Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari wadau, Nina wageni wangu (wanawake wanne from Europe) wapo Kwa project Yao Sasa inabidi niende nao Moshi na wao wananitegemea Mimi kuwatembeza kibudget( ni wanafunzi wa chuo). Naomba...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Wanawake wengi wa kisasa waoga na wavivu sana kuzaa Mwanamke umeolewa ila anampangia mume wake idadi ya watoto atakaozaa. Mtoto mmoja ama wawili tu Wanasema watoto wanaharibu career zao. Kwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume: 1. Mwanaume Anaelewa, na kutambua shida za Single Mom. 2. Mwanaume aliye simama Kimaisha. 3. Mwanaume mwenye Fedha. 4...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Nyie vijana na wasio kuwa na wake au mke wazazi wamechoka Kila siku mabinti zao wabaki nyumbani mkiwachezea au kuwafanya single mother. Kinacho fata Sasa hivi kamaujajipanga utajipanga hapo hapo...
1 Reactions
3 Replies
418 Views
Unatoka kazini jioni umechoka, unatamani ukifika home ukaoge ukute chakula mezani, lakini ile unafika mtu ndio anaanza kupika chakula, mpaka kuiva masaa mawili mbele dah!
28 Reactions
195 Replies
12K Views
Ndugu zangu ... Sina furaha hatakidogo na nimekata tamaa sana kweli kabisa nakumbuka miaka mingi imepita tokea nimesalitiwa na mwanamke niliyempenda kwa dhati, alinisaliti katika mazingira ambayo...
9 Reactions
79 Replies
3K Views
Amezaa na mke wa mtu, mmewe kagundua kampiga chini. Jamaa naye ana mke na watoto. Hakutaka kuzaa naye, ila mwanamke ndo aliyeamua na jamaa amekuja gundua na kuambiwa baada ya mtoto kuzaliwa. Toto...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nilichogundua ukiona mpaka watu wameona ujue hadi kitabia wanafana 99% , kama mmoja wapo ni mshenzi wa tabia tegemea na huyo mwengine kuwa hivyo hivyo . Sent from my SM-A032F using JamiiForums...
2 Reactions
7 Replies
566 Views
Unamuuliza hakujibu, Shida nini hakujibu Umekosea wapi!? Hakujibu Yani yupo kama yupo tu!? Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu. Unamaliza , yupo tuu.. Yani yupo tu. Unaanza kujiuliza...
12 Reactions
130 Replies
5K Views
Habari wadau. Dini ya kiislam ina mengi mazuri. Hata swala la kuruhusu mwanaume kuoa wake wanne liliwekwa kwa nia nzuri tu. Pia swala la kumuacha mke kwa talaka moja mpaka tatu pia ni utaratibu...
3 Reactions
65 Replies
3K Views
Habari za weekend na natumaini nyote mko poa sana. Katika kuchambua kuwajua wanawake nimejikuta na changanyikiwa sana maana nimeshindwa kabisa kujua wanataka nini au ukaaje nao. Ni kweli...
12 Reactions
73 Replies
4K Views
Sijawasiliana nae kwa njia direct call siku ya 3 sasa nikimpigia simu yake haipokelewi, ukituma text Whatsapp mpaka ijibiwe inachukia hata siku nzima. Nikaamua kula buyu niendelee na ratiba zang...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Yani unakuta mkaka handsome mrefu Maji ya kunde anavutia kweli kweli ila akivua tu boxer unakuta ana mkono wa sweta jamani hii ni aibu kubwa Sanaa mmmh. Hivi kweli hamuoni aibu jamani na maradhi...
17 Reactions
190 Replies
12K Views
Habar wakuu Naimani mkopowa wote haya njoeni tusimuliane. [emoji23][emoji23]nikikumbukaga nacheka sana kipindi niko chuo hiyo siku nilikosea kutuma text nilikuwa nachati na mubebe unajua zile...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Kila siku utasikia nipe pesa ya school bus ya mtoto, nipe pesa ya kula, simu mbovu, nimefiwa, kesho Birthday yangu wiki ijayo ya mtoto nk. Bado naomba nauli nimefiwa kodi ya nyumba imekwisha...
22 Reactions
38 Replies
4K Views
Usimuadhibu msichana unamuadhibu kama mvulana mpaka 16 na anapata hedhi hii ni aibu. Tayari ni msichana mtu mzima zamani amekwisha olewa. Ndio maana wengi wanatoroka majumbani kisa wazazi akili...
11 Reactions
60 Replies
2K Views
Mwanaume kuweka picha profile ya Mwanamke hii imekaaje. Ukitongozwa utalalamika?
5 Reactions
15 Replies
813 Views
Kusema ule ukweli kuachana na mtu ni kazi sana maana itakuchukua muda kumpata mwingine ambae atakupa Furaha na amani Mwaka 2021 niliachwa muacho safi kabisa yule jamaa aliniandikia sms moja tu...
11 Reactions
96 Replies
4K Views
Wanajamvi wa MMU salama za Dhati kwenu. Aisee kwanza nianze kwa kudeclair interest, Humu jamvini mimi ni mkongwe sana. Tangu mwaka 2008 nipo humu, kwa unoko wa watu fudenge (Sisemi ma-Mod) accoint...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom