Siku hizi naona kama ndoa zimekuwa na changamoto nyinngi.siyo ndoa changa wala kongwe.siyo za matajiri wala masikini.kiwango cha ndoa zenye matatizo zimezidi kuongezeka kila kukicha.
Mbaya kuliko...
Unafikiri ipi ni maana sahihi? Msanii wa kiafrika anayechipukia kwa kasi, African Melki amehojiwa na moja ya kituo cha runinga cha mtandaoni (Online media) na kutoa maana ambayo aliifikiria huenda...
Niliandika maandishi haya nikiwa kwenye dimbwi kubwa la majonzi na huzuni, mboni zangu zikiwa zimelegea tepe kwa vundo kubwa la machozi yaliyokuwa yakitiririka muda mrefu shavuni mwangu.
Akili...
Yale maingiliano ya dunia ya kiroho na dunia isiyoonekana huthibitishwa na matokeo yake na si mchakato unaoonekana Kwa wale ndugu zangu wanaotaka ithibati za kisayansi naomba watulie wasome...
Hello ndugu zanguni
Jamani nyie upande wa pili Kaka zetu inakuwaje kuwaje unamuuliza mwanamke ambae sio mtu mpenzio kila siku iwe asubuhi, mchana au jioni (usiku)mtu anakuuliza umekula nini As if...
Hivi vitu huwezi fundishwa darasani.
•Ukiona amepunguza Kulalamika sana kaa Ukijuwa kuna wahuni wanamsikiliza.
•Ukiona amekutumia meseji ya “Nimekumiss” baada ya muda mrefu kaa ukijua...
Inashangaza sana wakuu. Nitawapa mfano:
Mke wangu anafanya kazi somewhere, hata mshahara anaoulamba ni mnono, lakini nabaki kujiuliza pesa zake huwa anapeleka wapi? Sina shida nazo, ila natamani...
Wanaume walio single wengi wanaishi wenyewe au wamepanga mtaani ndio wanaongoza kuwarubuni vijana au watoto kuwaingilia kinyume na maumbile.
Wanawadanganya kwa pesa au simu. Wanawaonesha video za...
Naitwa Edward toka Mwanza.
Nimeishi na mke wangu tuliyependana kwa dhati kwa mda wa miaka 4.
Tukabahatika kupata mtoto mmoja, kadri ya siku zilivosonga mimi nikienda kazini nae anatoka hatimae...
Habari wana Jamii forum.
Ngoja leo nilete hii kesi niliyoishuudia kwa macho yangu.
Kulikuwa na Baba mmoja na familia yake wa watoto 4, wapili ni wakiume ambae alimzaa nje na wengine 3 Wandoa...
Nilikuwa na aangalia taarifa ya habari sasa kuna mwanamama akasema akipata pesa atawasomeshea watoto wake.
Sasa hapo nikawaza kama watoto wana baba yao na ni kichwa cha familia, kwanini mama...
Hivi kwa mwanamke ni umri gani sahihi kuitwa mzee.?
Maana humu kila mtu utasikia lishangazi sasa mtu ana 32 au 34 unamwita mtu lishangazi .
Na wewe una 45 to 60 nani nilimmjomba??
Semeni tu ukweli
Aisee jamani inafikia hatua mwanadamu anauzwa kama kama nguo kwenye Gulio? Kuna msemo mmoja sisi wazaramo tunausema cheza ka ncheza yaani sio poa mwenye power ndio atavuna mpaka nimekata tamaa...
Hakika kichwa kinajieleza Moja kwa Moja niende kwenye Mada husika
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kati ya 27--30. Sijaoa lakini nipo katika mahusiano mazuri na Binti Moja wa kikinga mwenye...
Vijana wenzangu mambo mengine niya kipuuzi na kutafutiana lawama.
Unakuta kijana mzima umeamua kuishi na mwanamke kama mkeo kwa tafsiri ni kwamba ulishaona kiuchumi una mmudu huyo mwanamke na...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Chochote kinaweza kutangulia hasa Kwa wale Watu Exceptional, wateule, wenye bahati zao. Ambao Watu hao Duniani ni wachache yaani mmoja mmoja. Watu hao ndio...
Nimeona niulize huku labda naweza pata msaada wa mawazo tofauti kwa watu wanaopitia hii changamoto.
Nna ndugu yangu amesotea Diploma pale MUST Mbeya kwa miaka mitano badala ya mitatu na mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.