zipate. Mwanaume ni mtawala wa Mwanamke siku zote ni lazima aheshimiwe. Wanawake...
13 Reactions
57 Replies
4K Views
Kama ni mke au mume sawa, lakini siyo penzi jipya basi tupunguze au kuacha kabisa kujielezea mambo yetu binafsi. Iwe ni kuhusu wazazi wetu au sisi wenyewe. Nasema hivyo maana mapenzi ya siku hizi...
20 Reactions
70 Replies
2K Views
Pengine wewe ni mwajiriwa ama umejiajiri. Unauwezo kifedha. Umemzuia mkeo kufanya kazi kwa sababu wewe unamtimizia haja zake zote kifedha. Unahudumia familia, na yeye as an individual unamhudumia...
9 Reactions
54 Replies
2K Views
Back
Top Bottom