Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wana Jf. Nawasalim Mambo yamebadilika mahusiano ni ghali mno , hasara kwa mwanaume na mwanaume ukiendekeza chini kibunda hutosave na wala hutopata kipande cha ardhi pakuzikiwa ukifa, nashauri...
14 Reactions
56 Replies
3K Views
Wakuu niko kwenye hali ya kukataa mpaka sijui nifanye nini! Mwaka jana nilianzisha mahusiano na dada mmoja anafanya kazi hapa Dodoma. Huyu mpenzi wangu ana binti yake amemaliza kidato cha sita...
6 Reactions
152 Replies
11K Views
Ni utamduni uliozoeleka na bila shaka ni wa kimagharibi zaidi ingawa uko dunia nzima. Swali ni je, kwanini uonyeshe kuwa umeoa au umeolewa? Kuna mahala watu hatambulika kwa ndoa? Kama ni...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari, naomba msaada wenu wadau. Nina kijana wangu aliposa sehemu kwa kufuata taratibu zinazotumika, yaani katuma barua ya uchumba, ikapokelewa na kujadiliwa kisha ikakubaliwa na familia ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wakuu!! Kuna hizi Ndoto mbili za jinsia zote ni ipi kati ya:- Ndoto ya Kila ya mwanamke ni kuolewa na mwanaume mwenye Hela Na ndoto ya Kila mwanaume kuoa Mwanamke Bikira. Je ni ipi Ndoto...
0 Reactions
6 Replies
576 Views
Spend time with your child. Talk with her about her friends, her accomplishments, and what challenges she will face. Be involved with your child’s school. Go to school events; meet your child’s...
1 Reactions
4 Replies
793 Views
Namaanisha kumpiga mkeo mangumi ama kipigo kama cha mbwa mwizi ama paka shume sio poa kabisa Huwa ninasoma mabandko mengi hapa ambapo baadhi ya wanaume hujitapa jinsi walivyowatwanga wake zao na...
6 Reactions
84 Replies
3K Views
Kama kawaida yangu sikurupuki bila kufanya tafiti za kutosha, kama mnavyojua mtu ukiwa mbali na mpenzi wako mliozoeana inapelekea kuachana na inaweza kukufanya uumie endapo ukimfikilia sana...
6 Reactions
261 Replies
33K Views
1. Usidate na mtu hana kipato uwe me au ke, 2. Usidate na mtu kila saa ni anahitaji kusaidiwa 3. Usifanye kazi kwenye kampuni isiyo kubwa na isiyo yenye kipato 4. Usifanye kazi mahali mtu...
14 Reactions
56 Replies
3K Views
Ukitokea kumpenda mwanamke yeyote ambae unaona ni v.i.p sana unahisi ukitaka kumuoa wazazi wake au yeye mwenyewe hawezi kukukubalia kirahisi bas mzalize kwanza ili ukija kuhutaj kumchukua ile...
19 Reactions
52 Replies
3K Views
Relationship za siku hizi ni kama birthday party, Once the cake is eaten the party is over[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua mnafikiria mdogomdogo[emoji23][emoji23] alafu unasikia mtu...
1 Reactions
8 Replies
528 Views
Sio Kila mzazi ni Mungu wako wa Duniani wengine wanaongozwa kwa sera na itikadi za kishamba sana, kwa upande wangu na ninayoyaona naenda kupotea nyumbani kwa miaka ya kutosha na kurudi huko...
0 Reactions
4 Replies
524 Views
Wakati wa kuchagua mke anayefanya kazi, unapaswa kukubali kwamba hawezi kushughulika muda mwingi na maswala ya nyumbani Ikiwa umechagua mama wa nyumbani ambaye anaweza kukutunza wewe, kuwatunza...
57 Reactions
350 Replies
9K Views
Salute Psychological Manipulation, jinsi ya kumpata umpendae kwa kumteka kihisia na kiakili. Kwanza kabisa ili uweze tengeneza computer inakubidi uelewe jinsi mifumo na vifaa vyote vilivyomo...
31 Reactions
135 Replies
22K Views
Wadada mnachafuliwa na wakaka kila mahali hata hamna haya. Mkimaliza kuchafuliwa eti mnaenda kwenye pochi zenu babe chukua hii pesa nunua chochote unachokipenda hata haya hamna. Nimechukia mpaka...
12 Reactions
268 Replies
52K Views
Ni miaka 12 imepita Sasa toka nimalize masomo haikuwa rahisi baada ya miaka 4 ya masomo pale Dar es salaam Kwa Neema ya Mungu tukamaliza masomo Kwakweli haukuwa rahisi hasa kutokana na...
1 Reactions
4 Replies
683 Views
Imechukua muda sana kukubali kuwa sharing is giving and receiving, pia kuna kupata na kukosa na kupata tena na kukosa tena, game on. Baada kipindi kurefu cha ujinga wa wivu kwenye mapenzi na...
5 Reactions
6 Replies
669 Views
Mtu yupo kwenye utumishi wa umma kwa miaka 13, wenzake walioingia kwenye utumishi pamoja naye, tayari wana maisha yao. Huyu ndugu hamna alilolifanya, yaani hamna jambo lolote la maendeleo. Sijui...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
[emoji351][emoji351][emoji351][emoji351] Matumizi ya shahawa(sperms)katika limbwata [emoji2788]wakati wa kufanya sex andaa vitambaa viwili vya kujifutia baada ya tendo 🫵Kimoja chako na zingine...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
1 Usidate na mfanyakazi mwenzako 2 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi umri 3 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi nguvu na hela 4 Usidate na mteja wako 5 Usidate na mwanafunzi 6 Usidate na single...
25 Reactions
100 Replies
6K Views
Back
Top Bottom