Sio ujinga ila imekuwa kukomoana siku hizi. Yaani kama mmeachana basi kila mtu anatoa vijembe vyake kumuumiza mwenzake.
Kama una ex wako bora kufuta namba yake [emoji23]
Habar wakuu,
Mimi ni Kijana wa 23 nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania.
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kiukweli nilimpenda sana, ilikuwa ngumu kwa yeye kunikubali lakini baadaye alikubali...
Nyie wanawake wa mjini mpewe maua yenu tafadhari. Mmekua watu wazuri Sana kwa wanaume majasiri, wanao jituma na wanao jipenda.
Mmekua ni watu wa straight to point hamna mambo mengi, mmefanya...
Ni ajabu kuona mwanamke mwenye akili timamu analifurahia hili na kuliona lipo sawa.
Hivi hamuoni zile juhudi za mama zenu na Bibi zenu kuwapigania msiwe chombo cha starehe mnazihujumu na...
( )
Nafasi iliyo wazi ni ya salamu zangu asubuhi hii. Kwa kweli miungu na asili hupenda haki mno.
Katika kila ufanyalo uwapo peke yako, ukiamini upo peke yako basi unajidanganya. Kuna viumbe...
Naongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana...
Salama Wakuu..
Humu jukwaani kumekuwa na uzi unaotembea kwa kasi sana tena kwa miaka mingi bila kusleep hata kwa dakika 120 tu wa kula tunda kimasikhara..
Ila najua kuna kina sisi ambao kwa...
Hello bila shaka mu wazima, poleni kwa wale wenye changamoto za hapa na pale, Mola awape ujasiri wa kukabiliana nao na kuushinda!
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu...
Wakuu salaam.
Nimekutana na jamaa hapa ananiambia ashawahi kupiga goli kumi na moja kwa usiku mmoja.
Hii kitu inawezekana kweli? Kuna mtu ambaye ashawahi fikisha?
Nawasilisha.
Nimepoteza funguo ya ghetto!,funguo nyengine anayo mtu mwengine ambae kuja mpaka kesho kutwa na huyo mwenye funguo nae kapoteza simu Sina mawasiliano nae!.
Utamu kunoga upo hapa:
Second option...
Hello guys hatujambo sote!
I have got few words to share, please everybody has got a private world of their own, and this should be born in mind and respected by all people.
This has to be very...
Huo ndiyo ukweli kubali au kataa haibadilishi ukweli huo!
wale wataalam wa sayansi wamelithibitisha hilo kwa kusema
"Like charges repell and unlike charges attract"
binadam kaumbwa kugombea...
Wasalaam
Katika harakati za maisha nimejikuta nikienda sehemu nyingi na kukutana na watu wengi sana. Sehemu kubwa ya watu ninaokutana nao wana matatizo makubwa ya ki-mahusiano; wanaume kwa...
Wakuu Ndoa ni tamu, ndiyo ndoa ni tamu kwani kuna mtu anabisha kwenye hilo
Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi...
Nina Visamvu Viwili vya kuchukua Mwenge na Ubungo ngoja nivifuate nije nivitwange na Mchi Mmoja niliouandaa ili nione kama hakuna tofauti au Mtaalam ndiyo Kakosea na Katudanganya.
Habarini members, natumaini mnaendelea vyema na majukumu ya kujenga taifa.
Ningependa kupata msaada wa mawazo kutoka kwenu ni jinsi gani naweza kushughulikia swala hili. Mimi binafsi sio mtu...
KILA mmoja atakubaliana na mimi kwamba mahusiano baina ya wapendanao kwa kawaida yanakusudia kuwa ya upendo, maelewano, kuaminiana na urafiki wa hali ya juu ingawa hali halisi siyo hiyo katika...
Habari zenu
Niende kwenye mada direct inayo muhusu rafiki yangu mmoja wa faida sana, tumekua tuki badirishana mawazo ya kimaisha , mahusiano nk,
Huyu rafiki yangu leo ameniambia kitu ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.