Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mimi bado kijana damu bado ya moto, ni madem wengi wananipaparukia lakini stimu zangu huwa zipo kwa majimama (shuga mummy) . Kuna jimama moja nimelipata Dar mtaa mmoja unaitwa Chamazi , sasa...
6 Reactions
73 Replies
7K Views
Nimeamua kuandika Uzi huu, ili vijana tukumbushane kutumia Fursa kwa muda muafaka baada ya kufanyiwa uhuni na rafiki yangu mmoja(x). Ndugu yetu huyu (x) amekuwa na tabia ya kulalamika kuwa Hali...
24 Reactions
156 Replies
6K Views
Kama mwanamke wako amewahi kukupa mojawapo ya maneno haya, unatakiwa kujitafakari. "Usifikiri sitongozwi...nakuheshimu tu!" " Usidhani nakuogopa, nakuheshimu... " " Hata mimi naweza kufanya...
22 Reactions
87 Replies
8K Views
Habar za leo wana JF, Mwenzenu nimepata changamoto ambayo asilimia kubwa ya sisi vijana tunaipitia haswa kwenye ishu ya mahusiano. Kuna mdada tulipendana nae mwaka 2020, tunapendana kama mbwa na...
19 Reactions
97 Replies
7K Views
Usiku unaambiwa amechoka hadi asubuhi, asubuhi unambiwa ngoja nimalizie usingizi, yani unapigwa danadana kama unaomba kazi vile au nini. Af we unahasira mtu kakunyima, anaingia kwenye simu...
50 Reactions
162 Replies
11K Views
Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata...
9 Reactions
56 Replies
3K Views
Mwanangu mpenzi siku ukiona nimezeeka naomba uvute subira na kunivumilia ila zaidi ya yote jitahidi kuelewa ninachopitia. Ikiwa tunapozungumza, narudia jambo lile lile mara elfu moja...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu niaje sijawahi Omba ushauri Jf bt imebidi coz nahisi naenda kudata. Sitaki tuchoshane na stori,ndeeeeefu ila tu niambieni nimekosea nn mazee maana ni siku ya 5 sijiskii poa nahisi kama...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Nina swali jaman et wanaume wa kiislamu wanafunga ndoa na wanawake wanne kwaiyo anavaa Pete zote nne au kila akioa nyingine anatoa??? FaizaFoxy
19 Reactions
105 Replies
5K Views
Salama waungwana, Niwaulize kwa uchache tu hivi huu ubinuaji wa maprosoo a.k.a makalio Kwa wanawake wakati wakicheza miziki nyakati hizi za ndebendebe na amapiano ni kwamba wanakuwa na stimu...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Baada ya purukushani za muda mrefu sana na haya maisha nimegundua kukosa umakini wa kufikiri na kuamua mambo kwa weledi yamepeleka mahusiano ya mapenzi kuwa ndio chanzo kikuu cha watu wengi...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
KWENYE LUGHA KUNA MOTHER TONGUE, KWENYE MAPENZI KUNA FIRST LOVE, TUNAITA MAIN BASE YA MAHUSIANO. Na, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu duniani kina msingi wake. Ipo misingi imara na Ipo misingi...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwanza kabisa mimi sio mlevi wa pombe kivile ila siku moja moja huwa inatokea bahati mbaya tu napitiliza. Lakini hata nilewe tilalila kuna vitu ambavyo siwezi nikavisahau ambavyo ni 1. Namba ya...
8 Reactions
74 Replies
5K Views
Ni kisa cha mwanamke mmoja ambae kwa Sasa ni mfungwa gereza wa Moja hapa nchini akitumikia kifungo maisha kutokana na kosa la kumuua na kumhanithi mumewe kwa kutumia dawa ya matone ya jicho. Nesi...
44 Reactions
357 Replies
33K Views
Habari jf. Naomba uzoefu wenu watu wazima mlio na watoto au watoto ambao umezaliwa kwenye familia hii. Ni zile familia ambazo Baba yako kazaa na wanawake hata 2 au zaidi ya 2 na wanawake aliozaa...
3 Reactions
11 Replies
810 Views
Mkulima mmoja mzee kijijini alikuwa na mke aliyependa sana kumbugudhi bila huruma. Kuanzia asubuhi hadi usiku na wakati mwingine hata usiku wa manane, wakati wote alikuwa akimlalamikia kuhusu...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwenyewe Ommy anmeweka wazi kwamba anamheshimu baba yake lakini hana ukaribu nae Ila wanaume buana, yaani alijua kabisa amezaa, kwa hiari yake akamtelekeza mtoto, ila sasa kafanikiwa anamuombea...
7 Reactions
166 Replies
11K Views
Vilio Ni vingi! Ooh ni viiingi saana! Hawa wameuana kwa wivu wa mapenzi, huyu amejinyonga, yule anakonda amesalitiwa, mmh makubwa haya! Kwenye nyumba ile, wazazi hawana amani juu ya watoto wao wa...
0 Reactions
13 Replies
939 Views
Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu. Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita. Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama...
40 Reactions
128 Replies
8K Views
Wakuu nipeni ushauri mdogo wenu. Nipo kwenye mahusiano na huyu binti kimsingi tulianza mahusiano kipindi nipo mwaka wa kwanza chuoni (hivi sasa nipo mwaka wa pili), lakini yeye tayari hivi sasa...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Back
Top Bottom