Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Those days nimeingia mjini daslamu kwa mara ya kwanza, nikakutana na manzi mmoja ambae leo ni miongoni mwa mademu fulani ambao wanaonekana kuwa maarufu hapo daslamu na ushamba wangu wa kutoka huko...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za jumapili wana MMU, Hivi nyie wanaume nani kawaroga jamani mbona wenzenu wa zamani hawakuwa hivyo? Kweli mwanaume unapiga bao moja umechoka mpaka unalala usingizi? Mnawatesa watoto...
6 Reactions
146 Replies
11K Views
Doh, najuta kutoa email yangu Maana ndio mvua za maswali kama haya, Money Penny, me Nina mpenzi wangu nampenda Sana, lakini ana tatizo moja Tu Money Penny: Tatizo gani? Kijana: anapenda Sana...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Nina muda kidogo sipo active humu, ila hii story imefanya nirudi sababu naamini JF inawafikia watu wengi. Huyu dogo anafanya kazi ofisini kwetu, alipata scandal za kutoka kimapenzi na kijana fln...
10 Reactions
50 Replies
6K Views
wadau habari, naamini mko salama, nisiwachoshe sanaaaa! kama kichwa Cha habari kinavojieleza, Mimi naishi na mwanamke na nmezaa nae na tuna mpango wa kuoana hivi punde! Sasa kumekuwa na...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu. Tokea ni anze kuwa na umri wa miaka 16 mpaka sasa nimefikisha miaka 30+, sijawahi kucheka wala kutabasamu kwa namna yeyote ile, japo kipindi cha nyuma nikiwa mdogo nakumbuka...
6 Reactions
70 Replies
3K Views
Money Penny njoo kwanza unishauri Jamaa: Nimepata demu mkali, ana shepu kama Vera Sidika wa Kenya Mkali sana Mzuri sana Hapa hapa bongo Ila kila tukiingia kwenye tendo la ndoa naona kama...
4 Reactions
73 Replies
4K Views
UNAAMBIWA Lionel MESSI hajawahi kumgusa mwanamke mwingine zaidi ya mkewe Antonela Roccuzzo aliyeanza naye mahusiano tangu utotoni huko Rosario, Argentina. Mnamo 2017, Messi na Antonella walifunga...
41 Reactions
225 Replies
10K Views
Siku mwanamke utakapofanya moyo wako kuwa mgumu katika kutoa tendo la ndoa. Basi ndipo Ndoa yako itakufa hapohapo. Kiukweli michepuko au nyie mnayoita Malaya ina utofauti mkubwa sana. Wanajali...
2 Reactions
2 Replies
534 Views
MWANAMKE LAZIMA ABADILI DINI NA IMANI ILI IFANANE NA YAKO NDIPO UMUOE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya ishara za awali Kwa Mwanamke anayekupenda na anayeweza kuwa Mkeo ni kukuamini, na...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Kwa wanaume ni dharau mbaya sana wapatazo kwa kubambikwa watoto ambao siyo wake. Wengi imefikia kuchukulia poa tu, kitanda akizai haramu. Binafsi nachukilia huu ni ukatili mkubwa sana ufanywao...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
SIWEZI KUKUOA KWA SABABU NIMEKUPA UJAUZITO! Anaandika, Robert Heriel. Jilengeshe! jibebeshe! jitegeshe! Utajua mwenyewe. Oooh! Kama ulikuwa hutaki mtoto si ungetumia Mpira, ooh! Kama hukuwa...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
KUBEBA MIMBA NA KUZAA HAKUMFANYI MWANAUME AKUPENDE! Anaandika, Robert Heriel Nawakumbusha Dada zangu, Binti zangu. Usije ukajikoroga na kujichanganya, mimba na mtoto haibadilishi chochote katika...
11 Reactions
112 Replies
5K Views
BINTI YANGU; NI AKHERI UWE SINGLE MOTHER KULIKO UISHI NA MWANAUME MPUMBAVU. Anaandika, Robert Heriel Baba na Mume. Kama vile Mimi Taikon, Nyota ya Tibeli nisivyoweza kuishi na Mwanamke...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Unajua kwanini HUWA SIKUBALIANI NA KUOA KABISAAA... Sababu ni hiii 👇👇 Mwaka 2015 nilikutana na binti wa kichaga Facebook. Tulianza urafiki na baada ya muda mrefu tukaingia uchumba. Nilimuahidi...
40 Reactions
102 Replies
10K Views
Kwanza nianze kusema kuwa kwenye tasnia ya kununua makahaba nina uzoefu wa miaka 7+ ila nlichokiona kwa huyu dada Juzi kilinipa huzuni rohoni.. Juzi kati nlifika maeneo ya wadada wanaojiuza...
34 Reactions
153 Replies
11K Views
Dear Money Penny YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni. Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta. Mapenzi yangu yalikuwa Kwa...
9 Reactions
284 Replies
9K Views
Hello. mtu aliyekupenda sana na kukuonyesha upendo wa kimapenzi wa dhati sana unamkumbuka Katika maisha. Leo hii huko kwa ndoa,mahusiano,uchumba,urafiki ila kila siku unamuwaza yeye na Hajaweza...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
msome huyu mwamba kwa ufupi afu useme kafeli wapi? Mpare: Money Penny bwana kuna kisa nataka nikueleze, kuna dada anaitwa Vera Sidika, nilimtongozaga mwaka 2014 nikiwa kenya Money Penny: aisee...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari za jumapili wakuu, hope mko vizuri. Nipo vizuri pia ingawa nipo njia panda kwa hili jambo. Kuna jamaa zangu wawili mapacha wanyaturu huwa wana mdogo wao wa kike, ni mrembo Pro Max. Katika...
18 Reactions
143 Replies
11K Views
Back
Top Bottom