Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mimi banaa, nmekulia kwenye huu ustaharabu wa Kila mtu na Sahani yake. Lakini napo ilikua inanibidi kumwambia mwanandugu tuchanganye Msosi tule fasta fasta , sio kwamba lengo lilikua nikumpiga KO...
22 Reactions
129 Replies
6K Views
Hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wetu hasa hawa wa kiume wanahamasishana kila kona na kampeni yao yenye hashtag #KATAA NDOA Sababu wanazotoa zinachekesha mno na kwakweli hazina mashiko.. Kubwa...
64 Reactions
309 Replies
11K Views
Wakuu hamjambo.... Sasa Kuna jambo limetokea nyumbani kwangu ninaishi na mwanamke ambaye sijafunga naye ndoa lakini pia yupo Mdogo wake wa kike ambaye amekuja kujiendeleza mambo ya ushonaji...
23 Reactions
192 Replies
7K Views
Hatimaye nimeamini wanawake hawaridhiki na ndoa zao, weekend Moja Mndewa nilikua nakatiza maeneo yangu hivi Mishale ya saa nne hivi nikiwa nimeshika chupa ya mo extra nilichanganya na K vant. Asa...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Sitakuwa na muda wa salamu kwa majitu ambayo kutwa kucha yanapiga punyeto,shame on you!. Hivi unawezaje kuwa na mwanamke kitandani usiku kucha unaishia kumkung'uta kabao kamoja au viwili tena...
5 Reactions
80 Replies
4K Views
Cheo elimu na pesa kwa wanawake hujikuta wakiuvua uanamke na kuona wajibu wao kama wanawake umefika mwisho. Japo sio wote lakini asilimia kubwa wako hivyo. Jeuri, kiburi, dharau. Sent from my...
4 Reactions
13 Replies
982 Views
Tambua kuna mke na mwanamke ,makosa wafanyayo wanawake na kujikuta wameupoteza mwezi kwa ujinga wa kuhesabu nyota . Kuwa makini ndugu yangu, maisha yasije yakakuchanganya ukachanganyikiwa na...
11 Reactions
31 Replies
8K Views
A real man knows what he wants in a partner, and once he has found that special someone, he commits himself and his whole life. Your happiness becomes his happiness. He stays loyal to you because...
14 Reactions
61 Replies
2K Views
You are a man , not a shoulder to cry on. If a girl isn't attracted to you... Do not stick around, MOVE ON NEVER let yourself become a girl's orbiter
18 Reactions
55 Replies
2K Views
Vijana wengi hasa wakiume wamekuwa wakilalamika hasa suala ya kumtongoza mwanamke na siku hiyohiyo kijana anaanza kuliliwa matatizo. Mimi mwenyewe nimekuwa ni muhanga, yaani ile tu kumuambia...
7 Reactions
57 Replies
2K Views
Mwanaume Kama hauna kazi au shughuli yoyote ya kukuingizia kipato usijaribu kuoa kwa sababu ukifanya hivyo unakuwa unaenda kinyume na mipango ya Mungu and ur marriage will be bound to fail...
19 Reactions
135 Replies
15K Views
With the hype surrounding the launch of the iPhone 15, let us always remember. Buying a new boxed phone, peeling off the seal, with all accessories intact. Then take some time touching it all...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni ukweli usiopingika japo wanaweza kuukataa. Mwanaume ukiwa na Mwanamke mmoja tu mpenzi au mke wako anaanza kujiuliza maswali kwanini awe na Mimi tu. Ukiwa na sms nyingi za wanawake yeye ndyo...
16 Reactions
174 Replies
7K Views
Kwa mara ya kwanza unapoingia kwenye mahusiano na mtu, unakuwa hujisikii huru sana kuwa naye, lakini baada ya muda una mzoea mtu huyo na kuanza kuona kila kitu kipo sawa kwako. Kwa mara ya kwanza...
7 Reactions
3 Replies
721 Views
Walau naweza kusema nimeona mengi. Nimeona daktari akiumwa saratani ya koo kwa ajili ya matumizi ya vitu anavyokataza wengine. Kisha nikamuona wakili aliyehukumiwa kwenda jela kwa kosa la...
68 Reactions
118 Replies
8K Views
Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu...
13 Reactions
201 Replies
10K Views
Jumapili iko Pouwa bila Shaka! Kampeni inayoendelea Kwa Vijana isemayo "linda kibunda chako" inaratibiwa Kwa kificho na Wanawake wenye vipato au wenye kazi za kuajiriwa. Wakati nipo chuo...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Ndugu zangu.. Kwa huzuni na masikitiko makuu, ndugu yenu na rafiki yenu nakaribia kukata tamaa sasa. Nimejitahidi kutafuta mwanamke wa kuoa lakini wapi. Kila mwanamke ninaye mpata hakidhi vigezo...
18 Reactions
136 Replies
5K Views
WANAWAKE HAWAPENDI KUULIZWA MASWALI, WEE FANYA TUU; WATAKUONA WEWE NDIYE DUME. Anaandika, Robert Heriel. Taikon Master. Kuuliza uliza maswali ni dalili ya kutokujiamini, Wakati Wanawake wanataka...
43 Reactions
177 Replies
11K Views
Back
Top Bottom