Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nawasalimu kwa jina Jf. Na watu wote tuseme Jf idumu milele Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wa kila rika pamoja na vyombo vyote vya kiimani tofauti tofauti kwa majina yao na imani zao wamekua...
12 Reactions
63 Replies
3K Views
Ndugu zangu nataka niwatoe wasiwasi kuwa kujamiana sio jambo baya na msiogope kujamiana nawaomba mzingatie yafuatayo: Usijamiane na mme au mke wa mtu Usijamiane na watoto Usimlazimishe mtu...
18 Reactions
67 Replies
4K Views
Ndoa sio mchezo mmoja lazima ajifanye mpumbavu.Mimi niliwahi kuoa ndoa ilidumu miaka miwili tukafanya divorce.HAkuna ndoa isiyo na changamoto ndani ya nyumba kuna mashauri kibao kesi kama zote...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Wadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu...
56 Reactions
227 Replies
28K Views
Kiukweli mke wa mtu ni sumu na za mwizi ni arobaini hichi ndicho kitu ambacho kimenitokea jana maeneo ya maeneo ya Kimara gest x yaaani sio poa kabisa nusura na mimi pia niwe wa upande wa pili...
38 Reactions
155 Replies
9K Views
#UsipooaUtaolewa Acheni kufundisha watu uhuni, kwamba kama nyie binafsi mmeamua kuwa wasela sasa dunia nzima iwe hivyo, aaargh. Kuna raha ya ndoa nyie waseja, hakuna mambo yatakayokuwa perfect...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiona malalamiko mengi kuhusu wanawake humu, kila post ni kuwasema wanawake. Sio kwamba nakubaliana na wanachokifanya ila asilimia kubwa ya matatizo yote yanayotupata sisi wanaume...
13 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari wana JF. I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa...
40 Reactions
698 Replies
54K Views
Huo ndio ukweli najaribu kusikiliza sauti za wanawake wa nchi zingine, ukweli sauti zao nzuri sana sana, ila hapa Tanzania na East afrika nzima yaani kushuka South kwa Africa kuanzia jangwa la...
15 Reactions
287 Replies
6K Views
Ndugu zangu poleni na majukumu ya kujenga Taifa na uchumi binafs Mimi kaka yenu, Kijana wenu, mdogo wenu na mtoto wenu pia kwa kila rika tofauti tofauti kwa heshima sana nakuja mbele yenu...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, Mimi ni mwanaume wa miaka 30+, nimefika katika hatua mbaya sana katika maisha yangu, kiukweli mwili wangu na nafsi yangu na akili yangu yote vinahitaji kuwa na...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Anyo-Ashi-Mikaaaa!! Niende kwenye mada. Wakati fulani nilisikia wimbo wa msanii mmoja ajiitaye Alikiba ukiimbwa "yana run dunia", ila wengi wakaubadilisha na kusema "wana run dunia"...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa kumzalisha Mama (kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji. Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila...
55 Reactions
122 Replies
7K Views
Kuna binti anaishi Msasanu, Uswahilini kule Makangira, huyu dada mwenye watoto 3 nilikutana naye mwaka 2019 siku chache kabla ya XMas. Nilimfahamu miaka mingi nyuma tukisoma enzi hizo Kinondoni...
27 Reactions
152 Replies
10K Views
Walevi tunapitia mengi sana pia tunayafanya mengi sana hawa watoto wa miaka ya 2000 ambao wametoka wilayani na kuja mjini kutafuta kazi na wakajipeleka katika ma bar wanapitia mengi sana unakuta...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwanza kabisa naomba uamini kuwa dreams do come true…. Yes unaweza ku end na yule unaemtaka wewe. Ila sasa tujaribu kuwa real kidogo kuwa chances za wewe kumnasa Brad Pitt and the like are...
26 Reactions
483 Replies
81K Views
Habari za wakati huu ni mbaya.. Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki. Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu...
63 Reactions
435 Replies
25K Views
Haya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu. Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo...
12 Reactions
102 Replies
13K Views
Nilikuwa nimekaa sehemu ya kificho kidogo, sasa kuna demu alikuwa anaongea na simu. Kwa kuwa hakuniona alikuwa anajiachia tu alikuwa anaongea kwa hisia sana. Maneno ambayo mpaka sasa yamekaa...
26 Reactions
108 Replies
7K Views
Hamjambo! Zamani kidogo nchi yetu ilikuwa maskini Sana. Yaani ninaposema Maskini namaanisha Maskini Mno, fukara, apeche Alolo. Kama huelewi nazungumzia nini nasi nikusaidie kuunda picha kichwani...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom