Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu habari mnaendeleaje... Kuna jamaa yangu anaishi na mke lakini ametokea kumpenda Mdogo wake na mkewe na wamekubaliana Sasa anauliza je inawezekana kuoa mtu na Mdogo wake na Kila mmoja akawa...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Hili suala la kuaminishwa kuwa mwanamke akifika age Fulani basi hana soko tena...🤔 Hivi hamuoni kuwa mwanaume ndio anakosa soko kadri age linapokwenda? Maana ukiangalia mwanamke mpaka anakuwa...
45 Reactions
576 Replies
20K Views
Hii dunia kwa sasa inakwenda mrama! Hapa nilipohamia kuna kibinti kiko na mwanae. Za chinichini ni kuwa kameachika, mumewe kaamua kuchukua hamsini zake. Juzi kamenianza salamu, ndipo kuzungumza...
9 Reactions
61 Replies
3K Views
Heshima yenu wakuu. Without further ado, shida yangu ni kuomba nafasi ya kazi yoyote ya muda mfupi ama mrefu ambayo itaniwezesha kupata angalau 15,000/= kwa siku. 1. Ninaishi Dar 2.Umri wangu ni...
23 Reactions
50 Replies
6K Views
Mwanaume linapokuja swala la SEX hautakiwi kabisa kuwa mvumilivu. USISIKILIZE maneno ya kijinga kutoka kwa mwanamke kama vile: • Tufahamiane vizuri kwanza • Mimi ni mlokole sex ni mpaka niolewe...
21 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu. Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa...
72 Reactions
784 Replies
64K Views
Ni mwezi sasa umepita wakurungwa toka nimepost nasaka wife material ili niachane na usemi wa wahuni, wazembe, watoto wa kulelewa na mishangazi unaosema"KATAA NDOA " NDOA NI UTUMWA"NAONA dalili za...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa. Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza...
24 Reactions
141 Replies
9K Views
Tiririkeni sasa tuone mmejipangaje. Siyo kila siku mnawananga wanaume hivi mara wanaume vilee.. Lile chama la "Mwanaume kataa ndoa" njooni hapa mpewe sababu za kutokukataa ndoa.. Wanawake huu...
15 Reactions
202 Replies
8K Views
Jarida Moja nchini Korea ya kusini imefanya utafiti vijana wengi sana ambao Wapo active kwenye mitandao ya kijamii wanajiuhusisha na mapenzi zaidi ya wapenzi wawili. Jarida hilo limeenda mbali...
1 Reactions
14 Replies
830 Views
Kwanza wengine hata hatupendi Shanga zenu kwani huwa zinatupigia Kelele na hatusikii Mlio wa Mkuyenge ukiwa unachanja Mbuga Mbunyeni hali ambayo inaleta raha na kuongeza mzuka wa Mbanduano (...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
"Wanawake ambao ni wanaharakati asilimia 90 hawana wanaume yaani hawajaolewa" Wengi wao ni viburi na kukosa heshima. Hata walioolewa huachika. Juzi kati Kuna dada yangu, yeye ni mwalimu Ila...
1 Reactions
3 Replies
484 Views
Imekaaje wakuu mume na mke kwenda sokoni, wakifika mke anabaki kwenye gari mume anaenda kufanya manunuzi. Wewe mke si ungabaki tu nyumbani shoga yangu uchati na kucheki tamthilia vizuri?
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari wakuu Haka ni kastori kafupi namimi niwaambie leo. Nilipokuwa Nina miaka tisa siku moja jioni wakati naenda ziwani kuchota maji jioni nilikutana na mama mweupe kidogo wa makamo Kama 23 yrs...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana Haniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo...
10 Reactions
58 Replies
2K Views
🔞Zipo hasara za kutokufanya sex kwa mda mrefu. TAFITI zilizofanywa na wataalam wa masuala ya afya na saikolojia ya binadamu zinaeleza endapo ukikaa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa madhara...
9 Reactions
120 Replies
13K Views
Kila mwanaume ana namna ambayo humfanya kushawishika kingono na mwanamke fulani aliye mbele yake Kwangu mimi, muwashawasha huo huanzia kwenye uvaaji. Kuna wale wanawake wanaovaa vibode vyepesi...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari ya usiku wakuu wangu. Najiuliza sana ni kwanini ukimpa mwanamke attention kipindi cha mitongozano unampoteza kirahisi sana na humpati wala hakupi majibu ya kueleweka. Mbaya zadi nafikiria...
9 Reactions
71 Replies
4K Views
Wakuu muhali Gani [emoji848] Ninaishi na mdada wa watu Sasa ni mwaka na robo Kuna changamoto ilijitokeza Kwa kweli ni ya kweli inanihusu Mimi na yeye Sasa ajabu ni kwamba alikuwa akinichunguza...
5 Reactions
9 Replies
952 Views
Nimeliaaa nimenyamazaaa Nimekunywa Bia kupunguza mawazo Ila wapi...!! Nikisema Nilale Nipate Usingizi Hauji... Iko hivi.... mwaka Jana mwezi wa pili Nimepanga Nyumba moja maeneo ya Hapa Dar...
48 Reactions
474 Replies
70K Views
Back
Top Bottom