Kuna jambo linanitatiza sana maana nimefanya research kiasi nikuwa huko mikoani na hata nilipofika huku Dar hili nimeliona sana.
Kwa mujibu wa utafiti wangu nilioufanya kwa kiasi toka miaka ya...
Kuna mahali nilikua naishi,vjirani zangu ni mdada sasa mara kadhaa jamaa zake wamekua wanakuja na asubuhi napishana nao means hua wanalala.
Sasa najiuliza inawezekana kua comfortable kulala...
Wakuu Mimi nimepata manzi ambae ananikubali Sana ..tatizo Mimi ndio ninakosa ujasiri wa kuendelea nae...je hakuna tatizo huko mbeleni na vipi tukiwa tunatoka pamoja ktika mitoko mbalimbali wakuu...
Kungonoana au kungonoka na kufurahia tendo baada ya kujifungua inategemea zaidi na wewe mwenyewe (uponaji wako)na lini unadhani uko tayari vilevile ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mume/mpenzi...
Kibaya zaidi ni kwamba Mwenzangu huyo anaamini kwamba ni mtoto wake na anahudumia kama baba. Mtoto anamiezi kumi ivi sasa, Natamani sana niweze kumpata lkn nashindwa ni vipi nitaweza kumpata...
Siyo unambanaaa, mpaka anakosa hamu ya mahusiano kabisa. Sawa upo nae lakini kuna muda anapaswa apate wakati wa kuwa peke yake. Kuna muda mtu anakuwa na mambo yake binafsi, mawazo yake binafsi na...
Hii ni pisi moja matata kweli kweli kwanza kujibu DM sio jambo rahisi sababu kama mnavyojua pisi kali instagram huwa hazijibu dm kirahisi rahisi sabab ya usumbufu wanaoupata kutoka kwa washkaji...
Good afternoon ladies and gentlemen.
Let's get down to business.
This shit still boggles my mind.
If a girl wants and older guy it's a preference, if a guy wants a girl who is younger it's...
Wanaume tuache kuamini mwanamke eti mkeo kisa mpo kwenye ndoa unaona mimba hio na wewe unaona ni yako.
Kwani ulimuoa bikira. Sasa kama ulimuoa umekuta tobo tuu inamaana hakuwa mwaminifu kwa MUNGU...
Habari ndugu, zangu natumaini nyote wazima wa afya, week iliyopita nimeachana na mpenzi wangu niliyedumu naye, kwa miaka miwili.
Lakini baada ya kukaa siku kadhaa peke yangu nimegundua kama...
Kumekucha na makucha yake.
Akina dada, akina mama na wanawake wote wa kiafrika salam!
Msizuzuke na kampeni ya haki sawa na kuishupalia.
Hii ni project kama project zingine.
Waanzilishi siyo...
Hili ni kabila linalopatikana nyanda za juu kusini kusema za ukweli nimeona hawa wanawake wapo tofauti sana na makabila mengi wanaheshimu sana waume zao pia wanasikiliza ila wengi hawana uzuri na...
Shetani ni majini na watu.
Uzuri wa ushetani anabeba dhambi zake na kukuachia jukumu kwako ,kwa maana hakulazimishi,hakuvuti wala hakujui ,lengo lake ni kupata wenzake.
Ila siku ya siku...
Ningekuwa nikisikia eti Kuna maeneo hapa Tanzania Wana ufugaji wa fisi.
Wasukuma watani sijui niseme?
Jambo la kujiuliza TANAPA wanalichukuliaje Hilo?
Na vipi kwa Nini visiwepo vivutio vya...
Yaani mengine ni siri ila ,sasa naanza kupata wasiwasi kuwa wanaake ninaopata ni wagonjwa ,inakuwaje tupo katika heka heka nyumba ya pili wanasikia ila gafla ,kijanajike anaachia kojo zito na...
Habari wanajamvi,
Kutokana na utafiti wangu wa hapa na pale kuhusiana na wanawake nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake ambao uwezo wao ni mdogo wa kufikiri(especially hawa wa uswahilini...
Mie nina Mwanamke wa Kihehe, huyu demu namuelewa sana. Ni mwanamke fulani hivi ukimuona unasema kabisa ama kweli Mungu fundi. Mtoto mrembo sana, ila mie nina mpango wa kumuweka ndani.
Ila kabla...
Habari zenu wapendwa,
Rafiki yangu yuko matatizoni, aliolewa mwaka juzi na kubahatika kupata mtoto mmoja, kipindi chote cha uchumba wao mwanaume alimwambie (rafiki yangu) kuwa hana mtoto wa nje...
Naandika hivi nikiwa na hasira sana isiyo na kifani. Hivi hizi mtu zinafahamu gharama iliyotumika kuunda hii platform? Gharama za kufanya maboresho! (updates), au wanazungumza kama watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.