RIWAYA: HATIA
MTUNZI: George Iron
SEHEMU YA KWANZA
Safari nzima hakutaka kuzungumza na mtu yeyote hivyo alikuwa amepachika earphone masikioni mwake ili hata asiweze kusikiliza watu walikuwa...
Nakuamkia wewe ambaye ulishakuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye ulimpenda sana lakini kwasababu ya jeuri yake akakuacha.
Ukiwa na maumivu makali ukaingia kwenye mahusiano mapya yaliyokutibu...
Hii picha ilipigwa Februari 11, 1990. Siku 3 kabla ya VALENTINE'S DAY. Siku ya wapendanao
Kushoto, huyo ni hayati Nelson Mandela. Baba wa taifa la Afrika Kusini. Hii ndio siku aliyoachiwa kutoka...
Kuna wale mliojiingiza kwenye mahusiano na wasanii msitalajie kufika mbali na mkifika mbali talajieni vibweka vya baba ubaya.
Maisha ya wasanii ni kama bado wajatulia kwenye mahusiano.
Tatizo...
Based on true events.
Ni jamaa ambaye tulikutana katika harakati za maisha ni mtu ambaye tumesaidiana katika nyakati ngumu ni kama brother from another mother.. anaitwa Juma sio jina lake halisi...
Kuna muda mtu ni jasiri,Lakini Kuna muda ukiaangalia mazingira ujasiri unakata halafu woga unayavaa maisha ya mtu tena.
Kuna nyakati kuziendea, kuzikabili na kuishi nazo ni ngumu. Mungu...
Deni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m.
Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is...
Habari wana Jf
Kwenye haya maisha watu wengi wanateseka sana kwa sababu kuna vitu vitatu ambavo hawavijui trust me hii hakuna mtu atakaye kuambia siri ambayo matajiri wengi ndo wanayoitumia...
Kivyovyote vile kwenye kila jambo ambalo unalifanya kumbuka huwezi kuwa bora zaidi ya wengine, ila unaweza kuwa na nidhamu zaidi ya wengine wote kwenye kila jambo fulani unalolifanya. Kila kitu...
Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi...
Salamu
Katika matumizi yangu ya mitandao nimebaini kwamba wanawake wanatongozwa sana inbox na mitongozo yote wanaikubali asilimia 98
Kifupi tu mitongozo ya online inavutia sana maana inahusisha...
Mara ya kwanza Nilipokiona kitabu hiki na kusoma Tittle yake, nilianza kutegeneza mawazo yangu kichwani na ku JUDGE A BOOK BY ITS COVER.
Jamaa mmoja alituma PDF ya kitabu hiki kwenye group la...
Unaweza mtu ukawa unaishi maisha ya kidhalili kabisa yasiyo na mbele wala nyuma hali ya kuwa ndugu yako ana mafanikio ya kimaisha.
Inauma sana kuona mtu unaishi maisha ya dhiki hali ya kuwa kuna...
Ukiona mtu anapinga mahusiano, jiulize mara mbili mbili ana tatizo gani?
Kwa sababu haya mambo yanaongozwa na hisia; hata wewe unapopata hisia na mtu fulani lazima umfungukie, huo ndio uhalisia...
Imetokea nigeria mwanaume mmoja aliamua kupima watoto wake wawili DNA.
Majibu yakatoka watoto wote si wake.
Mkewe akafa ghafla baada ya kupata majibu.
Ungekuwa weae ungechukua uamuzi gani kwa...
Kuna baadhi ya familia zina migogoro mikubwa,ndugu hawapatani hawapendani wana chuki wivu na kijicho kati yao.Wengine wanafanyiana mambo ya ajabu hata kufikia hatua ya kuendeana kwa waganga,chuki...
To be honest, mimi kumuhudumia mwanamke ambaye ni mwenza tu siwezi kabisa. Eti mwanamke ananiambia usisubiri nikuombe uwe unajiongeza, nikamuuliza hivi mimi kukuhudumia ni wajibu, akasema wajibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.