Habari wana MMU? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Naomba kuwashirikisha kisa kimoja na mpenzi wangu Salma. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa takribani miaka 2 ijapokuwa kimtindo...
Nimefadhaika, nimehuzunika, nimekasirika, nimeshangaa, nimechoka na nimekata tamaa kabisa!!
Yaani jamaa analia 'live' mbele ya wazee waliokuja kusuluhisha mgogoro wao na mkewe ambaye anadai...
Wakuu nna mwanangu mmoja bana sweden.. ana mwaka wa 3 huu sasa jamaa hana mtoto hana mke wala nin bongo.
Anasoma now..
Jamaa ni wale ma blaza meni yan.. bono alikua anamilik watoto wakal...
Si mmekuwa mkisikia kuhusu mtumbwi wa vibwengo? Tupo tuliouparamia na ukatushinda almanusra nafsi, roho, uhai ututoke!
Ilikuwa ni pisi fulani hivi tamtam ambayo nilidumu nayo kwenye dimwi la...
Habari zenu wanajamii ninaomba msaada wenu nilikua na mpenzi wangu niliyempenda sana na tumepanga malengo mengi sana kiasi kwamba nikatulia nae lakini wiki moja iliyopita nikakuta sms za kimapenz...
Salaam!
Nimekaa hapa nimekumbka kisa kilichonikuta siku za nyuma kidogo. Iko hivi katika harakati zangu za pimbi nilikutana na binti mdogo tu miaka 19 mitaa hii ya wasukuma.
Nikaomba namba...
Habari wanaMMU it has been a while sijatokea hapa sababu ya purukushani za dunia hii
Je ulishawahi kujiuliza mke wa mwanaume anayeenda kazini kila siku asubuhi anachepuka muda gani?
Wakuu naweza...
"Aiseee...wanajamvi, Ndugu zangu, napenda kuwapa habari njema! Maisha yangu yamebadilika sana tangu nimeamua kukimbia ubachela na kuingia katika ndoa. Sasa hivi natarajia kubarikiwa na zawadi ya...
Niruhusuni niende moja kwa moja kwenye uzi tafadhali...! Hivi, nini maana ya uzinzi? Na je, uasherati maana yake ni nini? (........TAFADHALI, HAKIKISHA UNATOA MAANA YA NENO UZINZI NA NENO...
Wasalaam nyote.
Kuna kampeni nimeona iko endelea hapa Jamiiforums. Imepewa Jina la kataa ndoa na maneno mengine yanayoambatana nayo.
Kwanini kampeni hii imeachwa ikaendelea kuwepo kwa muda. Hawa...
Jamani wazima?
Sisemi nimepata au sijapata ila kwa sasa nimesitisha utafutaji wa mume kabisa na asanteni kwa ushirikiano wenu. Kweli i was so happy kumeet na watu wanaheshima, upendo na...
Subira ilinitembelea Na ilinikumbusha Kwamba mambo mazuri huchukua muda kutimia Na kukua polepole na kwa utulivu
Amani ilinitembelea Na ilinikumbusha kubaki mtulivu kupitia dhoruba za maisha Bila...
Hii ni kwa kizazi cha cha mapenzi ya barua na zawadi za maua
LEO nimemkumbuka neema kupitia uzi fulani wa ..kimasihara zilizofeli,,,,
Popote alipo neema mwambieni mungu atalipa tu alonitendea...
Kutokana na utafiti uliofanywa na vyombo vya kimataifa kama New York times kuhusu utamaduni wa kufunga ndoa.
Unaonesha utamaduni wa kuoa au kuolewa unapoteza nguvu ndani ya jamii zile zinazo...
⚠️😳 Kwa mshtuko na masikitiko ya kutoamini Jamaa huyo kwa jina la Chido amejitosa waziwazi kuomba ushauri mtandaoni kufuatia ndoa yake ya miezi mitatu tu kupumulia mashine kwasasa
Chido amesema...
Ni Ijumaa kareem njema!
Hii hali niionayo si dalili njema.
Dar es Salaam karibu kila mwanaume ninayekutana naye ana tumbo kubwa, nini hiki?
Kiafya si dalili njema, kimahusiano si dalili njema...
1. Kumpa uhuru wa kuwasiliana nawe.
Wengi wapenzi upima na kuyafurahia upya mahusiano yao kwa kuona nafasi aliyonayo kimawasiliano na mpenzie au mwenza waliotoka kukosana na kuombana msamaha...
Mpe kijembe hiki ex wako au kibaraka yoyote
Jiko La Shamba
Kwangu huwezi kutamba, nimekutoa thamani
Ewe mnukia vumba, hufai kuwa jikoni
Bado unao ushamba, mapishiyo ya nyikani
Wewe ni jiko la...
Ndugu zangu, napata shida sana kuelewa mawazo tofauti tofauti ya wazazi na walezi wetu.
Mara zote wazazi wangu na walezi pamoja na ndugu na jamaa wanao wanaonizunguka wamekuwa wakisisitiza nioe...
, Siku hizi imekuwa ni kawaida sana wazazi kujua kijana wao ana boyfriend ama girlfriend na wazazi hawana shida.
Hapo wazazi wanajua kabisa kwamba vijana wanasex ila wanaona ni sawa tu, na hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.