Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Natumai hamjambo wakuu Kama umewahi date na ke/me zaidi ya mmoja wanaoshare jina, karibu hapa kushare tabia zao, binafsi nimebahatika date na wana-oshare majina yafuatayao na hizi ndo tabia zao...
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Wapo vijana humu wanaojiandaa na ndoa, nawaasa vijana wa kiume, usitumie nguvu nyingi Sana kumshawishi mwanamke unayempenda ili aridhie kuwa na wewe... unaweza tumia nguvu ya pesa kumshawishi...
62 Reactions
135 Replies
8K Views
Naomba bei elekezi ya Tagged kwa mkoa wa Dar es salaam Uzi tayari
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu salaam... Naishi uswazi..ile nyumba kubanana, milio ya mafeni usiku kucha na maredio. Kutokana na mishe zangu huwa inanilazimu kurudi home kati ya saa 7 usiku au 8usiku ndio naingia ndani...
16 Reactions
40 Replies
3K Views
Ukweli katika mapenzi tumetofautiana sana kitabia na mmoja wapo asipomjua mwenzie kwa undani zaidi basi mapenzi hayo hugeuka na kuwa karaha! Kwa mfano mimi changamoto nayokumbana nayo mara nyingi...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Mbali ya ile kufumania/kufumaniwa. Inatokea paap unamkuta mupenzi wako yupo na mwengine na wana furaha na mazungumzo yalionoga ila unapotokea wanajaribu kukuchangamkia na kukujumuisha kwenye...
2 Reactions
5 Replies
324 Views
KUINGIA NDOANI NA MTU USIYEMPENDA KUTAKUZIDISHIA UPWEKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuishi mwenyewe ni kazi, kunachosha, kunakufanya uwe mpweke. Hapo Maisha yanapoteza mvuto. Lakini...
13 Reactions
45 Replies
2K Views
Inasikitisha sana aisee, Nowdays mwanamke akikuonesha kukupenda ama akikutamkia "nakupenda" usimuamini. Lengo lake anataka tu umpatie mkuyenge Kuna binti alinionesha kunipenda nikaamua kuweka...
29 Reactions
134 Replies
8K Views
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ni wiki ya nne tokea kuanza kumtia machoni. Wiki mbili tokea kumuona niliamua kumfungukia kuwa nampenda, yalinivuja maneno ya kila aina...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwa wale mlioweza kuwatoa mabinti huko vijijini na kuwaleta mjini, - kero ni zipi -raha ni zipi -mambo yapi ya kuzingatia -gharama -n.k.
3 Reactions
2 Replies
454 Views
Kila mtu ana Zamani yake. Zamani yenye kufarahisha na Kuleta kumbukumbu ya kujicheka mwenyewe samytimez. Miaka yetu tunabalehe, vijisimu vya goroka ndiyo vilikuwa vinachangamka, wale watoto...
19 Reactions
200 Replies
36K Views
Nilivyokua msichana nilikua nawaza mahusiano yangu vile yatakavyokuwa. Nilikua najiambia tutakua tunavaa sare mimi na mke wangu na watoto. Kila mwezi tunapita picha nzuri. Weekend moja moja...
7 Reactions
9 Replies
780 Views
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then...
99 Reactions
504 Replies
16K Views
Huyu mzee atakuwa ameona nini?
1 Reactions
19 Replies
763 Views
Bwana wee! Leo nikiwa zangu geto nimechili baada ya pilikapilika za week nzima si ndio nikakutana tena na hiki kituko. Ipo hivi hapa nilipo panga Kuna Binti ni pisi ya kwenda in general huyu...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa JF natumaini mmeamka salama kabisa na buheri wa afya. Pamoja katika ujenzi wa Taifa letu pendwa. Moja kwa moja kwenye mada halisi. Leo ningeomba mtazamo...
8 Reactions
506 Replies
32K Views
Hili swali naulizwa sana, “nawezaje kumfata mwanamke na kuongea naye?” mana naogopa. Mara nyingi huwa ni uoga wa utaonekanaje ukimfata alafu akakukataa. Wengine wakaniambia …haina haja ya...
5 Reactions
13 Replies
7K Views
Habari? Mimi ni baba wa watoto 2 na mke mmoja. Jumla home kwangu sasa tuko watu 7, wakubwa hasa ni Mimi na wife tu wengine ni watoto wadogo wa primary na kindergarten na wengine ni wadogo zaidi...
11 Reactions
68 Replies
3K Views
Kiroho sio Kisheria. Mwenyezi Mungu alisema wamekuwa mwili mmoja. Mnapokuwa tupu, alafu sehemu za siri zimeingiliana ndio tafsiri ya mwili mmoja hiyo. Hivyo watu wengi wana wake na waume rundo...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom