Demu wangu ni mlokole Jana
Amenambia hatuwezi ku-sex tena hadi tutakapofunga ndoa.
Na ukumbuke mwanzo tuki nyanduana fresh tu.
Nikirelate na hardlife nalopitia now, misoto Mimi sina hela kabsa...
Sina muda wa kupoteza, natupa kiberiti kichakani. Wa kuungua aungue wa kujisalimisha ajisalimishe.
Mungu alijua kabisa kuwa wanaume ni watu watata na wenye utawala ndani yao. Hivyo anahakikisha...
Nimekutana nae bar toka nianzishe nae mahusiano saizi ni miez miwili ajabu kwake sipajui na hataki nipajue mfano, nikiwa nae mbali nikisema tu nimuwazie yaani nimuweke kwenye mawazo yangu haipiti...
Ni hivi punde tu Rais Samia mama la mama ametangaza rasmi matokeo ya sensa tupo million 60 plus na wanawake ni wengi zaidi ya wanaume, na hapo kwenye wanaume kuna idadi kubwa ya walioleft group...
Unaanza kwa kufanya yafuatayo:-
Tenga siku nzima ya wewe kuwa na mpenzi wako
Tafuta sehemu yenye utulivu, iwe ni kwako au nyumba ya wageni n.k
Tafuta mafuta kwa ajili ya masaji
Mkiwa ndani, anza...
Mapenzi yanatakiwa yakupe furaha ya kimwili, akili na kiuchumi.
Sasa utakuta mtu ameingia kwenye mahusiano, ghafla uchumi unayumba; fedha hazipatikani tena, madeni yamekuwa mengi, kila kona...
Wanawake wamefanya kila kitu ili kuvutia macho ya wanaume... Wengine kwa waume zao, wengine kwa kila mtu. Makeup, kuchonga mwili, nguo fupi na tumbo wazi, kifua nje nje, urembo na cosmetics...
Karne zinavyozidi kwenda wanaume wamekuwa ni viumbe wanyonge sana. Unaweza kudhani ni Ngojera au hadithi maridhawa, kumbe ndio uhalisia wenyewe.
Hawa wanawake wengi wanaongoza kwa kupiga vipapai...
Mahusiano Yanaweza kudumu hata miaka 5 ila Mkishafunga Ndoa haipiti miezi miwili watu Washaachana hii inakuaga shida nini?
Wanajamvi emu tupashe Moto experience zetu za mahusiano
Je, watu...
Mke wangu ame hack simu yangu kila jambo ninalofanya anajua nifanyeje?
Mapenzi yamepungua kutokana na yeye kudai kwamba nina mawasiliano na mademu wengi.
Sasa nashindwa la kufanya ...yeye...
Kuna mlimbwende mmoja humu jukwaani, tulikuwa tunabadilisha nae mawazo ya hapa na pale.
Baada ya kutumia silaha zake za kivita, ameweza kuniingiza majaribuni na hatimaye kumfanya shetani ashinde...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kwanza niwape pole single mama katika kipindi kigumu mnachokipitia hasa pale mnapokuwa mmetelekezwa na mimba.
Hakika kipindi hiko ni kipindi...
Mapenzi ni ya wawili tuuu.. Haiwezekani mtu mmoja awapende watu wawili ilihali ana moyo mmoja ni wazi kuna mmoja atadanganywa hapo! Moyo hupokea hisia za mtu mmoja tu kwa wakati mmoja.. Umiliki wa...
Ilikuwa miaka 5 iliyopita kaka yangu upande wa Baba mkubwa. Yeye alikuwa na ndoa yake kabisa na alikuwa na watoto 2 wa kiume na wa kike. Kaka yangu yule ni mtu wa ubabe ubabe.
Sasa miaka 5...
Hivi kwenye ishu kama hii unafanyaje wakuu.
Huyu jamaa yangu wa siku nyingi (tumwite W) alikuwa na demu wake (tumwite D) wa kanda ya kati huko. Huyu binti alimpenda sana jamaa. Yaani...
Naombeni kuuliza tabia za wafipa (Wanaume), make mi nimeolewa na mfipa na tumejaliwa mtoto mmoja, lakini mwenzangu ye akinuna anaweza kaa ata siku 2 na ukipiga simu hapokei na ndani ni mnuno ila...
Kuna mambo tunayafanya ambayo sio mazuri ambayo either tunajutia au hatujutii na hatujawahi kumueleza mtu yeyote zaidi ya nafsi zetu Au mtu ambae ulieshirikiana nae. Nianze mwenyewe ku confess...
Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini.
Baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.