Ameandika Mwanahamisi Singano.
Labda wewe ni mmoja wa wengi ambao baada tu ya kusoma kichwa cha habari na jina la mwandishi, tayari hasira zimekupanda. Pengine unasoma haya makala siyo kwa sababu...
TUJIFUNZE KWA Vicky jamani kuhusu ndoa. Unakutana na mtu anakwambia nimefunga ndoa na Fulani ndoa ya serikali. Sasa huba nilemeee, wewe unafunga NAE Tena ndoa ya dini may be kanisani.
Ndugu...
Habari.
Mimi hata sielewi nimejikuta namchukia mke wangu.
Nashindwa kuelewa hali hii inasababishwa na nini?
In summarry.
Sogeza tukae kwa miaka miwili sasa na tuna mtoto mmoja.
Changamoto...
Hatimaye kaka yangu kaukanyaga umri wa kuoa. Wiki iliyoisha tunetoka kuvunja uchumba baada ya kuambiwa mahari ya kumuoa huyo binti Cheusi Mangala mwenye michunusi yake na bonge la mtrako eti ni...
Nazungumza na wale wenye miaka 35+
Jaribu leo utoke peke yako, na uende kwenye mazingira tulivu, kama yanaruhusu kupata kinywaji au kula matunda yoyote fanya hivyo.
Jitafakari ulipotoka, mpaka...
Kitu kimoja ambacho mimi huamini ni kuwa mara nyingi mwanamke yoyote anaekubali kuwa mke wa pili au kuwa mke mpya baada ya ndoa ya kwanza kuvunjika, huwa ni MOTIVE ndio inayomshawishi kuingia kwa...
Kuna wanawake wengi katika nchi za wenzetu hizi baada ya kuona pesa imekuwa ngumu kupata wameingia kwenye biashara ya kuzisaka kwa njia ya udanganyifu kijana mwenzangu ambaye unaishi USA...
Wakuu huyu ni jamaa yangu sana alikuwa na mkewe bt kutokana na matukio kadhaa ambayo yametokea pale nyumbani na mkewe pamoja na Mdogo wake mkewe jamaa kaamua kujitoa hapo na kumuachia mkewe Kila...
Wanawake weusi wana kitu chao special dah... waliosema tuoe wake wawili hadi wanne na kuendelea hawakukosea.
Unakuwa na mweupe mmoja weusi watatu 😊😊
Wadada weusi, sijui chocolate color, maji ya...
Nilichojifunza.
Mwanamke ni mtu mzuri sana. Na ndo wanaokamilisha mwanaume. Mwanamke na Ua na mambo mengine mazuri.
Ila Usifanyie kazi maneno ya Mwanamke bila kufanya uchunguzi wako wa kina...
Habari.
Nitaanza kwa kusema kwamba Mm sio mgeni humu JF, ni member wa muda mrefu kidogo nina kama miaka 6, sema nimepoteza account yangu, maybe imefutwa kwa sababu kuna kipindi nilikuwa less...
Wakuu kwema..
Sisi wanaume tulivyo umbwa hapo mwanzo tulipewa majukumu na utawala mkuu , Mwenyezi Mungu akaona kazi aliyo mpa adamu katimiza na adamu hana wa kumsaidia akaona siyo vyema akae peke...
Ewe mwanaume, ukiona mpenzi wako anahangaika sana na make ups pamoja na mawigi ujue una mpenzi mwenye sura ya kiume lkn ana jinsia ya kike. Kachukua kila kitu toka kwa babake isipokuwa jinsia...
Kwenye maisha aisee Kuna watu hawanaga sjui Ile Kubembeleza Yani jibu utalotoa analibeba kuwa seriously au maamuzi anayofanya ndo hayo hayo
Akikutongoza mara Moja ndo imetoka iyo ukijibu no yeye...
Leo wakati napitapita mtandaoni nimekutana na hiki kisa nimeona nikilete humu MMU;
Kisa hiki ni hadithi ya ukweli ya mapenzi kati ya bibiye Kate na mumewe Godfrey, ambaye anasemekana kuwa ndo...
Mawakala wa kampeni ya kuoa na ndoa ni raha, tafadhari jiheshimuni sana, endapo kuoa ni raha na ndoa pia ni raha basi tunawaonya iwe ni marufuku tusiwaone kwenye sehemu zetu za bata na kwenye...
Nyumbani it's first time kaja dada wa kazi kutoka Mbeya,
Hana maajabu ila akili za wanaume si mnazijua. Nikaanza kumtamani. Nikaanza kumlia timing, nikawaza wife akienda kwenye kitchen party au...
Katika harakati zangu za mahusiano kuna nyakati inatokea napata demu kupitia wapambe, makuwadi, wapiga debe, a.k.a Chawa wa Kichwamoto.
Mara kadhaa huwa nikipata pisi yoyote kupitia chawa wangu...
Nipo nasoma Biography ya Jay z nimeona kazaliwa 1969 na kaoa Mwaka 2008 na kapata mtoto wake wa kwanza na Beyonce Mwaka 2012
Na watoto wake mapacha kawapata Mwaka 2017
Maana yake Jay z kaoa akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.