Mambo vp wadau
niende kwenye swali dialect
Hivi nikwanini mwanaume anapo pata mwanamke (girlfriend) mwenye kauchumi kazuri akawa anamjali (kumuhonga) kama vile kumpa vipesa, kumnunulia mavazi nk...
Nimetoka na mke wa mtu,..binafsi nimejutia Sana hichi kitendo na nimemuomba mungu anisamehe kwa hii dhambi,.
Lakini toba ya kweli ni kumuomba ambae nimemkosea hapa duniani bhasi yeye akikubali na...
Kuna mambo yanafurahisha sana.Una mke umejenga nyumba(wife ni Maza wa nyumbani) wewe unafnya kazi hukooo mbali ukaona wife asiteseke ukamtaftia house boy almaarufu shamba boy.
Nyumbani kwa mwaka...
"Mwanangu ahsante sana na nimefarijika kwa kunikumbuka na kunitafuta, mimi ndiyo baba yako na ujue tu kuwa una baba mmoja tu, huna baba wawili.
Mama yako ndiye alitaka haya yote, alinizuia mimi...
(Baadhi ya maelezo ni kutoka katika kitabu cha John Gray kinachoitwa 'Men are from Mars, Women are from Venus' Chapter 8, ukurasa nambari 87)
Hisia ndio msingi mzito katika mahusiano ya mwanamke...
Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika.
Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina...
Imekua ni mazoea kila mchana mda wa lunch break kazini kupata lunch pale maeneo ya mzumbe tawi la Mbeya,
wengi watakubaliana na mimi ile sehem ni Mbuga maana kila mnyama unaetamani kumona yupo...
Habari wajumbe, mko pouwaa? Huku ni safi kabisa.
Jana bana baada ya kutoka kwenye mishe zangu za kulisaka tonge nikaona nipitie kijiweni kidogo kupata gahawa. Si unajua tena hii ndyo mitaa yenye...
Alooooooo Kuna hili jambo hebu tulidadavue.Mwanamke ukiishi naye miezi sita bila ndoa anatambulika kama mkeo.Ila ukimfumania ukataka kumwajibisha unapata vizuizi kwa kuwa hamna cheti cha ndoa...
Kwa lile pila la yanga, leo sijala siku nzima[emoji23][emoji119]
Wakuu aliwahi kusema mtu mmoja "Genius is someone who has discovered something more funnier than sex".sidhani kama Kuna neno moja...
Wakuu natumai hamjambo?
Twende kwenye mada.
Hivi karibuni nimekuwa nikijiuliza kwann sex iko so powerful. Everythng seems to revolve around sex, music praises sex, movies, books, hata mada nyng...
Ma Bibi na Ma Bwana,kwa mtu yeyote aliye Vunja ungo au kubalehe,hapan'shaka tambara hili atakuwa na ufahamu nalo.
Kumtukana mtu mzima waziwazi na kumsimanga kila uchao,matokeo yake ndio hayo.
Miaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu.
Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo,
Alilima nyanya na pilipili hoho, mwaka huo 2019...
Habari wakuu
Nina mpenzi wangu tuna mahusiano zaidi ya mwaka lakini haipiti week mbili bila kugombana
Yaani lazima tuu tugombane na visirani sana tena sana , unaweza ukampigia simu hapokei au...
Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na...
Inawezekana vipi sms ikajituma kwa mtu kupitia simu yako pasipo wewe kuandika hiyo sms?
Iko hivi baada ya kuhisi nasalitiwa na Nanii ikabidi nichukue simu yake kwa ajili ya kufanya...
Habari
Kwa nchi za Afrika Tanzania ikiwemo kuna trend kubwa ya wanaume kufa mapema kuliko wake zao.
Wakati naishi Uswahilini nyumba nyingi nilizopanga au nyumba za majirani nyingi hazina wanaume...
Habarini wakuu, naimani ninyi humu wote ni wazima wa afya!
Kama Kijana wenu bado naendelea kuteseka na mapenzi maisha nayo yananichanganya sana mpaka nakaa nafikiria kujiua nikapumzike kaburini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.