Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Bado naendelea kurekodi VIPINDI vyangu vya YouTube, ndio maana skuhizi siandiki Uzi Sana huku hata HADITHI kwenye website nimesimama Kwanza, YouTube unachukua muda wangu mwiingi nikitoka hapo...
3 Reactions
97 Replies
7K Views
Mtu mzima anayependa/kuvutiwa kufanya mapenzi na watoto wadogo, kitaalamu anajulikana kama pedophile kwa lugha ya kiingereza. Hii ni hali ya kiafya ambayo inamfanya mtu mzima kuvutiwa kufanya...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
3 Reactions
155 Replies
13K Views
Kuna pisi nilizoeana nayo since last year na tumekuwa nayo very close na tumeshasex kama Mara mbili. Ila cha kushangaza juzi alipita kaka yake akatuona ila hakusema chochote mpaka baadae dem...
16 Reactions
143 Replies
6K Views
Jana nilitoka out bwana nikiwa out basi wakaja akina mama wamejitoa out wana vikoba (nadhani pesa ilikuwa imepatikana wakaamua kujirusha) katika kuongea ongea kwao mara umeme ukazima Mama mmoja...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
I have been in love with her since day 1, I used all means to prove that to her but all she says she sees me as a normal friend thats hurts too much. When i try to mute and pretend to be busy...
8 Reactions
144 Replies
7K Views
Wakuu habarini za Jumapili Katika maisha yangu kuna vitu nimejaribu kuviona hasa kwa sisi wanaume ingawa sio wote. Nilishawahi kutogozwa na mwanamke kwa bahati mbaya aliniuliza kuwa una mtu...
1 Reactions
9 Replies
990 Views
Wasalamu aleko. Kuna demu wangu tuna mwezi tuko nae, juzi alikuja sehm yangu ya kazi,alikuja kavaa wigi. Baada ya kuondoka nikanwambia asije kurudia tena kuvaa mawigi mi sipendi na sitaki awe...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Hello Wadau!! Naenda Moja kwa Moja kwenye topic. Mimi binafsi naenda kwenye style ya uombaji michango, Jana mishale ya mchana ghafla najikuta nimeungwa kwenye group la kuchangia mchango wa...
6 Reactions
64 Replies
6K Views
Enyi wadau wa JF, hapa nimezungumzia tofauti zilizopo, Isitafsiliwe kwamba nawachukia wanawake wembamba Hapana, Bali nimejaribu kuonyesha tofauti 10 zilizopo. Note; wanene hapa namaanisha wenye...
6 Reactions
246 Replies
62K Views
Mama ni moyo ana mapenzi ya dhati yaliyovuka mipaka kwa mwanae, leo hii hata mama yako ukimwambia unataka kuwa msanii hata kama hujui kuimba atakupa sapoti, mapenzi haya kwa mtoto kuna muda huwa...
61 Reactions
66 Replies
7K Views
"Hakuna ndugu na rafiki wa karibu kama mkeo kama utaishi nae vizuri ndio maana wanasema mume na mke ni mwili mmoja kwa maana hii mkeo ni zaidi ya ndugu yako mkiheshimiana mkapendana na kukubaliana...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela. Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Anyaashimika! Kwa kweli leo nimekokotoa kitendawili! Tabia atakayokua nayo mwanaume kwa wanawake itachangiwa na maisha aliyoishi na ndugu zake, hasa wa kike wakati wa balehe. Mara nyingi mtoto...
7 Reactions
58 Replies
2K Views
Dunia ya sasa imebadilika, kuanzia kiuchumi mpaka mahusiano. Watu hawaoi na hawaolewi, wanaona bora kuzaa tu maisha yaendelee; sasa kama wewe unataka uangukie kwenye hilo kundi, endelea kuleta...
17 Reactions
52 Replies
2K Views
Zingatia kichwa cha Habari Hakuna kitu kinachotesa wazee wengi kama wale ambao wana watoto wengi kwa wamama tofauti hii ujanani unaweza ukajiona mwamba lakini mbele ya Safari kwenye utuuzima...
78 Reactions
192 Replies
12K Views
"Moja ya ukatili ambao wanawake wanafanyiwa ni kufanyishwa kazi majumbani bila kulipwa, kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako, yule...
19 Reactions
230 Replies
11K Views
Ni jeuri kuliko ujeuri wenyewe! Ujeuri wake hauangalii kamwe usingle mother wake, wala msaada unaofanywa na mumewe wa kuishi na mtoto wake aliyemkuta. Ye ni kumjeuria tu mumewe muda wote tangu...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wasalaam, Nawakumbusha tena camera ambazo ni ngumu mtu kujua zimejaa tele , kuondokana na hii vita ya wadada ama wanawake kuwa na mpango wa kuturogea kimapenzi. Mimi najisanua kila mara...
0 Reactions
5 Replies
878 Views
Leo ni siku ya tano ya mahusiano yangu na binti mmoja kutokea familia ya kitajiri huko Sinza. Bado sijatafuna mbususu yake iliyododa na kuumuka mfano wa kitumbua cha Pwani Huyu mpenzi wangu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom