Watanzania huwa hatuandamani, ila tuna njia zetu za kudeal na mambo, TEC wamehitimisha. Hili limeisha.
Kuna mwanamke nilikua namlia mingo muda kidogo, sema nikawa situlii, muda mwingi niko pori...
Hello nawasalimu kwa bashasha za ubaharia.
Kama rejea ya kichwa Cha habari ilivyo karibu tuseme machache kuhusu mazuri na maswahibu ya mzamo katika wilaya maarufu sana kwenye UGA wa mahaba wilaya...
Wakuu salama hapa?
Kuna rafiki yangu alinitafuta akihitaji ushauri na kujua taratibu za kufuata ili aweze kudai na kurejeshewa fedha zake na mali zingine alizotoa kama kishika uchumba kwa mpenzi...
Wanaume nisikilize mimi, ukikutana na mwanamke mzuri muoe zaa nae watoto jenga familia pamoja naye.
Anaweza kuwa rafiki yako bora, msiri wako, mfanya biashara wako mshirika.
Na Unaweza kumuona...
"SOME LEMONADE FOR YOU MADAME" akauliza butler
"No, I don’t want". akajibu! Akiwa amelalia hammock, saa 11 jioni jua likizama, akaendelea kusema kwa sauti ya chini, mume wangu anakuja, naamini...
So leo nilikuwa namfanyia interview Shangingi mmoja kuhusu maisha yake, kabla na baada ya kuitwa Shangingi Ila sasa ameolewa na ana ndoa ya Miaka 10 na watoto 3.
Interview nitarusha baadae kwenye...
Habari za weekend!
Kama ilivyoa ada. Mimi ni mtu mzima kiasi nina mke na watoto wawili. Nyumbani mke wangu anajituma si kwamba ni mvivu la hasha. Anafanya mambo yote kama mke. Lakini kuna jambo...
MUHIMU: Sheria za Tanzania zinaruhusu kuao binti mwenye miaka 15
Kwanza kabisa nisema binti wa miaka 15 sheria zinaruhusu aolewe, ni kwa wakristo tu sheria za makanisa yaliyoanzishwa ulaya...
Wakuu Salam kwenu
Moja Kwa moja Sitaki kutaja kanda ila tu ni watani zake wale watafta ela wa kaskazini
Kijana wao kaoa (nje ya kanda) hana ajira ila kajitafta kajipata sasa kijana nae sio...
Wasalaam JF,
Kumekuwa na kautamaduni ka wanawake kuiga Kila kitu bila kufanya tathmini oanifu ya mfano msuko wa nywele na bichwa au uso wa mhusika, mavazi pia, makeups pia, miwani, miguu na etc...
Wapendwa nawasalimu, sina hoja ndefu kuhusu Uzi tajwa.
Kumekuwa na wimbi kubwa kadri siku zinavozidi kusogea, ME na KE kutumia mitandao ya kijamii kutafuta wenza(wapenzi) wa kuishi nao maishani...
Watanzania huwa hatuandamani, ila tuna njia zetu za kudeal na mambo, TEC wamehitimisha.
Hili limeisha.
Kuna mwanamke nilikua namlia mingo muda kidogo, sema nikawa situlii, muda mwingi niko pori...
Habari za jioni Wakuu!
Kutokana na kuongezeka kwa wimbi la vijana wadogo wa kiume kushindwa kuhimili tendo la ndoa, nimeamua kushea nanyi mbinu mbadala ambayo nimeitumia kwa miaka mingi na...
Mko poa
Nisiwachoshe Ipo hivi juzi hapa jumuiya ilikuwa kwangu tulisali vizuri tu sasa baada ya kumaliza ambaye anachukua msalaba ni mtu wa iabu huyu dada tumuite Bupe.
Aliniomba nimpelekee...
Ninawasalimu wote kwa heshima zenu ,wakuu…itifaki imezngatiwa
Hoja:nmeona na kuskia mara kadhaa kuwa sisi wanaume tunasema/kulalamika kuwa mwanamke hana kingne anachoweza kuoffer kwa mwanaume...
Habari za maisha wakuu
Tulitengana akaondoka na mtoto akaenda kukaa kwa dada yake baadae alipata mtu mwingine akamuoa siku ya ndoa yake aliambiwa na dada yake mkubwa pamoja na mume wake huyo kua...
Anamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibia kila kitu. ila mimi sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakini najua nikimwambia si ajabu akadhani nnamtaka huyu dada
Huyu mpenzi wangu simuelewi kabisa, tangu mchana leo amekuwa mkali kweli na ananiangalia kwa jicho la hasira.
Na ameanza kubadilika baada ya kuniona nakula nazi mbichi tatu, mihogo mibichi sita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.