Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Rafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea...
43 Reactions
265 Replies
12K Views
Kuna imani flani imejengeka kwa vijana wenye umri kuanzia 25-35 kwamba mwanaume umri wowote anaweza kuoa hata akichelewa hamna shida ataoa it's true kuoa mwanaume lakini kupata mwanamke wa ndoto...
27 Reactions
93 Replies
13K Views
Wivu katika mapenzi ni kitu cha kawaida. Ila ukiona mpenzi wako wivu uko juu sana jua anakucheat Huyo. Kuna rafiki yangu mmoja ana wivu sana kwa mumewe, ila kwa vile nipo naye karibu najua mambo...
25 Reactions
54 Replies
5K Views
1. Kamwe usilale kwa mwanamke ambae hujamlipia ww hiyo nyumba kodi 2. Kamwe usimuachie shahawa nguo yoyote au kitambaa 3. Kamwe usitambulishe pisi ndugu yako yoyote ruksa tu kama naye baharia...
6 Reactions
10 Replies
940 Views
Unapomfanyia mpenzi wako vitu vizuri Usimfanyie ili asikuache au kukukimbia. Mfanyie kwa sababu unampenda na unataka awe mwenye furaha.
4 Reactions
16 Replies
705 Views
Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume alafu yeye hakutongozi, hua mnafanya nini?
22 Reactions
276 Replies
21K Views
Kuna Kaka yangu mmoja kutoka kwa Baba mkubwa alizaa na mwanamke mmoja miaka kama 12 hivi iliyopita. Ila hawakufanikiwa kuwa pamoja baada ya mtoto kufikisha miaka 4 mama yake alimleta kwa Baba yake...
10 Reactions
93 Replies
5K Views
Hasa kiuchumi, hata kama upo vizuri. Jifanye huna kitu, usijionyeshe, acha mbwembwe na usanii. Je, njia hii yaweza wasaidia vijana? Rejea, akufaae kwa dhiki.
29 Reactions
105 Replies
5K Views
NAMNA YA KUNASA VITOTO VYA KISHUA MSIMU HUU WA SIKUKUU Anaandika, Robert Heriel Kheri ya Christmas Wakuu! Tuachane na mambo Serious kidogo, muda wa kupoza Injini ndio huu. Wale wazee wenzangu wa...
10 Reactions
82 Replies
6K Views
Juzi kariakoo kuna mambo nilifuata. Nikiwa huko i saw this fine looking lady. Damn she is gorgeous! She's a mixed race btn asian and black i think! Aaah sijui kwa nini nimemkumbuka aisee na hata...
7 Reactions
19 Replies
998 Views
Kuna mwanamke ninaye yaani kila nikitafakari naona napigwa akinitafuta ujue anaomba hela, nikishamtumia hata kushukuru hawezi ukimwomba mapenzi ananizungusha zungusha mpaka tugombane ndio atanipa...
11 Reactions
45 Replies
3K Views
Jamani, nawapenda wote humu ndani kwa maoni, ushauri, kuelimisha, kufahamisha n.k Ukweli Tangu niingie JF sijawahi juta. Ni hivi Wananzengo,Kama UNAJIONA na kujikuta wewe huna mapungufu, wewe...
1 Reactions
3 Replies
553 Views
Toka nijiunge JF miaka kenda sijawahi kuona thread yoyote ya kutoa pongezi kuwa mwanamke/mwanaume kapata mchumba humu Jamii Forums. Huko kwenye jukwaa la love connect kuna nyuzi nyingi sana za...
15 Reactions
400 Replies
18K Views
Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa) Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima. Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi...
-1 Reactions
36 Replies
2K Views
Kama ilivyo kawaida kwenye moja na mbili nikiwa nimetulia sina hili wala lile. Nika mcheki best yangu hadija. Huyu hadija ni mwanamke ambaye tuna fahamiana tu na hatuna chambe chembe za mapenzi...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Hili limekuwa ni tatizo japo watu wengi kwenye jamii hawalitambui kabisa, ishu ya wazazi kutengana inaweza kuwa ni kuachana tu kwa kupeana taraka. Imefanya watoto wanaochwa kukosa utetezi, na...
3 Reactions
7 Replies
494 Views
Habari zenu wakuu, Kuna story leo kijiweni kwetu tulikua tunaizungumzia wadau wanadai eti mwanamke aliyekeketwa hawezi fika kileleni wala hana hamu na tendo. Je, nikweli au niuzushi tu...
1 Reactions
82 Replies
18K Views
Wakuu, Huu mchepuko wa jamaa yangu umenishangaza kidogo. Twende kwenye point. Mshikaji anafanya Biashara zake Arusha, juzi Alhamisi akanipigia kuwa anakuja Dar, alikuwa ameagiza gari zake...
20 Reactions
68 Replies
9K Views
Habari wakuu,, Tuna kijana mwezetu hapa Muislam, mashaallah kapata Binti RC na bahatinzuri Binti amekubali kubadili dini(Imani) yake ili shughuli yenye barakah(Ndoa) iweze kupitia/kufanyika...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Back
Top Bottom