Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Aisee sitasahau njoo nayo kama ilikuwa siku ya jmosi nikaamua leo naenda kutoa ugwadu nikajianda mapema tu mida ya saa mbili ivi nikaibuka kiwanja kiomoja kanapatikana mabatini , nikaona mdada...
7 Reactions
41 Replies
6K Views
Miezi kadhaa sasa tangu niachane na aliyekuwa mke wangu, nahaha kutafuta mbadala bila mafanikio. Kila ninayemsiamamisha haishii kunikataa tu bali kunicheka kabisa; tena wengine kwa kunionyesha...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Nauliza kwa uzuri tu. Hivi kuna mwanamke asiyejiuza kwa sasa? Naombeni msinifikirie vibaya.
17 Reactions
68 Replies
4K Views
So huyu dada anaishi modest/humble family/background (nikisema modest i mean kwa tafsiri ya kiswahili ni kama familia maskini). She works for me. Anakuja kufanya usafi na kufua (as known kama...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Mwenzenu yamenikuta, naombeni msaada namna ya kucontrol hii hali. Mimi ni kijana wa 34yrs hv, nilikua na mahusiano na mdada mmoja ambae kwangu alikua rafiki, mshkaji na kama...
14 Reactions
261 Replies
13K Views
Habari zenu ndugu zangu Bila kujaza mate kwenye maiki ngoja niende kwenye lengo langu lililo nifanya niombe msaada. Ni miaka takriban mi 3 tumeishi poa na kwa furaha sana mie na mpenzi wangu/mke...
8 Reactions
57 Replies
6K Views
Penzi langu Kama nikiyapa pesa, siku ikinisaliti? Sitaki kulipepesa, hii haitaji siti Sio yule wa madesa, kuyamwagiwa manoti Nimeridhi penzi langu, nalitoa kwa kalamu Nimliwazaji wangu, peke...
2 Reactions
4 Replies
479 Views
Ijumaa ya juzi niliamua nitoke kidogo angalau nikapate mbili tatu za baridi. Nikiwa maeneo ya kujivinjari, huku napambana na mitungi yangu, mara akatokea lishangazi la makamo. Akaomba tukae naye...
13 Reactions
84 Replies
4K Views
Wanawake ni wauaji asikwambie mtu Nimewahi kuingia ofisini nikiwa wa kwanza ili kufanya mipangilio ya hapa na pale. Mke wa boss kafika mapema na kuingia kwenye ofisi yetu. Kama yalivyo mazoea...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Kuna Bwana mmoja ameoa. Bwana huyo ni mfanyakazi wa ofisi moja ya serikali na mkewe ni mama wa nyumbani: Habari kutoka kwenye chanzo cha umbeya zinasema kwamba: Bwana huyo hufika nyumbani...
0 Reactions
43 Replies
12K Views
Ushauri waungwana nina mchumba ambaye nina mpango wa kumuoa, ushauri niliopewa niangalie familia na ukoo wao kwa ujumla, nilichokiona nimeambiwa hafai kuolewa kwa kuwa atakuwa amerithi laana za...
2 Reactions
107 Replies
23K Views
Ukweli usemwe, mwanaume yeyote ambae yupo maghettoni na anahangaika na Masufuria kupika ni mjinga wa kutupwa. Akili ni nywele ndio nao hao wakataa ndoa wanaopika na kuhangaikia na Masufuria huko...
15 Reactions
170 Replies
6K Views
80% ya Wanawake hutumia Ukimya kuonesha Maumivu yao. Mwanamke huchukua siku 15 kumpenda mtu lakini Mwanaume humchukua...Sekunde 8.2. Wanawake huchukua muda mrefu kufanya maamuzi, na wakisha...
27 Reactions
60 Replies
3K Views
Hii nayo Ituepuke Vijana wote wapambanaji Huwez kutaka Kufanikiwa kimaisha Bila kuwa na Familia Au Mwanamke Wa uwakika Vijana wote wanaojitambua Wanatamani Kutulia na Familia Zao na Wengi...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Siku ya leo, nikajikuta bora nimsalimie mrembo wangu mwenye ujauzito aliyepo mkoani. Baada ya kuchat kwa muda, ikaonekana inabidi tuonane ili kukipa lishe kile kiumbe; ingawa uchumi hauko...
3 Reactions
65 Replies
4K Views
Wanajamvi, salaam! Iko hivi nina mdogo wangu (rafiki) naishi nae kwakua anaumwa, tunaheshimiana sana. Tunaishi kisela kila mmoja anaweza kuleta demu wake maghetoni. Dogo ana mademu watatu ambao...
11 Reactions
67 Replies
5K Views
"...alivaa kigauni laini kinachoishia juu ya magoti ...nikamvua shati lake la juu....nikamfungua sketi... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii nimekutana nayo kwenye ule uzi Muhimu: Ukiwa...
9 Reactions
24 Replies
1K Views
Inawezekana mmekua pamoja kwa miaka sasa. Au pengine ndo mna miezi kadhaa kwenye mapenzi. Lakini hivi karibuni anaonesha hana hamu na wewe kivile. Mapenzi yamepungua. Shauku yake ya kuwa na wewe...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Habarin wadau Mm ni mwanandoa mwanaume, Nina watoto wawili, na kwa Sasa mkewangu ana ujauzito. Niko pekeyangu mkewangu yuko mbali nami kutokana na kuachana nae kwa sababu zisizojulikana kutokana...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
[6/17, 17:32] Steven Simon Lyimo: Najiuliza samahani naomba unisaidie: Kuna mwanamke ambae nilioa nikaachana nae kurokana na tabia yake ya umalaya. Mimi nimekuwa ktk malezi mazuri ya kidini...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Back
Top Bottom