Leo natoka Kanisani nakutana na mdogo wangu mmoja kachooooka maskini, nikahisi labda ana Corona.
Katika ongea ongea nae nikagundua kachapwaaa kimapenzi, aliingia kwenye 18 ya dada mmoja Mlokole...
Kwani siku hizi class na desires mmemwachia shetani awashikie au?
Nipo hapa kwenye kituo nasubiria usafiri, kuna wadada wanaongea kuhusu kupata hela na mabwana.
Katika maneno yao meeengi, hili...
Wakuu..
Hivi inakuaje kwenye mahusiano watu mnagombana kila siku mpk mnatishiana kuachana
Nimeona nyuzi nyingi watu wanalalamika wamegombana na wapenzi wao
Huwa najiuliza mbona mimi sijawah...
Wakuu kwema?
Nina jambo nataka ni share na ninyi nina experience nalo na pia kuna watu watakua wana experience nalo pia.
Ipo hivi kwenye maisha hakuna kitu kinachokatisha tamaa kama...
Kwenye maisha kila kitu huja kwa wakati wake, unaweza ukawa unahuzunika miaka inaenda na bado hujajenga, hujawahi kumiliki Baiskeli, pikipiki wala gari hupendezi kama wenzio kwasababu huna kipato...
Ni mida ya asubuhi around saa 10:00am asubuhi siku ya Jumapili, Nikiwa nimepoz kivulini mkononi nikiwa na kinywaji cha Dragon, huku mkono wa kulia nikiwa nimeshikilia simu naperuz katika mtandao...
Wakuu tujuzane kama mwanamke mvuta bangi anafaa kuoa. Tupo wanaume ambao baadhi yetu tumeshakutana na wanawake warembo lakini wanavuta bangi hali hiyo ikatusikitisha sana.
Je, mwanamke kama huyu...
Uzoefu unaonyesha katika familia nyingi ndugu wa mwanamke ndio anaweza kutoboa na kuishi kwa amani kwenye familia nyingi. Ndugu wa mwanaume ni mara chache sana, tena wanaishi kwa kufosi.
Tatizo...
Kwenye utongozaji Linapokuja swala la kukataliwa, wanaume tunakutana na wanawake wa aina mbili:
Aina ya kwanza ya wanawake ni wale ambao ukiwatongoza, wakikukataa, hadi moyo unaridhika, unatamani...
Wife hana tatizo lolote, zaidi kuonekana mchovu na kudeka hapa na pale. Je, mwisho wa kupiga pipe ni mimba ikiwa na wiki ngapi?
Naombeni ushauri wakuu, maana nahofia kumtoboa mtoto utosi.
Habari wakuu.
Katika kupiga story juzi kati kijiweni ikaibuka story ya kuwa ukifanya mapenzi na mwanamke akatunia kitambaa chake kukufutia na kwenda nacho anaweza kukuloga.
Ambacho anatakiwa...
Kwa utafiti nilioufanya waha wanaibuka kwa biashara.
Miaka kumi ijayo .waha watakuwa wamewaacha mbali sana wakinga na wachaga utopolo
Waha jamani wana hela jamani .ila ni wabahiliii wabahili huli...
Hivi kwa mfano umeingia kwenye mahusiano na mwana mke miaka 2 ukampa ujauzito ukamua kumuoa tena kwa ndoa ya kanisani baada ya wiki unagundua kua ni mathilika wa ukimwi na ww hujaathirika...
Habari za week-end ndugu zangu.
Kwa anaefahamu kuhusu hii saikolojia ya wanawake wa aina kama hii tusaidiane.
Kijana unakuta mwanamke umri wa utu uzima kabisa miaka 26 , anakushobokea kila daily...
Binafsi
sivutiwi kabisa na makalio ya mwanamke, yawe madogo, size ya kati au makubwa hayanisisimui chochote kile nikiyatazama
Ukiona nmepishana na mwanamke na nmegeuka nyuma, Basi jua akili yangu...
Habari wajameni,
Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada.
Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu...
Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba.
Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona...
Kama dawa kama kawa. niende kwenye swali bila kupoteza muda kwa wajuvi au ambao wamesha kutana na hili.
Hivi wanawake wanamaanisha nini pale unapokua nae kwenye mahusiano anakuona jau (fala)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.