HARVEY: MIMI NA MKE MAMBO SUPA BULL BULL
Mara baada ya kutawala kwa habari zakuachana na mkewe, Marjorie Harvey katika mitandao ya kijamii, mchekeshaji na mshauri wa mambo mbalimbali, Steve...
Mfano, wewe mwanaume una hela, Unasukuma gari nzuri kiasi, laki mbili tatu za bata kila wiki hazikupigi chenga, una kazi nzuri na biashara, una nyumba nje ya mji, kibongobongo watu tunaassume...
Habari wana JF,
Kuna uzi niliusoma humu ndani. Kuna member alisema ukitaka single mama akupende na akujali, basi mjali sana mwanae
Hivyo nikashikilia hili jukumu kutoka kwa mwanamama mmoja hivi...
Mambo yamebadilika sana, kwa sasa mwanaume hawezi kupata mpenzi kama kiuchumi hayuko vizuri. Pesa ndio imekuwa kipaumbele kwa wadada wengi, katika hii dunia.
Na hii hali inapelekea kwa wadada...
Twende kwa haraka,
Huu msemo wa "Tafuta pesa kwanza achana na mapenzi" au "Single na naenjoi" ni misemo ambayo in reality haitekelezeki, hakuna kitu kinaitwa tafuta pesa kwanza ndio ujihusishe na...
Haya kumekucha amka, amka sasa utume sms nyingine ya "Morning my love" juu ya sms nyingi za jana za "umeshindaje" "nakupenda" "uwe na usiku mwema" ambazo hazikujibiwa tangu mchana na mtu alikuwa...
Nimegundua mahusiano yako very risky kidogo kwa mwanaume asipokua makini.
Kwa sababu unaweza ukapata mwanamke ukampenda na kujitoa kwa kile chochote ulichokuwa nacho kwa ajili yake lakini...
Wakuu nina rafikia wa kike aliposting picha ya rafiki yake status whatsapp nikampenda nikamuomba namba akanipa.
Nikamtafuta nikamuambia fulani kanipa namba yako akasema poa, nikaa kama week...
Habar wana jamvi ,leo naomba tutoe ushuhuda kwa wale ambao tumelewa na watu ambao sio wazazi wetu mfano Baba mdogo, Mama mdogo, Shangazi, mjomba, mama wa kambo nk ila wakatundea mema
Mimi baada...
Je utachukuliaje wewe (mwanaume/mume) ukigunda mkeo anavuta bangi? Au wewe (mwanamke/mke) ukigundua mmeo anavuta bangi?
Inakuaje kuna watu wanafanya kazi nzuri kabisa managers, engineers...
Kwanza nikiri tu kwamba nawaheshimu sana Walimu.
Nafahamu kwamba profession yoyote duniani ina sifa kuu nne (4);
(1) Wanavaa mavazi maalumu wakiwa kazini (Attire).
(2) Wana lugha ambazo wanaweza...
Jinsi mama wa msichana alivyovuruga mahusiano yangu.
Hii ni true story
Mwaka 2019 nilimpata Binti wa kichaga akanipa condition moja tu kwamba kama nahitaji mahusiano naye basi natakiwa...
Kwenye mapenzi ubunifu hauishi, hata hatujamalizana vizuri na utundu wa kufinyiwa kwa ndani (utalia kama mtoto 😁), Lishaibuka jipya saizi kuna utundu mpya umebuniwa.
Pipi Hizi hutumika pale...
Habarini wandugu,
Moja kwa moja kwenye mada yetu.
Rafiki yangu mmoja aliniuliza `Hivi King Jody umewahi kunyimwa unyumba na mke wako? Nikamjibu hapana, hata mara moja, nikamwambia nipo kwenye...
Nipo zangu kipande cha Coco Beach time hii nakula upepo wa bahari.
Kuna mwamba kaja na mwanamke pamoja na mtoto wa kiume i'm not sure ila wanaonekana kama familia, mwamba kakodi boya kaenda...
Za asubuhi.
Inakuaje mwanamke unakuwa busy kupekua simu ya mumeo na kuanza kusoma message kuanzia jamiiforum ,fb hadi normal text.
Wakuu niko na mwanamke ninayeishi naye sijamuoa Ila treatment...
Miaka ya nyuma kidogo wakati niko msela alikuja single mama 1 ambaye tulikuwa na mahusiano ya kunyapia nyapia lkn ujio wake kwngu siku hiyo haukuwa kwajili sex kwa maelezo yake, baada ya kufika...
Nina mwanangu wa kike mwenye umri kama wa miaka 12 hivi. Ana matatizo mawili ambayo nimeshindwa kupata ufumbuzi wake ndio maana nikaamua kuleta huu uzi hapa ili muweze kunishauri.
Tatizo la...
Hili swali nimeuliza muda Sana Ila nashindwa kuweka uzi.
Jaman wenye elimu ZENU naombeni niwasaidie, hamkusoma ili mkaajiriwe, jiajirini basi tuone matunda ya elimu yenu?
Mwanaume kukupenda sio...
Yani unataka upate kitu cha tofauti toka kwa Mke wako. Ile fujo ya kingono isiyo na aibu.
Unamletea na ka beer/ wine ili atoe aibu expecting that in bed she is gona give it all, jamani ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.