Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Tunajua kumuelimsha mtoto wa kike kwa elimu bora pamoja na malezi mazuri, atakuja kuwa mkombozi bora katika familia yake. Bila kumpatia msingi mzuri wa elimu, pamoja na kumjengea hofu ya Mungu...
1 Reactions
10 Replies
729 Views
Bustani Yenye Manukato ya Furaha ya Kihisia (1886) na Muhammad al-Nafzawi , iliyotafsiriwa kwa Kingereza na Richard Francis Burton. zinazohusiana : Ngono . Miradi Dada.miradi dada : Makala ya...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Naombeni kuuliza, hasa wanawake wanaweza kuwa katika position nzuri sana. Inapotokea mume wako umemkuta na mtoto, ukakubali akakuoa na mkafanikiwa katika ndoa kupata nae mtoto...
2 Reactions
168 Replies
22K Views
Mzee wa miaka 50 ameamua kuwaita watoto wake wanne na kujilipua, watoto wake ni vijana wa kiume wenye umri wa miaka 29, 26 na wa kike wenye miaka 23 na 18. "Wanangu mimi baba yenu nataka kuoa mke...
21 Reactions
97 Replies
5K Views
Miaka kadhaa hapo nyuma nilibaatika kwenda California-san Fransisco & San Diego katika harakati za maisha nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana jinsi mahusiano ya wenzetu yalivyo Kwanza unakuta...
42 Reactions
143 Replies
7K Views
Ukiona Mama mwenye nyumba au yuyule Mama wa jirani na mume wako kila siku anakuambia kuhusu mume wako. Mara ana wanawake, kuwa makini atakuua na UKIMWI na mambo kibao. Hujawahi kumfumania mume...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za wakati huu.. Wakuu kila nikiwa na mazungumzo na wanawake wananiambia mimi ni mkali sana na ninaongea kwa msisitizo sana.. sijui tone ya sauti yangu imekaaje napo ongea nao japo mimi...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Naandika haya hii asubuhi kwa sababu ya tukio nililokutana nalo asubuhi stand, nimetoka zangu ubaruku- Mbeya narudi zangu jombe, nikiwa naingia kwenye gari ya abiria nimekutana na rafiki yangu...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari wadau Nimependa mfumo wa waarabu na wahindi jinsi ndoa zao zinavyokuwa Wazazi ndio wanawajibika kuwatafutia watoto wao Mke / Mume wanapofikia umri wa kuoa. Mfano tazama tangazo la Dr...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Toxic batchelor: Money Penny it's high time uwaambie hao madogo unaowaandikia ukweli kuhusu real love Tunasoma nyuzi zako tunacheka sana at the same time tunawahurumia Sana wanao comment Yani NI...
15 Reactions
224 Replies
12K Views
Nilikutana nae mara ya kwanza ndani ya Daladala za Mbezi mwisho .Nikamuomba namba ya simu baada ya salamu na maongezi akanipa. Tulipoachana nikampigia simu baada ya siku 2-3 nikamueleza ukweli...
47 Reactions
154 Replies
6K Views
Hivi umewahi kusikia kuwa hisia huambukizwa[emoji3480] Ndio, Hisia huambukizwa. Unadhani kwanini, Ukipokea simu ya taarifa mbaya Mzuka unaharibika? Yes, Unakuwa umeingia kwenye frequency ya...
10 Reactions
22 Replies
1K Views
Charles Paapa Kwabena Ebo Quansah David Asante Apeatu Ilikuwa ni mwaka 1998, wakati huo Nchi ya Ghana ikiwa inajiandaa na uchaguzi mkuu wa rais na wabunge wa mwaka 2000, ndipo nchi hiyo...
13 Reactions
26 Replies
5K Views
Katika dunia kuna kipindi tunapata furaha sana, Maisha yanakuwa ya amani na tunatengeneza kumbukumbu nzuri ya kuyafurahia maisha. Ila ajabu [emoji22]nyakati za furaha huwa hazidumu kabisa kwani...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Katika hali nisiyoitarajia leo nimegongana uso kwa uso na mama mwenye nyumba wangu akiwa dirishani kwangu, bila shaka alikua akinipiga chabo. Tukio hilo limenitokea mchana huu muda mchache...
8 Reactions
186 Replies
31K Views
Ni mtoto wa sister, kwa umbo lake la ubaunsa videmu vya uswahilini vinammendea sana. Sasa akatoka kimapenzi na binti mmoja huko Yombo. Sijui walifanya kwa makubaliano ya cash au ni mahaba tu...
22 Reactions
87 Replies
9K Views
wakuu Salam✋ nimetokea sana kumpenda money penny.nimekuwa nikifatilia nyuzi zake sana nimemjengea picha kichwani nimdada mmoja wamoto sana na mremboo hasa kuliko mwanamke yeyote duniani...
16 Reactions
317 Replies
8K Views
Yaani hatari juu ya hatari familia sijui imenionanaje ambayo kuna binti nimemposa nimeletewa mkeka wa mahali milioni saba ikiwemo na vikorokoro vidogo vidogo katika hesabu iliyopigwa imegonga m7...
27 Reactions
267 Replies
18K Views
Asilimia kubwa ya Wehu, vichaa na mataahira wengi tunaokutana nao barabarani ukiwachunguza vizuri utagundua hawana uvungu chini ya nyayo zao za miguu. Ukikutana mwenza ambae hana uvungu ila yuko...
34 Reactions
128 Replies
12K Views
Haya maisha ni burudani kuna wanaume masharobaro akili finyu anakuja sehemu za bata huku ana pesa mbuzi kama elfu50 tu then anavimba, anamleta demu huku haja exhaust fully likes za demu kwenye...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom