Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari wakuu, Moja kwa moja kwenye mada. Kwanza Mapenzi ni hisia na hisia zenyewe ndio zinatengeneza kitu kinaitwa UPENDO. Mimi nimewahi kuwa kwenye mahusiano kadhaa wa kadhaa nimewahi kuwa...
7 Reactions
46 Replies
4K Views
Wasalaam nyote, Karne hii binadamu wehu wanetamalaki, hawajui kusudi lao la kuishi, hawajui wajibu wao wa msingi katika kuishi furaha na amani. Wanawake wanaimba kufikishwa what a shame...
0 Reactions
6 Replies
490 Views
Wanawake wanapenda kuwa michepuko ya waume za watu kwa sababu wanaamini mme wa mtu mchana yupo kazini usiku yuko nyumbani hivyo ana muda mchache wa kufanya uzinzi maana lazima kila siku arudi...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Shikamooni wanawake, hakika tumeshindwa namna gani tutafanya ili kuishi nanyi kwa akili Nilimtongoza huyu mwanamke pasi na kujua. Ili nimpate haraka nikaingilia gia ya kutaka kumuoa. Akaamua...
5 Reactions
11 Replies
622 Views
Hii ni stori ya ukweli iliyo tokea nchini Tanzania, jijini Arusha mnamo mwaka 2021, mwezi wa septemba ( 9 ) tarehe Kama ya leo 09. usiku wa saa 7, mwanadada mrembo aliye amua kujiua mwenyewe...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Tulikutana Chuoni kwao, nikiwa nimeenda kwaajili ya mishe zangu zingine kabisa, kilikuwa kipindi cha mitihani, kwahiyo alikuwa busy kusoma. Nikaenda kukaa kwenye kimbweta alichokuwa amekaa bila...
19 Reactions
62 Replies
3K Views
Wakuu nina hoja ya kuwashirikisha, Nina mchepuko na kama utapitia thread au michango kwenye thread za watu nazochangia utagundua nipo na ukweli Ipo hivi mchepuko kabeba mimba ila kubeba mimba...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Kila mwanaume anatarajia kupata sex kutoka kwa mwanamke wake. Ladies, Mwanaume anapokutongoza, moja ya kitu anatarajia kutoka kwako ni SEX. Hivyo unapomwambie "Nakupenda pia" ni sawasawa na...
14 Reactions
64 Replies
4K Views
Makanisani ndio sehemu kwenye mafisi wengi wenye ngozi za kondoo. Watu wengi waliokosa wachumba hukimbilia kanisani kudhani kuwa mke bora au mke mwema hupatikana kanisani, lakini mke mwema hutoka...
62 Reactions
162 Replies
17K Views
Habari za muda huu wanajamvi!. Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika. Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja...
38 Reactions
269 Replies
13K Views
Ndio hivyo Kwani uongo?? Tatizo hamtusikilizagi Na wote mnaotusikiliza mnatoboaga Sana kimaisha 1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your...
21 Reactions
154 Replies
4K Views
Shout out kwa wale wote ambao bado wana imani katika mapenzi ya kweli! Katika mahusiano au ndoa kuna ups & downs ambazo huja na kupita. Impact za hizi ups & downs inategemea na stability ya...
2 Reactions
47 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa utafiti Hizi ndio Staili zinazotumiwa sana na wamaume wakati wa kupeleka Moto. https://twitter.com/stats_feed/status/1700354024862540003?t=dIJWK4ou9gPj-Y-caHp6hg&s=19
2 Reactions
10 Replies
920 Views
Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!. Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute...
3 Reactions
11 Replies
736 Views
Wapendwa hamjambo? Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba...
22 Reactions
399 Replies
41K Views
Anyo-Ashi-Mikaaa! Nakumbuka ni kama miaka 5 nyuma, rafiki yangu ambaye alikuwa classmate wangu alinipa clue kuhusu JF kwa mara ya kwanza... akasema ni jukwaa la ajabu sana. Akanieleza kuna mtu...
34 Reactions
81 Replies
4K Views
Ukweli ni kwamba wanaume tumekuwa wahanga wa kusingiziwa na wanawake na jamii ikaamini ni kweli, inapotokea mwanaume ukasingiziwa na mwanamke kuhusu jambo lolote lile jamii huwa inamwaamini...
18 Reactions
30 Replies
2K Views
Honey[emoji860] Honey njoo basi kipenzi. Najua umeshatafuta hela ya Mahari Njoo sasa Tujenge familia
17 Reactions
88 Replies
3K Views
Kwa wale tunaoishi na wenza wetu, unaombaje penzi kwa mke/Mwenza wako usiku au muda wowote ukihitaji? Mi kwangu Simple tu tukiwa kitandani, tumekumbatia au kulala nikimpiga piga paja ile kishkaji...
19 Reactions
215 Replies
31K Views
Tumpe ushauri huyu dada. Ndoa yangu ina miaka 7 ila uhusiano wetu una miaka11. Nina watoto 2 na sasa ni mama kijacho. Mwaka Jana mwishoni nilipata kuwashwa ukeni nikaenda kupima nikaambiwa nina...
11 Reactions
370 Replies
23K Views
Back
Top Bottom