Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wala sina tatizo lolote binti wa dukani kuwa na mahusiano ya kimapenzi maana nae ni mtu mzima tayari mwenye kila sifa ya kupata haki yake ya kimahusiano. wala sina tatizo hata ikitokea rafiki...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Wanawake wenzangu, Ni red flags gani ukiziona kwa mwanaume unaona kabisa huyu hafai kuwa nae kwenye relationship or hafai kuwa mume. Za kwangu ni: 1. Akiwa hana busara 2. Hana tone ya nzuri...
18 Reactions
116 Replies
5K Views
Msichana mdogo wa miaka 18 aliwahi kuja kwangu na kuniomba msaada. Hakuhitaji msaada mkubwa sana kama mwenyewe alivyosema, kwani alitaka kusaidiwa kupata jibu la swali ambalo lilikuwa likimtatiza...
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Kuna vijitabia huwa tunaviita red flags yani mtu akiwa navyo basi hamuwezi kudumu unaanza kutafuta exit strategy. Kwangu mimi: 1. Nikimkuta binti ana chats nyingi na wanaume whatsapp huwa ni...
35 Reactions
131 Replies
12K Views
- Ninanyimwa tendo, wanaopewa ni watu wa huko nje. Hii kweli ni haki? "Najihisi mjamzito Melki! Kama utapata muda kesho, naomba unisindikize tukapime ili niwe na uhakika", yalimbwatuka akiwa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Hellow Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana japo kuwa kuna wakati matatizo yanasababishwa na pande zote mbili Kwa upande wa mwanaume vitu vinavyo pelekea wao kuleta migogoro kwenye ndo ni...
5 Reactions
100 Replies
4K Views
Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa...
21 Reactions
212 Replies
14K Views
Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi kama vile watoto na nyinginezo nyingi. Hata hivyo siku hizi, ndoa...
5 Reactions
21 Replies
5K Views
Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume. Wanaume walio single ukiwauliza wanasema: 1-...
18 Reactions
224 Replies
15K Views
Habar wana jf, Kiukweli nachukia sana mtu kukuona mjinga alafu likimkuta lakumkuta anarudtena kukuomba ushauri iliiweje sasa wakati mwanzo alikudharau kwa ushauri uliompa. Iko hivi kuna jamaa...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wakuu, naimani wote mpo salama... Katika pitapita zangu Twitter nimekutana na hii simulizi ndogo ya jamaa alieng'oa pisi kali Kwaahadi ya kiwanja... Shuka nayo...
37 Reactions
97 Replies
11K Views
Wakuu habari zenu.. Kuna Bidada mmoja nimetokea kumpenda sana. Lakini sasa kila gia nikiingiza yeye zote nimechomoa ila hiyo moja tu ya nina mtu wangu inaninyima amani asee. wakuu si kweli kwani...
5 Reactions
154 Replies
15K Views
Hello JF family, Tusilazimishane, makalio si chochote kwa mwanamke, makalio sio innovation wala creativity, na sio unique attribute kwa mwanamke. Upekee wa mwanamke ama wanawake ni chuchu embe na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
KWANINI WANAWAKE KAMWE HAWATAKI WAWE MATAJIRI?? Wakati mwingine nikikaa peke yangu nakuwa na maswali yangu halafu mengine ninapata majibu haraka sana. Ni majuzi kati tu hapo nimekuwa nikijiuliza...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Jamani nina swali nataka kuuliza,utakuta mtu ana mke wake halafu anamtongoza mke wa mtu na kujinadi kwake kua ana mpenda mpaka hana amani hivi hapo anakua amempenda au ametamani kua naye?.
0 Reactions
217 Replies
14K Views
MAPENZI raha yake ni kupendana. Yananoga zaidi wapendanao wanapopendana kwa asilimia mia. Mwanaume ampende mwanamke kwa kiasi hicho, vivyo hivyo mwanamke ampende mwanaume. Hapo ndipo utaiona tamu...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Huyu si mwingine Bali ni mom's boy. Hii ni term inayotumika kumwelezea mwanaume ambaye anamtegemea Mama yake katika umri ambao anatakiwa ajisimamie mwenyewe. Ni mwanaume ambaye hawezi kufanya...
8 Reactions
39 Replies
3K Views
When choosing a woman who works, you have to accept that she can't handle the house all alone. If you have chosen a housewife who can take care of you and fully manage your household, you have to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom