Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Naomba kujua hili. Wanawapelekesha , Wanawatumikisha Wanakaripia lakini wala hamlalamiki mnaona sawa tu ni kwanini, yaani tuseme tu wenye sura nyeupe , nyeusi wanawahanya sana. Hata dada...
2 Reactions
64 Replies
2K Views
Natumaini mko wazima wanna forum. Mada ya leo itahusu antinatalism na childfree. Nitaanza kwa kuweka hizi hoja mbili wazi kuwa kuna watu ni childfree (by choice) na pia ni antinatalist ila si kila...
2 Reactions
7 Replies
523 Views
Vigezo: 1. Awe muislamu 2. Umri miaka 20-26 au around that age. 3. Hakutakua na mapenzi kati yetu just need a child. 4. Mtoto akifika miaka 3 namchukua. 5. Malipo milioni mbili ukishika mimba...
7 Reactions
142 Replies
5K Views
Kwa haraka haraka, muonekano wa mtu kimavazi, kimiondoko, kimaongezi, na alivyosuka kichwani; humtambulisha huyu ni mtu wa namna gani, na kupitia maeneo hayo unaweza pia kujua tabia ya muhusika...
11 Reactions
135 Replies
6K Views
Habari JF Naona hivi visa vya mapenzi sasa vinakuwa vingi na vijana wengi wanapoteza maisha yao na ya wenzao kisa mapenzi Naomba nisisitize tena, mchumba, mpenzi hasomeshwi. Labda kidogo kama...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Ni kwa nini haya mambo yasiwe ya ana kwa ana ama kupiga simu, kwanini wengi wakipata mimba iwe ni yako ama kubambikiziwa hupendelea kukujulisha kwa meseji?
1 Reactions
7 Replies
766 Views
Ni ugeni wa ghafla tu umetokea hapa kwangu leo, baba mkwe amekuja kufanya kama suprise, bila taarifa wala nini na kusema ana mazungumzo na mimi. Kweli nimepokea wito ila chakushangaza mpaka sasa...
12 Reactions
45 Replies
4K Views
Mwaka 2019 nilikua na msichana mpenzi wangu mwaka huo huo nkaondoka kwenda kuitafuta maisha nkamwambia acha nikasake noti nikizipata nitakuja nikuoe mwaka huu mwezi uliopita ndio nimerudi...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakati fulani katika miangaiko ya kimaisha nikajikuta naishi vingunguti ndani ndani uko nyumba zimejengwa bila ramani unaweza kupita pita ukashangaa umetokezea sebureni kwa mtu. Kama kawaida ni...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito. Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau...
30 Reactions
212 Replies
12K Views
Alimaliza kidato cha nne akakosa mwongozo, Tulipokutana nikampa ushauri akaufanyia kazi akafanikiwa kwenda chuo. Baada ya kumaliza diploma akarudi uraiani, Nikamfanyia connection akapata ajira ya...
12 Reactions
40 Replies
3K Views
Hii piisi kali mwanzo kabsa nliomba namba ikanipa ila ikawa inanichomolea kila nikimrushia ndoano na chambo anakula chambo anatema ndowano. Nikaomba apointiment mara ya kwanza ikasema tukutane...
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuna mzee mmoja nilikutana naye eneo moja la kazi miaka 12 iliyopita, na katika mazingira ya kazi tulikuwa tukiheshimiana sana, na tulikuwa tukiishi kama familia; leo tukale wapi au kunywa wapi...
38 Reactions
181 Replies
7K Views
Asexual ni wale watu wasiopatwa msisimko wa mapenzi/mahaba kwa mtu yeyote, wengine wanaweza kua kwenye mahusiano lakini wakawa hawataki kufanya mapenzi, Yaani hawajisikii kushiriki sex wala...
18 Reactions
331 Replies
27K Views
Kuna tofauti kubwa ya kuishi kama mume na mke, kuishi kama wanandoa na kuishi kwenye ndoa Ukaribu Kushare hisia njema na mbaya Kushare fikra na matamanio binafsi, ndoto na maono Uaminifu Upendo...
9 Reactions
102 Replies
6K Views
Hellow Inapokuja swala zima la kuolewa kwa mtoto wa kike kunakuwa na mitazamo tofauti kuanzia mzazi mpaka mtoto mwenyewe wakike anakuwa na mtazamo tofauti Ipo hivi kuna familia ina watoto wa...
4 Reactions
103 Replies
3K Views
Kwa muda Sasa mpenzi wangu amekuwa akisema (kudai) anaota NDOTO akifanya mapenzi hadi kuridhika.Na amekuwa akiota na watu(sura) tofauti tofauti anao wajuwa tena Hana ukaribu nao na akiamka...
3 Reactions
2 Replies
949 Views
Hii ni theory yangu nimeiwaza kichwani, sijajua kama ina efficiency ya walau asilimia 98% ya kutoa accurate results: Mfano umempenda mdada ambaye unaishi naye mtaa mmoja, college moja, darasa...
15 Reactions
43 Replies
3K Views
Kwani soko la mapenzi limeingia mchanga au limevaa ndondo cup Siku hizi bwana mpaka umpate mwanaume anakutongoza, nenda kanisani ukatoe sadaka kabisa Ukipata hata mwanaume anakupeleka kwake...
21 Reactions
184 Replies
9K Views
Wanaume wanaopenda kufanya ngono mara kwa mara wanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kufariki mapema tofauti na wanaume ambao hawafanyi kitendo hicho mara kwa mara. Hayo yamesemwa na daktari bingwa wa...
16 Reactions
261 Replies
13K Views
Back
Top Bottom