Wanawake wangu wanadai zinawachoma. Hakuna utofauti wa malalamiko hayo iwe nimezinyoa au nimeziachia. Kila sehemu ninayoaagusa na kidevu changu basi hutoa malalamiko hayo.
Naomba msaada!
Sina...
Habari wana Jf.
Kama tunavyo fahamu wanaume tunakuwa busy sana na maswala ya utafutaji kwaajili ya kujenga uchumi na kuwatunza tuwapendao pia ifahamike wazi tukirudi maghetoni / nyumbani unakuta...
Habari wakuu
Niliwahi kuleta uzi humu kuhusu mke wangu niliempa mtaji akafanye biashara ya duka la kuuza urembo wa kike pamoja na saloon lakini akauwa ile biashara.
Yule alikua anafanya biashara...
Unaweza ukampenda mtu kwa dhati kipindi una vihela kidogo ila ukiishiwa kabisa ndani ya muda mfupi sana unaogopa unaweza hata kuombwa hela ya bundle ukambwela,hamu na tendo kukata,kujiona comedy...
Sala hii haifungamani na Imani ya upande wowote. Sala hii ni maalumu kwa wale wanaopiga Punyeto na wale walio athiriwa na kitendo kibaya cha kupiga Punyeto
Ee Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema na...
1. Don't rape.
2. A man doesn't cook delicious food, it's gayish.
3. Two naked men are not supposed to be in the same room.
4. A bro doesn't bath with hot water, he respect his 2 eggs.
5. A...
Habari za usiku huu wakuu,
Ngoja niende kwenye point yangu, tokea niazaliwe aisee sikuwahi wa kukutana na hawa wanawake wenye jinsia zetu.
Aisee leo nimeiona duu kuna msichana nilikutana nae...
Habari JF, Sina mengi zaidi ya kumshukuru mungu na kuenjoy maisha.
Nmekutana na changamoto sana ya watu wengi kuulizia kuhusu TEGO la kumtego kipenzi au mpenzi au rafiki yako katika mausiano, je...
Mambo niaje wanaume wenzangu?
Kuna kautafiti ambako bado naendelea kukafanya kuhusu sifa za wanaume magentlemen.
Nimekuwa nikisikia wadada wengi hasa hawa wasomi na wanaoishi mjini kuwa wao...
"KIUKWELI
Nimejawa na hisia za kina za upendo ambazo zinaweza kunitoa machozi. Yeye ni nguzo ya nguvu katika maisha yangu, na kila wakati ninapofikiria jinsi alivyo wa pekee, ninahisi furaha na...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya Wana JF.
Ndugu kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo .
Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana ndani ya ndoa za siku hizi especially ndoa nyingi za kikristo...
Nawasalimu wote.
Kama mada inavyojieleza.
Mume wangu amenitaarifu anamleta rasmi mtoto wake ambae alikuwa haishi na sisi kuja kuishi na sisi. Wakati nasubiri siku ifike lazma nijiandae.i. Sina...
Wakati mwingine unakuta uhusiano baina ya wewe na mpenzi wako umeanzia mlipokutana chuoni au mlipohamishwa kikazi na kukutana kwenye mkoa mwingine,au sometimes wale wanaosoma nje ya nchi,inatokea...
Wanawake wengi wa sasa ni wapumbavu [emoji41] tunachotakiwa kufanya ni kuwachapa na kusepa tuu, maana wenyewe wanapenda sana pesa na kuishi maisha yalio nnje ya uwezo wao, kwahyo hapo lazima wauze...
Za usiku.
Nimepatwa na sintofahamu ya kuombwa namba na demu fulani hivi
Na huyo demu mwenyewe ni member kajiunga mwaka huu?
Personally nadhani huyu ni mtu fulani hivi itakuwa ananijua na hata id...
Ndugu zangu, habari yenu wakuu.
Ndugu yenu mwenye life style mbaya na mwenye kujikatia tamaa baada ya kusomesha mtoto wakike kwa lengo la kumuoa na hatimaye kunipiga chini nilijikuta nikichukia...
Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi kama vile watoto na nyinginezo nyingi.
Hata hivyo siku hizi, ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.