Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Unaweza ukawa n mwanamke flan ivi mwenye mvuto na mpambanaji lakin kila siku unaachika bila sababu za msingi. Umeshawahi kujiuliza sababu n nn,au ndio unajiona huna bahati. Mwanaume anaweza...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam enyi watu wa Mungu, bwana weeh mi nna mshikaji wangu mmoja,ni rafiki haswa tangu huko shule ya sekondari miaka takribani miaka kumi,hivyo tunaelezana mambo mengi tu binafsi. Sasa siku ya...
7 Reactions
69 Replies
10K Views
Naomba msaada wadau, Nikikuwa na mazoea na dada mmoja hivi alikuwa ni mgeni kwa mtaa wetu Kama miezi miwili hivi tunafahamiana alikuwa ana fanya kazi, karibu na ofisini kwangu vyumba vimefatanaa...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Habari.. Hivi ni kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanajiamini sana na ni majasiri sana kupita kiasi.. Yani unakuta mwanamke anakalio kubwa na kakuvalia dera au kigauni cha ujiuji chepesi...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
27th April niliamua kumbananisha kwa ukuta binti mmoja mwenye 23 yrs, tako mbudule, ka nane fulani hivi kwenye nyonga na weusi wa mzeituni. Bila kuchelewa nikaanza kukafungukia ya moyoni, hakakuwa...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za leo wadau Huyu dada ni jirani yangu hapa ninipo ishi. Dada mmoja mlokole, yani ukisikia mlokole mlokole kweli anatembelewa na wenzake karibu wiki nzima wanasoma neno la bwana na kuanza...
49 Reactions
189 Replies
28K Views
Tunakutana na changamoto mbalimbali katika maisha, pia katika utafutaji wa maisha tunapitia nyakati ngumu tofauti tofauti, zipo nyakati za kuumiza mioyo yetu, zipo nyakati za aibu, nyakati za...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kuna binti kutokea huko kaskazini tumetokea kupendana. Licha ya kuwa mzuri wa mwili, sura na matendo, ana kasoro moja tu ya kukeketwa Tofauti na wanawake wengine niliowahi kuwa...
13 Reactions
56 Replies
5K Views
Nadhani wakuu mlifuatilia uzi wangu, nilioomba ushauri baada kukubali kukiri mbele ya mshenga kosa kabumbu la kutembea na shemeji yangu nikijua naokoa ndoa Baada ya kusikiliza maoni ya Wadau...
7 Reactions
72 Replies
5K Views
Wanajukwaa hiii imeeeeeeeenda. Imekuwa ikizungumzwa kwamba mawifi hawapatani.Naukipitia uzoefu wa kaya 2-3 jirani yako hapo utagundua hili.Lakini cha kujiuliza shida nini? Yaani Katika familia...
1 Reactions
17 Replies
800 Views
Kama unamtu serious humu mwambie asiwe anajirahisisha , kama unajua unamtu punguza kuishi humu kama single lady au single man jitoe humu, maana sasa wengine ila sio mie , wanajua waliohumu wapo...
16 Reactions
167 Replies
4K Views
Wandugu natumai wote wazima. Kama kichwa kinavyoeleza, una umri wa miaka 30 unataka kuoa/lakini hujapata mwenza, bila kupepesa utakuwa na matatizo sio bure. Jichunguze kasoro zako sehemu hizi...
7 Reactions
180 Replies
12K Views
Huwa ni mwanamke mbaye hawezi kumsikiliza mwanaume wake. Neno lake huwa ni la mwisho kwa maana ya kwamba hakosolewi. Maamuzi yote ni juu yake. Hakuna mtu mwingine muhimu zaidi yake. Anataka...
13 Reactions
51 Replies
2K Views
Wasalaam JF, Yote kwa yote mimi nadatishwa na chuchu mchomozo ndio kitu chenye thamani kwangu na chenye mvuto na ni kitu unique chenye maana kwa mwanamke, nikiwa na pisi ya chuchu nzuri ziwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naombeni mnipe majibu, ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara? Lakini mbona baba yangu alipendwa na mama yangu akiwa hana kitu, mimi nimezaliwa mpaka nafikia umri wa kujitambua nimekuta...
11 Reactions
117 Replies
5K Views
Si kila mwanaume anaekwambia anakupenda anamaanisha. Haijalishi kwamba kakufanyia kitu gani iwe kukupa muda wake, kukusaidia, kukupa furaha, kukujali, kukupa pesa, n.k, kuna wanaume ambao...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Kinachowapelekea watu kujireko video za utupu wawapo faragha ni kitu gan? Tena ikitokea mmeachana mmoja taamua kuachilia picha hizo kwanini tusitiriane? Kwanza najiuliza unapokuwa na UPWIRU wako...
5 Reactions
12 Replies
666 Views
Nimeshuhudia familia nyingi mwanaume akisha staafu kazini mke /mwanamke wake anamchukulia kama takataka flani au mtu aliye kufa ilihali anatembea. Dharau, ubabe, masengenyo, kuombewa ufe au...
11 Reactions
75 Replies
4K Views
Back
Top Bottom