Niulize kwanini......
Fanya tafiti ndogo sana watu ambao wanatetea wanawake, mtego wao mkubwa ni kutunukiwa hakuna kingine, ni wachache sana kukuta Mwanaume kamili yuko anazungumzia masuala ya...
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kila siku tunasoma tu kwenye mitandao mambo ya usagaji na Ushoga katika kila jamii. Nina imani kama hali hii ipo lazima yamemkuta mwenzetu humu mmu...
Zamani tuliwasikia wazee wetu wakilikataza jambo hili na mambo mengine wenyewe walikuwa wanasema (MWIKO).
Katazo hili la watu kushika mtoto baada ya kutoka kujamiana halikuwa bure lilikuwa na...
Wanaume wanaangalia vitu vya nje, kama umbo, rangi au nywele na hapo hapo wanaamua kama wamempenda mwanamke kimapenzi au la. Hata kabla hajaongea naye anaweza jisemea “huyu ndo namuoa”, japo hajui...
Yapata muda wa miezi kadhaa Tangia nianze mahusiano na Binti mmoja wa kinyarwandwa ,Tulikua tunawsiliana vizuri,siku Moja niliwasiliana nae kuhitaji kuonana nae dating,akanambia nimtumie nauli Cha...
Wadau. Msaada sijaosha rungu week ya pili sasa. Nipo huku Dubai. Sijui hata pa kuanzia. Nawaza je sitopata madhara yoyote bila kuchovya rungu week 2 sasa? Sijazoea... Imeniletea shida muda wote...
Ukiwa na pesa na bado ukawa unaendelea kuteswa na mapenzi hayo ni matumizi mabaya ya pesa! Mwanaume ukiwa na pesa inabidi ubadilishe mindset uwachukulie tu kama ni chombo hakuna kuwekeza moyo...
WanaJF natumaini mnakumbuka siku chache zilizopita niliomba ushauri kuhusu jambo langu la mapenzi hapa JF kuhusu mchumba wangu aliyekuwa akisita mimi kuendelea na mchakato wa kutuma mshenga kwao...
1. Wanaume sasa tunashindana kufanya twerking......yaani tunatwerk tu. Kama unabisha angalia videos nyingi za wanamuziki wa sasa. Kiufupi ni kuwa tunatamani kuwa wanawake kama alivyowahi kukiri...
Kwema ndugu zangu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa napiga sana mademu verse lakini naambulia vibuti, sijui tatizo Nini wakuu hebu nipeni mbinu mbadala
Naomba tuelewe mada na tuje na majibu serious, kuna maamuzi magumu nataka kuchukua kwa mara nyingine tena.
Huyu nilienae nataka nimuweke dormant asije niua huko mbeleni, kuna dalili sio nzuri...
Habari zenu,
Hakika kunena ushuhuda ni raha sana ndivyo naweza kusema, mpo, mwanamke wa kinyamwezi mtamu na anayajua mahaba nihabue. Ni fundi na amefundika anaweza hatari sana.
Woyo woyo woyo...
Je, ni kwa sababu ulikuwa unampenda mwanamke huyu zaidi ya kitu chochote duniani au alikuwa karibu yako wakati hamu ya kutaka kuanzisha familia imekushika?
Au pengine ulipelekwa kwake na upepo wa...
Kuna binti mwaka 2018 nilimtongozaga akakubali tena akaonesha kunipenda ila tena nikaadha kumuona wanini.
Yaani kujibu sms hadi nijisikie yaani nilimkinai ata Bado sijamvua nguo alikua anani...
Kuna kipindi nilipoteza kazi na kufikia maisha yangu kuyumba sana, hivyo ikapelekea mimi kuanza kuuza vitu yyangu yya ndani ili nipate mtaji nianze biashara ili kujikimu.
Jiji la Dar ukiingia kwa...
Natumaini ni wazima wa afya leo nimerudi tena kutafuta mwanamke mwenye malengo na mapenzi ya dhati hapo mwanzoni niliopost thread ya kutafuta mchumba kuanza mahusiano serious lakin bado...
Habari za sahivi wana JF, mim ni yule kijana kama mnakumbuka nilikuja kuomba ushauri juu ya kukataliwa ukweni ,kila mtu akasema yake. Wengine wakasema tafuta hela, wengine wakashuka matusi, ila...
Ndoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.
kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi...
Wanajukwaa mko pouwa? Leo nimeona hebu tushare uzoefu katika jambo hili.
Tumekuwa tukishuhudia ndoa nyingi zikifungwa huku wahusika wakisheheni upendo na furaha sana lakini upendo huu unakuta...
Kwenye kuoa au kuingia katika mahusiano na mtu ingekuwa kila binadamu ana data base ya kusoma taarifa za mtu za mahusiano yake aliyopitia na matukio aliyowahi kukutana nayo kuna watu wasingekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.