Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari za jumapili njema na tulivu. Naomba kuuliza maana kuna kitu kimenipa utata kidogo. Nimeona message jamaa ana chat na mpenzi wake nilikuwa napiga chabo tu kwenye daladala la kutokea Ubungo...
1 Reactions
44 Replies
7K Views
Hivi sijui ni mimi tu au kwa wanawake wote? Kwa karne ya sasa tutaolewa kweli au tutaishia kuwa Mababy mama tu? Siku hizi mambo yamekuwa mengi sana kiasi kwamba mtu akikwambia anakupenda unaona...
24 Reactions
37 Replies
3K Views
Habarini. Waungwana nakuja mbele yenu na majanga ya rafiki yangu kipenzi na ninahitaji ushauri wenu wa busara. Naomba tusilifanyie hili swala nitakaloleta hapa mzaha bali ninaomba tushauriane kwa...
17 Reactions
167 Replies
16K Views
Nusu ya hekima ni kunyamaza na kukaa kimya. Ipo nguvu Katika kunyamaza, kuepusha mambo mengine yapite. Wanawake wenzangu huwezi kushindana na mwanaume aliye kudonoa (aliekuvua nguo) ingawa...
12 Reactions
75 Replies
4K Views
Nafasi niliyoiacha hapo juu ni ya salamu, doesn't mean anything to me. Hali inatia kinyaa. Nipo DSM, 99.9% ya akina dada ninaowaona wote wana vitambi na matumbo yaliyojigawa... yaani tumbo...
39 Reactions
246 Replies
12K Views
Ndugu zangu , jioni ya leo ndiyo kama hivi tena.. Tuliambiwa tutakula kwa jasho, tutailima ardhi nayoitatupatia matunda yake, miiba ya makondeni itachipua na mboga mboga za huko zitakua fungu...
0 Reactions
4 Replies
816 Views
"Hakuna watu wanafiki huku Duniani kama Marafiki WA mpenzi wangu (mashemeji WA KIUME) Wanajua ubaya, siri, dhambi nyingi anazofanya mpenzi wangu lakini watakunafiki mwanzo mwisho😱 Wakikuona Tu...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
heylo guys! nawashukuru sana mnaosoma hadithi zangu nawapenda mno, la mwisho: Wote nawapenda Wote mnaruhusiwa kunipenda, Mungu ameagiza tupendane na kumpenda jirani yako Ila naomba wale wanaoenda...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
0 Reactions
1 Replies
261 Views
"Hata kama ni mumeo ila mimi unaniuzi" Ni maneno yaliyonifanya nisome vizuri texts za huyu jirani yangu hapa kwenye bus la kwenda Dodoma usiku huu. Ni mzee wa makamo kama na 45-50 hivi. Binti...
13 Reactions
59 Replies
3K Views
Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kuelimika zaidi kutoka Kwenu Wepenyaji wa Milangoni ( kama GENTAMYCINE ) na Wamiliki hasa na Milango yenyewe husika ambayo Kiasili inasemeka huwa inapitika muda...
1 Reactions
5 Replies
484 Views
NI swali nimeuliza hapo, nisaidie kujibu basi. Mimba huwa inakuwa ya mwanaume au mwanamke?
7 Reactions
73 Replies
4K Views
Jana nilikuwa na jamaa mmoja anajiita Dalali wa mapenzi, na hata ndio maongezi yake Dalali: money penny bwana inabidi upewe maua yako?? Money penny: ya kwenda wap me natafuta hela Dalali...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Unakuta Wewe Mwenyewe kabisa ukijiangalia na hata Kujipimia Kimoyomoyo Maumbile yako ( Uume wako ) ama unauona ni mdogo au wa Kawaida lakini kila Mwanamke unayekutana nae ataulalamikia kuwa ni...
7 Reactions
74 Replies
7K Views
Punguzeni Upendo maana Upendo ni Kero.Yaani unampenda mwanamke Hadi anajiona ni kama hayupo huru.Anaogopa Hadi kukuchiti Kwa Upendo unaompa. Kila muda unamtumia meseji ya kumjulia hali hutaki...
3 Reactions
10 Replies
846 Views
UKIMYA nao ni SAUTI ambayo inatakiwa KUSIKILIZWA. Ukimuona Ndugu,Rafiki,Mwenzi n.k..wameanza kuwa wakimya tofauti na zamani, usipuuzie. Sio kila mtu anakuwa na UJASIRI wa kuongea anachopitia...
18 Reactions
24 Replies
1K Views
Haijawahi kutokea niliyempa akanitafuta! Nimewahi kuzitoa zaidi ya mara 15. Jana nikabahatisha tena kwenye daladala, akanipa hadithi ileile, 'nipe yako' huku akinipa simu yake niandike...
27 Reactions
40 Replies
3K Views
Waungwana kwema? Wale wa kataa ndoa endeleeni ninawatia moyo ili mtafute amani yenu na sisi tunaotaka kuoa tuwe makini kuchagua na wenye majukumu ya kitaifa tunawatia moyo Ninaulizia sehemu...
7 Reactions
96 Replies
9K Views
Wakuu, Hivi mnaona ni sawa kwa mwanaume kulala bila nguo kabisa? Yaani bila hata bukta wala boxer Ikitokea dharura usiku utafanyaje? majambazi wamevamia au moto una waka. Mi naona mwanaume...
2 Reactions
109 Replies
18K Views
Wakuu, Kuna mwanamke flani Niko nae kimahusiano miaka kadhaa, mwezi ulopita kwenye tarehe ishirini na kitu hivi, ilkuwa ni birthday Yake kutimiza miaka kadhaa kiumri. Nami Kama mwanaume wake...
7 Reactions
107 Replies
8K Views
Back
Top Bottom