Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nipo nakula msuli hapa najiandaa na UE Pembeni yangu kakaa mdada mmoja hivi yupo serious kinoma af kavaa miwani Aisee nimempenda sana alivyokuwa serious kwa userious wake umenivutia nahisi...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Nilikutana na manzi mmoja nikawa nae kimahusiano, kabla hajanijua sana nafanya mishe gani na kiuchumi nikoje alikuwa na masharti sana, kwanza nilikuwa nikitaka utamu mara kwa mara akadai ye...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Waheshimiwa. Nimekuwa nikifanya tafakuri sisi ya mahusianao ya sasa. Na nimejikuta nikibaki njia panda kwa maana ya Mapenzi ni pesa au pesa ni mapenzi? Juz kati nimewatokea wanawake tofauti...
0 Reactions
1 Replies
365 Views
Hawa wanawake wana nini jamani? Kila siku vocha natuma ya 2,000 pesa ya kula nampa zaidi ya 5,000 kila siku pesa ya nauli na huduma zote za mwili kama nguo, kusuka na viatu namhudumia. Nimehonga...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Leejay49 Cute Wife Hornet Mahondaw Sky Eclat trudie cocastic Unique Flower Palina Joanah na wengine wote mliopo JF, habarini. Sijaweka andiko hili kudhihaki saikolojia yenu, bali ni kuomba...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari Wana JF ningependa mtazamo wenu katika hili mara nyingi sisi wanaume tunakutana na mikanganyiko katika maisha ya mahusiano hasa suala la kutafuta wa mtu sahihi wa kua naye kwenye maisha...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Mpaka nahisi kama vile napitishwa kwenye majaribu. Mwezi ulioisha niliyabananga kwa ofisi, hivyo nikalimwa ban la wiki tatu. Ndipo huyu mwanamke alipohamia jirani na mahali ninapoishi. Kama...
17 Reactions
27 Replies
4K Views
Privacy ama kujitenga ni jambo jema sana. Wengi hupenda kujitenga mara baada ya kufunga ndoa, hutafuta sehemu ya uficho kwa ajili ya kwenda kutafakari safari yao nzima ya maisha. Watahitaji sehemu...
8 Reactions
76 Replies
5K Views
Wanajukwaa mko pouwa?Huku ni pouwa ndyo napata lunch hapa NAPATA VITU VYA STUDIO PAMOJA NA MBOGA SABA (maisha si magumu kama mnavyozani) Juzi bana nilikuwa kwa mshkaji wangu ambaye tunaivana sana...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Natumai ni wazima kabisa, nina jambo moja ningependa kushauriwa hapa, naamin kuna watu wenye uzoefu na hili na kujua ufumbuzi wake kiujumla. Nakuomba usipite bila kutoa ushauri wako. Je, kuna mtu...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Nishaandika Nyuzi nyingi sana kuhusu Hawa Wanawake, nyuzi zangu nyingi kuwahusu Wanawake nimezielekeza kupitia kucheza na "Ubongo wa Wanawake ". Ukijua hii Sanaa ya kucheza na Ubongo wao...
21 Reactions
62 Replies
7K Views
Usipoteze muda kujaribu kuwafanya watu wakupende, tumia muda wako kwa wale ambao tayari wanakupenda. Mtu akiamua kujiondoa kwenye maisha yako, mruhusu tu kwa Upendo aondoke kwa Amani. MUHIMU...
8 Reactions
4 Replies
698 Views
Nataka nije nitoe mahari kwenu, nitajie mahari yako Najua kila mmoja anamuhitaji mwenzake, kwa kifupi tunahitajiana. Haya mambo ya kumfanya mwingine agharamike sana, ili aonekane ndio muhitaji...
3 Reactions
70 Replies
3K Views
Nimegundua Hawa warembo Wanajifanya wajanja na wajuwaji kwa kila hoja ilihali %kubwa ni weupe vichwaji, kisa tu wanasifiwa barabarani kuwa ni wazuri. Kwanza wengi wao waliofaulu vyuoni kwa kuuza...
40 Reactions
187 Replies
11K Views
Nawasalimu, naomba msaada au tips za jinsi mnavyopata wenzi wa kudumu nao kimahusiano. Kwangu imekua changamoto ya kudumu, mahusiano ya mwisho yamedumu kwa miaka mitat, yamepepea kama mchanga...
4 Reactions
87 Replies
4K Views
Salam, Mwanamke amekamilika kila idara, Kitandani yupo safi tu ila hajui kupika. Je, wanaume unaweza ukaoa mwanamke wa aina hiyo?
12 Reactions
222 Replies
9K Views
Salaam wote! 1993/1994 nyie kina dada, mama mliozaliwa hapo shaka bila hivi sasa mna 30 years old...... Huku mtaani naona nilipo kama wanaanza kusalimia salimia hivi yaani zile dharau dharau za...
15 Reactions
138 Replies
7K Views
Naomba Kupata ufahamu mzuri kutoka kwa wataalumu. Ngono inamchakaza Mwanamke na kumfanyia kuzeeka Mapema? Na kwa upande Mwanaume inapunguza life span? Nauliza hivi kwa sababu Nina Umri wa miaka...
14 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari wana jukwaaa Nikienda katika mada mie nawagawa wanawake na wanaume makundi matatu 1. Ngono ni sehemu ya maisha yao 2. Ngono ni starehe kwao 3. Ngono haina ulazima kwao Kabla ya kuowa...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau nina kisa kimoja ivi huwa najilaumu sana nilichezea bahati kweli Golden chance never come twice nakumbuka kipind nafanya kazi kwenye shirika moja iv kigoma nilikuwa na boss wangu mmoja iv...
18 Reactions
90 Replies
10K Views
Back
Top Bottom