Habarini za muda huu wadau,
Niende kwenye mada, mimi ni mwanaume nimeoa, ila nimemuacha mke wangu kwa takribani Kama mwaka hivi sjawah kukutana nae, ingawa ana mtoto mdogo wa miezi kadhaa.
Sasa...
Naanza kwa kukazia "Ngono ni wajibu wa kutimizwa kwenye Ndoa..."
Ngono katika ndoa sio fursa. Mpenzi wako ana HAKI kwa mwili wako - kisheria na kibiblia, hivyo ni makosa kunyimana.
Tambua kuwa...
Wanandoa wenye furaha katika ndoa yao ni watu wanaoishi kwa ukaribu sana. Hapa sizungumzii kuhusu wale wa 'piga makalio kisha tufanye ngono.' Bali namaanisha wale wa kugusana kimwili mara kwa mara...
Naiman kwa uwezo wa Mungu mko wazima
Kuna kitu kinaniumiza moyo sijui nipo Sawa au naakosea naomben tu mnisahihishe kama
Iko hv niliolewa nikiwa na mtoto mmoja ambae baba ake ni marehem sasa kwa...
Sijakataa kuwa mwanamke ameumbiwa nyodo. Kwa utaratibu wetu wa bara la Africa, hata kama mwanamke amekuja gheto kwa nauli yake, ni lazima aoneshe ugumu katika kukupea tendo la ndoa, ile kukataa...
Kheri ya Eid pili wakuu na jumapili njema wenzangu na mimi, moja kwa moja kwenye mada wakuu mimi nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja almost ana miaka 21 na mahusiano yetu yaliendelea vizuri...
Habari .
Ndugu wana Jf katika tafakari zangu za siku ya weekend nimegundua wanawake ndiyo sababu kubwa sana ya wanaume kuonekana hatuna nguvu za kiume.
Wewkend yangu ilienda kwa jasho sana...
Ikiwa mnaishi pamoja ni rahisi kuzoeana.
Mazoea kwenye mahusiano yanauwa mapenzi. Mnajikuta kama kaka na dada. Au mbaya zaidi mwanamke wako anakuacha kwa kusema umebadilika. Kupeana nafasi kwenye...
Wanawake mnaitwa huku kusikiliza ujumbe wa mwanamke Mwenzenu.
Huyu ni boss ana vijisenti ila Sasa unakutana na kamwanamke choka mbaya mdomo Sasa ndio shida tupu.
Kitendo Cha wanawake kukigeuza...
......
.........
............
Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Ipo hivi.....
Jana wakati tunatoka shambani kidogo niliona mabadiliko kutoka kwa mamaenu (waifu). Alikua mtu...
Naandika hili nikiwa na hasira sana
Msaada mwenye kujua spray yeyote au sawa inayoweza chafua hali ya hewa kwa muda mfupi na kusababisha pasikalike
Au dawa ambayo ukichoma itaharibu hali ya...
Juzi nipo zangu home, nipo juu nikasikia huko Ground Floor kuna mtu anagonga mlango nikashuka ngazi fasta maana kuna ugeni nilikua nautegemea (kwa sisi masikini hatuna uwezo wa kuweka lift, ni...
Habari za humu poleni na majukumu
Kabla sijaoa nilibahatika kuwa na mahusiano tofauti na mabinti wa kigoma kwa nyakati tofauti
Wa kwanza nilikutana naye dar gongo la mboto alikuwa mtu wa kigoma...
Hivi karibuni, nilipata mualiko kwa kamchepuko kangu, ambaye anadai ana ujauzito wangu.
Ikabidi niwe mzalendo na kuamua kufunga safari mpaka mkoa aliopo.
Baada ya kufika, nikatafuta eneo la...
Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.
Je, nitakuwa nimekosea?
"Mimi nina mpenzi yaani ni kama mke tofauti ni hatujafunga tu ndoa rasmi na tuna mtoto mmoja.
Huyu binti sijui hata niseme ana wivu, sijui ni matatizo gani.
Nilimpa uhuru wote wa kushika na...
Hii kitu ni balaa sana,
Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho,
Maswali kama, "hivi...
Asalam aleykum.
Ndugu zangu hakika mke mwema ni starehe moja bora kabisa duniani hata ukiwa huna hela ila mke mwema ni kama tulizo la nafsi.
Image una maisha magumu, pesa unaipata kwa shida ila...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Asikudanganye mtu yeyote yule, pesa haina nguvu yeyote kwenye mapenzi. Pesa hainunui mapenzi, haijawahi kununua mapenzi. Pesa inaweza kununua ngono lakini kamwe...
Katika kuongelea suala zima la mapenzi ni vigumu kujua maana halisi ya mapenzi kwa maana halisi ya mapenzi ni kutokana na mtu mwenyewe anavyoona.
Lakini kwa ujumla mapenzi ni ile hali ambayo watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.