Watanzania tuna utamaduni wa ajabu sana, ni mara chache sana ukute mzazi/Wazazibwanatoka out kama familia Baba mama na Watoto, hii ni nadara sana kwa ngozi nyeusi na ukiona hivyo ujue hio Familia...
Wapo baadhi ya wanandoa wengi wao ukiwauliza mara ya mwisho walitoka out lini na wenza wao? huenda majibu yao yakakunyima raha kabisa, huenda majibu yao yakakunyima raha kwa sababu wapo...
Wanaume tumekuwa tukiangaika sana juu ya kufanya vizuri tuwapo kwenye tendo, wapo wanaotumia sijui mkongo, vidonge, energy drinks nakadhalika ili kuwa na pafomansi nzuri kwenye tendo.
Hivyo vyote...
Jana tukiwa kwenye foleni zetu za Dar kurudi nyumbani, mmoja ya mshikaji wangu akatuambia amepata mpenzi. Tukamfurahia na nini, tukamuuliza anaishi wapi, akasema anaishi SINZA🙄
Wenzangu 4 kwenye...
Kuna dogo jana kanifuata
Oh da Penny msaada wako na hekima yako plz
Kuna dada namfuatilia mwaka wa 2 sasa lakini napigwaaa tuuu
Kupigwaaa nina maana napigwa hela zangu afu anasepaaa sipewi kitu...
Siku moja nilikuwa na shoga yangu njiani tunaelekea Ilala boma kusagula viwalo
Shoga yangu akafunguka;
Eh bora nimekumbuka, kuna kaka nimetokea kumpenda sana, kila siku nikiwa naenda kazini...
Fantasy!
Wengi wenu si mnajua maana ya Fantasy sio ee?!
Aya kwa wale wenzangu na mie akina Kayumba,
Fantasy maanake = kitu cha kufikirika, imaginations, kuwaza, uswahilini mnasema KUBASHIA.
Juzi...
Chai ni tamu ikiwa ya moto, ikipoa sasa umeme na gesi vyote vikawa vimeisha ndio utajua hujui.
Haya sasa, kwa mnaonifahamu ingawa mimi sio mwamba.
Msaidieni mwenzenu apashe kiporo au?
Nilikuwa kwenye mahusiano na mdada hivi mtu mzima, kwa miaka kama mitatu. Alikuwa anafanya biashara ya kuuza vilevi. Hiyo biashara ni ya kwake binafsi. Sasa katika mahusiano yetu japo kuna wakati...
Haya haya sasa,
Wale mabachela sugu wamerudi tena
Wanawashangaa mnamlalamikia mapenzi
Niko na Mwamba hapa oysterbay, senior batchelor ananiuliza
Money Penny what is love?!
"Love ndio nini...
skia hii, jana nilikuwa napewa stori na dada mmoja anakaribiwa kuolewa
nikamwuliza amempataje mpenzi wake
akanijibu
Dada: Nimempata kwenye morning and evening glory nilikuwa naenda kila siku...
Shogangu anaolewa bwana, Leo ananihadhithia jinsi gani walivyoenda kwenye mafundisho ya ndoa halafu mchungaji akawa anazugazuga alipomwuliza swali na KUMFOKEA😂
Shogangu: mchungaji samahani, maana...
Jumapili Bwana TULIKUWA kwenye sendoff ya Corona, basi kuna chalii wangu kule ofisini anapeeenda sana kusoma nyuzi zangu za huku JamiiForums. Sasa akanialika BUZA juzi, akaniambia njoo ucheke...
Unajua wa Tz mnavisa sana jamani, ivi mnataka mimi nicheke au mnanitafuta ubaya na Muumba? Ujue sijamaliza kuzaa jaman mniache mniache.
Jana wamekuja ndugu home kunisabahi mama kijacho, sasa...
Haya haya sasa
wale couple admirers mkuje sasa mtuambie nani ni mkali
akina couple gani mnayo wa admire hapa jamii forum na dunia nzima
MIMI wa kwangu ni hawa hapa
MIMI wa kwangu ni hawa hapa...
Hey~lo!
Mtanisamehe sijaleta misaada sio kwamba haipo ipo kibao ila ndo shemeji yenu kanibana kidicteta na hizi mvua basi me kushnehi, ila nimenyooka nimerudije! Kiru!
Miaka ya nyuma kidogo, kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.