Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wadau hope mpo pouwa juzi nilitokea wilaya ya mvomero huko madizini nikiwa na boss wangu na dereva wetu tulitoka huko madizin turiani mida ya saa kumi na mbili jioni lengo likiwa tuje kulala...
35 Reactions
145 Replies
32K Views
Naam Bila kupoteza wakati aiseee Nimejikuta Nimetumbukia mazima Kwenye penzi la Binti mmoja Kutoka Tanga ambaye ni nurse hospital Fulani Hapa Dar. Mtoto ni mrembo Haswa yani Hana kasoro yeyote...
11 Reactions
118 Replies
7K Views
Habari wana gt! Naandika kwa masikitiko sana mume wangu nimemfumania akipiga punyeto huku akilia kwa mahaba na sabuni mkononi. Kila anapohitaji nampa muda wowote Leo unafanya sex na sabuni hivi...
33 Reactions
469 Replies
85K Views
Video inajieleza. Vizuri kabisa.
2 Reactions
2 Replies
707 Views
Helo guys. Moja kwa moja kwenye mada Mimi Nina jirani yangu ambaye amenitunuku kushare nami baadhi ya Hali yake ya maisha Story ni ndefu kidogo but ntajitahidi kuikatisha. Huyu kaka anaishi na...
12 Reactions
57 Replies
6K Views
Kama header inavyojieleza,mimi ni kijana wa miaka 25 asili yangu ni Mnyakyusa lakini makazi yangu rasmi ni Dar. .Elimu:Degree .Kazi: Nimejiajiri,nina duka la simu. Natafuta mwanamke kwa ajili ya...
3 Reactions
10 Replies
979 Views
MwanaFA akisimulia njia na hadithi ngumu ya maisha yake hakika Mungu wetu ni mkubwa sana. Natumia nafasi kumuombea heri na tuzo ya milele Babu yake MwanaFA ambae ni mzaa baba yake. Tafadhari...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Naulizwa Muulizaji: money penny, unatakiwa ukae muda gani (siku/miezi mingapi) na mpenzi wako kwenye penzi jipya kabla hamjafanya mapenzi? Nisije nikalala nae mapema nikakimbiwa. Nisije...
13 Reactions
201 Replies
9K Views
Baada ya kuona warembo wetu, katika huu ukanda wetu, wengi wao ni omba omba, nikaamua nivuke mabara na mabara ili niweze kupata pisi kali matata, isiyokuwa omba omba. Kwanza nilianza kwa kutafuta...
17 Reactions
89 Replies
3K Views
Labda ni kweli amekuwa anakufikiria na hiyo ni nzuri - ikiwa yeye pia ni single hajaoa. Kabla ya kumhukumu, pima sauti yake na marudio ya uchumba. Ikiwa atasema tu pale unapokutana au kumtumia...
1 Reactions
19 Replies
981 Views
Wakuu kwema, Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali...
17 Reactions
406 Replies
16K Views
Habari wna jf naomb tupitie hii nakala fupi itatusaidia mahali🙏🤝 Ni vizur mtoto kupata mda mzur wa kupata malezi mema kutoka kwa wazazi aw walezi wake kabla dunia haijamfunza kip cha kufanya...
1 Reactions
1 Replies
358 Views
Habari wanajamii, Nimeona nielekee kwenye mlengo wa madaa husika, Nimejaribu kufanya uchunguzi sana kwenye baadhi ya mazungumzo ya hawa wanawake tulionao humu ndani ya hii forum na kubaini kuwa...
9 Reactions
298 Replies
8K Views
Ndugu wana Jf kwa heshima kubwa nawasalimu sana. Humu ndani kuna watu wa imani tofauti tafauti na kila rika kwa nafasi zao naombeni msaidie ushauri wa haraka hapa Katika pilika pilika za...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Huwa inamaanisha nini ukiona mpenzi wako kapost picha yako watsapp status halafu caption kaandika UNCLE?
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Naomba mawazo ya wazoefu wa kuinteract na Wazungu. Nahitaji msichana/mwanamke wa Kizungu awe mpenzi wangu ila sielewi nifanyeje nimpate. Nimejitahidi kwenda maeneo wanayopendelea kukaa haswa...
9 Reactions
79 Replies
8K Views
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio...
18 Reactions
228 Replies
11K Views
Kichwa cha habari chajitosheleza..wanawake wengi wasio na sura za kuvutia kuendelea kuwaangalia usoni huwa huko nyuma wamejaaliwa kalio balaa..ila wale wenye sura endelevu wengi wao nyuma ni flat...
12 Reactions
159 Replies
46K Views
Wakuu nimeandika hapa si kwa lengo la kujivunia bali nikujutia kosa nililo fanya la kumruhusu kutoa mimba zangu mbili. Ipo hivi, mwaka 2020 niliingia kwenye mahusiano mapya na binti mmoja ambaye...
11 Reactions
27 Replies
4K Views
Naamini katika pita pita zako imewahi kukutokea umepata me/ke mwenye jina la kufanana na ex wako huko mwanzo..huwa unachukuliaje hilo suala? Kuna jamaa angu mmoja amekutana amedate na ke wenye...
2 Reactions
12 Replies
625 Views
Back
Top Bottom