Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu nipeni ushauri mdogo wenu. Nipo kwenye mahusiano na huyu binti kimsingi tulianza mahusiano kipindi nipo mwaka wa kwanza chuoni (hivi sasa nipo mwaka wa pili), lakini yeye tayari hivi sasa...
7 Reactions
82 Replies
4K Views
Nina hoja. Ili kupunguza visa vya Wanandoa kuendelea kuwekeana chuki na kuumizana wakati wa mchakato wa kutengana kimahakama, naona ni vema fomu za TALAKA ziwekwe kwenye mifumo ya mahakama...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Imagine huna hela huna lolote la maana ila kuna mwanamke kaamua uwe mume wake na kakuzalia watoto na hakuchit kamwe katulia kwenye ndoa na akitongozwa anawasemelezea kwako waliomtongoza...
7 Reactions
12 Replies
892 Views
Mapenzi yameniumiza sana inafikikia hatua nikumuona mtu anaongozana na mpenzi wake njiani Nahisi kuumia moyoni au Mtu akiwa anaongea na mpenzi wake kwa njia ya simu naona kama ananipigia kelele...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Hakikisha haya mambo yanakua Siri kwako; 1. Masuala ya mahusiano yako Hii haikumaanisha kujua status kwamba umeoa au umeolewa,hii imelenga watu ambao wanapenda kuongelea masuala ya mausiano yao...
20 Reactions
100 Replies
5K Views
Unapomnyang'anya mumeo Sauti, Mamlaka, Hadhi ya ubaba inakusaidia nini!? Na kwanini unafanya hivyo.!? Mbona kijana wa watu hana hatia kabisa. Uhuru unaoutaka wa kujiachia, kuwa na Wanaume...
3 Reactions
4 Replies
636 Views
Sio siri wakuu. Mpaka sasa nimeamua kuweka makazi yangu Uswazi. Familia nimeiacha ushuwani huko Wanawake hawa wamekuwa ni watu wa kujiachia sana. Yaani kumkutiliza anafua huku kanga nyepesi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Vijana wenzangu naomba nitoe experience yangu ndogo kwa kiwango changu kulingana na ndoa nilivyoingia na kujionea yaliomo kulingana na majukumu yangu kikazi na mke wangu mwajiriwa. Kiufupi wote...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wadau. Moja kwa moja kwenye hoja. Mwaka jana nikaingia kwenye penzi na single mother mmoja hivi, mapenzi yalikuwa mubashara mwanzo lakini ghafla akawa haeleweki, kufatilia nikagundua ana...
58 Reactions
233 Replies
16K Views
kitakachonirudisha ni ile ladha ya mboga ya mrongi niliyokula pale kwa dada mmoja mama ntilie karibu na guest niliyofikia ya Upendo. kabla nilikuwa sijawahi kula na hata sikufikiria kuwa ni...
4 Reactions
58 Replies
8K Views
Umeshawahi kujiuliza kwa nini kuna jamaa mke wake unamuona wa kawaida sana lakini wanaishi kwa amani kabisa na wanapendana? Ni kwa sababu wamekuwa marafiki ndani ya ndoa, siri ya rafiki hata awe...
44 Reactions
152 Replies
14K Views
Moja kwa moja madani. 'Theoritically' hakuna mwanaume aliyekamilika ambaye hatamani kuwa na Zari, Uwoya, Tunda 'etc'... hawa mabinti wapo limited kwa wachache wenye nguvu (kisu kikali, yaani...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Wote wawili ni pisi kali, wanafanya kazi ofisi moja na nishawapelekea moto. Wa kwanza nilimla cheap tu coz alikua ananielewa kinoma, huyu wa pili alinielewa kitambo ila alitaka kuleta usanii...
9 Reactions
97 Replies
7K Views
Hii ni baada ya lile thread ya kulipwa fadhira na mtoto wa kihaya....? Maana kuna mambo mengi mazuri na mabaya yametokea. Kupitia ile thread utajifunza wanaume wa jf wapoje na wanawake wa jf...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwaka 2013 nakumbuka nilikuwa chalii wa miaka 19....mda huo nilikuwa nimetoka kumaliza shule Niko kitaa nikawa na mahusiano na demu wa form 3 kwa wakati huo...waswahili wanasema ujana no maji ya...
3 Reactions
7 Replies
920 Views
Mapenzi ni sanaa, Na inapotokea mtu mmoja kumpenda mwingine, ina maana amekukabidhi hisia zake zote kwako. Kwa hiyo mnatakiwa kwa pamoja, mjaliane, mchekeshane, muondoleane msongo wa mawazo, na...
16 Reactions
90 Replies
3K Views
Uzinzi ni kufanya mapenzi na mke au mume asiye wako, au mwanamke tofauti na mke wako. Kama huna mke, pia kulala na mwanamke ambaye ameolewa au hajaolewa, huo ni uzinzi pia. Unazini. 'Take a look'...
28 Reactions
82 Replies
5K Views
Habari, Nakereka sana unakuta mtu unapishana na mwanamke ananuka jasho siyo kawaida, mtu ananuka kikwapa, harufu ya mikojo, ananuka nyapu, na harufu ya uvundo wa nywele pamoja na nguo zake...
25 Reactions
306 Replies
11K Views
Habari JF: Natumaini ni wazima wa afya na mchaka mchaka unaendelea wa kutafuta maisha na amani ya moyo, msisahau pia na kujipenda wenyewe. Nilikuwa na mawazo au ushauri kidogo kutokana na...
20 Reactions
61 Replies
3K Views
Hii inawahusu wote walio na wachumba na wanatarajia kuwa wanandoa mbeleni. Lazima ujue kuwa ukiingia katika ndoa ipo siku utakabana koo na mwenza wako huko mbeleni. Kuna mambo mengi sana...
15 Reactions
119 Replies
7K Views
Back
Top Bottom