Habari.
Moja kwa moja. Jamaa yangu anaomba ushauri kwani amepoteza hisia na mwili wa mwanamke kabisa,
Amenieleza kwamba hata mwanamke avue nguo awe chiu wa mnyama lakini wapi hana hisia naye...
Kuna Baa moja hapa nimezama na mim kwa leo, yani wanaume wote counter tumenuna tupo buyu, bar ina wanawake wengi saana lakini tunaziangalia tu zikijipitisha hakuna cha kuwaita wala kuwasemesha...
Ukihitaji salamu subiri kwanza nifulie,tofauti na hapo utaambulia Chuya!.
Kuna Majitu ndiyo yanayofanya ndoa zionekane hazina maana kwasababu hayataki kubadilika.
Ndoa ina raha na ndoa ni tamu...
Nimetoka kwenye mitandao ya wanawake huko njkiwa natumia fake id kuna hawa wanawake ambao wanaingia kwa lengo la mali tu, unamuoa mnakaa miaka mitano huyooo, ndukii !! wapo wanaojutia maamuzi...
Ni red alert[emoji615][emoji724] Kwa wadangaji wote waliofanikiwa kupora waume za watu wenye familia na ndoa za muda mrefu waliotengana, kuachana ama kutalikiana na wake zao halali za ndoa
Kabla...
Habari zenu wakuu, poleni na hekaheka na harakati za siku nzima
Kesho ni ijumaaa msisahau kuwatumia wapenzi wenu hela jamani, mtumie babe wako hata ka 6000 akale biriani au chips msiwe wachoyo...
Sina maneno mengi sana leo ila wacha niwape ukweli kuhusu kufa kwa ndoa na sababu iliyo sababisha.
- Pale tu walipo ruhusu mwanamke atafute pesa kwa udi na uvumba kama mwanaume ndipo ndoa ilikufa...
Vijana inabidi tuwaase, Dunia iko kasi, muda wako mwingi uwekeze kwenye kupiga kazi za kusaka maisha.
Ukimpenda mwanamke wewe mtongoze tu na ikiwezekana majibu akupe siku hiyohiyo au akichelewa...
Wakuu Habari!.
Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2016 Niko Dodoma! Nilipendelea sana kununua madada poa mitaa ya uhindini hapo.
Basi bwana Nikiwa Mimi na jamaa angu tukiwa tunachagua bidhaa ya kuondoka...
Maneno ya kuonyesha maumivu, mikunjo ya sura ya kuumia, machozi, kilio cha maumivu huwa vinapagawisha sana wanaume na kuwaongeza midadi kwamba wao wana moto mkali.
Ila pia kuna kufeki maumivu...
Salaam wakuu, dah nina andika Uzi wangu huu nikiwa Kijiji Cha wapiga miti.
👉Niko na mzee wangu Ushimen, tuki endelea na mapambano yetu Kama Wana familia
Ila kuna vitu vya mzee wangu huyu, vina...
Ni vipi wazeiya.Nimeona niwakumbushe tu wapo wadau ambao wanawachukulia poa walinzi wao na hata kuwadharau bila kukumbuka kwamba wakiwa hawapo wao ndio huwasaidia KAZI.
#NAOMBA KUWASILISHA.
Nahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea. Wanawake tumepewa kipaumbele sawa, lakini nahisi wanaume wamesahulika kusikilizwa.
Hizi mambo naona ndo zinachangia;
1. Kuuua...
NAWAKUMBUSHA, NDOA NDIO INA TALAKA LAKINI MAPENZI HAYANA TALAKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Huwezi amua kumpenda Fulani. Upendo upo naturally. Mapenzi ni naturally. Mapenzi ya kuamua ni...
Wakuu,
Kama topic inavyojieleza...binafsi Mimi ilishawahi nitokea nilikuwa na mahusiano na Manzi mmoja na tulipendana sanaa sikuwahi jua Kama naweza kumfumania coz kipindi icho nilikuwa bado...
Salaam JF,
Nimechukua muda wa kama miezi 3 tu kujua hii kauli inayotolewa na wanawake kwamba "HATA JAMAA AKICHEAT NI YEYE KIKUBWA ANANIPENDA NA KUNIHUDUMIA" kuwa ni ya kimkakati.
Mwanamke...
Angalia phonebook yako una namba za wapenzi(marafiki) wangapi ambao anytime unaweza kuwaita ukawagonga na kuwapa minimum 15,000/=.
Binafsi mimi ninao mademu 13 ambao kwa wastani ndani ya mwaka...
TUACHE KUJIPA MOYO, NDOA KWA KIZAZI CHA SASA NI GEREZA LA MATESO.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani!
Soma Kwa Utulivu;
Linatesa Wanawake
Linatesa wanaume;
Lakini Kwa nini?
Ili ndoa iwe ndoa kweli...
Wanaume wengi sasa wanatumia mahusiano as a cover for free sex and babe to do house chores.
KE nao wanatumia relationship as poverty alleviation scheme, wanaumiza vichwa,kuroga, kuganda etc ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.