Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Siku hizi mimi sisalimiagi, twendelee
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari kaka zangu mimi mdogo wenu kwa kipindi kirefu nimekuwa Single na pia nimekuwa kwenye uhusiano na mtu kwa kipindi kirefu ila sijawahi kufanya tendo nae hata mara moja Kiufupi sijawahi...
5 Reactions
54 Replies
2K Views
Kama umebahatika kuwa na mahusiano na mwanamke ambae hajapitia misuko suko ya mahusiano utakua shuhuda. Wanawake asilimia kubwa wana mapenzi ya kweli na mioyo safi kabisa, tofauti na wanaume...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Ni hakika ndoa ni Fursa Kubwa kwa Mwanaume na kwa Mwanamke pia. Kwa MWANAUME..... una mwanamke mzuri kando yako, ni mke mwema kutoka kwa BWANA. Anakutumikia kwa kila njia kwa moyo wake wote...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Aseee hii nomaa sanaaa, em tuangalie kwa ufup tuu Mipaka inaonesha ni sehemu gani wewe uishie na ni sehem gani mtu mwingine aishie asiingie katika himaya yako Mipaka inasaidia mtu mwingn...
8 Reactions
10 Replies
1K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada nasjisikia uchungu sana ingawa yalishapita. Ipo hivi mwaka huu tarehe 26 january nilikutana na demu mmoja mkali sana anasoma IFM mimi nilikutana nae jengo la IT...
16 Reactions
73 Replies
5K Views
Nimekutana na mdada mmoja, tukaanzisha urafiki (sio wa kimapenzi). Ikafika mahali tukawa tunapiga stories nyingi tu. Mdada hajaolewa ila ana mchumba wake. Mimi nimeoa. Huyo dada huwa ananipigia...
8 Reactions
74 Replies
3K Views
We Only Fall in Love with 3 People in Our Lifetime (Each One for a Specific Reason) According to one theory, we only fall in love with three people in our lifetime. We may like many people...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Salamu zenu jamani watu wa humu...habari za kazi zenu popote mlipo..mm ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna binti nimedumu nae ktk uhusiano kwa mwaka mmoja na Kama miezi miwili hvi,huyu...
34 Reactions
176 Replies
20K Views
Mimi kanuni yangu ni moja, lazima tupime, haijalishi nitatumia condom ama lah lakini lazima tupime. Jana nimechukua mtoto mzuri innocent kabisa, sio malaya(inawezekana ni malaya underground )...
14 Reactions
107 Replies
7K Views
Jamani kwa anaejua dawa ya kumfanya mwanaume akae mbali na pisi yaani asipate zile feelings za kutamani madem naomba anisaidie pesa zangu zitaisha Uzi tayari
1 Reactions
6 Replies
535 Views
Pole kwa kuhangaika maeneo mbalimbali kwa muda mrefu sana ukinitafuta, kipenzi na mume wa maisha yako huyu hapa amepatikana, ametoka kwa Mungu. karibu sana faragha iko wazi. uliemtarajia na...
3 Reactions
19 Replies
817 Views
Kwa kipindi kirefu nimekua msomaji wa mada mbalimbali zinazohusu mahusiano na ndoa mala kadha wa kadha Nmkua nkifatilia kwa kina juu ya wale wanaokataa ndoa, kuzielewa sababu zao zinazowapelekea...
2 Reactions
4 Replies
529 Views
Wakuu nawasaalimu Hili ni janga lingine la familia, kitaifa, na dunia kwa ujumla. Limekuwa likitutafuna miongo kadhaa sasa. Unafanya uwanja wa mazoezi binti wa mtu, ukijua fika hutomuoa. Akili...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanawake ni viumbe wa kustaajabisha sana. Nakupa mifano michache kuonesha jinsi wanawake wanakuwa na double Standards kwa jambo moja lile lile dhidi waume ama wapenzi wao na ndugu zao wa kiume...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Hi ni ajabu, Huyu bi dada sijui anawawaza nini Anyway Kuna mdada mmoja nipo nae kwenye mahusiano, Japo mahusiano yetu sio yale stroong ,tunawasiliana ila sio kwa kiasi kile kuna kipindi alisema...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF na hongereni na majukumu ya kuendeleza taifa hili. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, nimekuwa nikitatizwa na hili swali kichwani na nimejaribu kuuliza watu mbalimbali hasa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wajameni Dunia hii Ina mengi sana, nimekutana na mfadhaiko mkubwa sana. Iko hivi katika pitapita zangu nimekutana na msela wangu akiwa na mademu watatu, sasa baada ya kuwajoin kuna story za...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari za j2 wana JF. Naitaji kuzumza hili kidogo kwa single mothers, Unapokuwa unatafuta mume wa kuingia nae kwenye ndoa tafuta ambaye atakubaliana na hali yako kwa sababu wewe unamtoto tayari...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom