Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari za asubuhi wapendwa, Enzi za ukuaji wangu, tendo la ndoa lilikuwa ni nadra sana kulipata. Wala hukuhitaji kutoa pesa! Barua tu yenye maneno mazito ya mahaba, tena iliyandikwa kwenye ruled...
2 Reactions
11 Replies
954 Views
Ukiangalia asili inakubali mwanaume kuwa wanawake wengi kwanza kuna kuzaliana mwanaume anaweza akawapa mimba hata wanawake kumi kwa kipindi kimoja ila mwanamke hawezi kubeba mimba kumi kwa mara...
1 Reactions
3 Replies
791 Views
Wanajukwaa yamenikuta, nipo Wilaya moja hv, sasa wakati nafika huku nilitfikia kwa mshikaji wangu ambapo pembeni kidogo alikuwepo dada mmoja. Kwakuwa age yangu imeenda na kwakuwa najijua mwenyewe...
5 Reactions
97 Replies
7K Views
Aliyesema kupanga ni kuchagua hakukosea Kwa mtu anaejielewa sio jambo la kukurupuka anapoamua kuchagua mtu awe Baba wa watoto wake au mtu awe Mama wa watoto wake , ni lazma akae chini asugue...
14 Reactions
54 Replies
2K Views
Jamaa alkua na ex wake wa enzi izo za sekondari anasoma, baada ya kupotezana miaka mingi, binti kamtafuta jamaa na wakaanza upya mawasiliano, mahusiano kwny simu, Kisha kupanga kukutana waonane...
19 Reactions
70 Replies
6K Views
Inauma saaana ndugu zangu. Licha ya kuwa pamoja naye katika masuala tofauti ya hapa na pale, nikimsapoti pale ninapoweza, akinisaidia kimawazo n.k Jana ndipo nilipatwa na ganzi ya mdomo baada ya...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Kwa dunia ya sasa kuna wanawake wa aina mbili. 1. Muaminifu ila mkorofi, Wivu na mgomvi..... 2. Msaliti ila mpole anakupa amani muda wote...... 3. Ni mwaminifu ila Yupo bize na kazi zake za...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Ni muda mwingine tena. Anaomba ushauri huyu rafiki yangu mwanzoni alinishauri sana nioe tufanane ila nikamwambia mimi sina kazi na siwezi mtunza mke, leo yamemkuta. "Ni miaka minne sasa tangu...
14 Reactions
104 Replies
5K Views
Ex wangu aliniacha mimi na kukimbilia kwa jamaa fulani kisa jamaa ni mtu mwenye pesa nyingi. Wakati mimi ndo nilimtowa kijijini na kumleta mjini ila cha ajabu mazuri yote haya walisau yeye na...
20 Reactions
136 Replies
13K Views
Naamua kuwafumbua macho watu wengi maana hamjui chochote, mkipata vibinti huko vijijini mnakuja kuviweka mjini viwe vifanya kazi vya ndani kumbe vimeathirika ukimwi, Ukiwa unampelekesha kwa kazi...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari kwenu, nyote Nilikuwa najiuliza kwa mfano ww ni mwanaume tajiri au una hela za kutosha,, na umri wako ni 35+ huko Lets say kwa mwezi unaingiza 87M, ila hujaoa lakini wazazi wako, na ndugu...
6 Reactions
111 Replies
7K Views
Habari za muda huu wanajumuiya ya MMU wenzangu, ni matumaini yangu kila mmoja anaendelea vyema. Katika tafakuri ya weekend leo nimewaza jinsi ambavyo ndoa zinawasumbua vijana wengi kila mmoja na...
8 Reactions
19 Replies
910 Views
Binafsi tokea nianze mahusiano na mabinti wa aina Nyingi nime experience mambo mengi sana Kuna Hawa wanawake wao wanataka antention Yako hawataki Pesa Wala nini yaani inshort hawana tamaa ya Pesa...
14 Reactions
73 Replies
3K Views
Nilizani mnaona raha aina moja kumbe kila mtu yupo na muelekeo wake,ila sasa sijui nani zange ni raha zaidi/ wadau dadavueni hadi kufikia kileleni
4 Reactions
82 Replies
4K Views
Habari, Mimi kidogo ni mfuatiliaji wa Facebook. Kuna kinachoendelea kwenye page ya jamaa mmoja anayejiita Dr. Harris Kapiga akitoa yake ya moyoni. Ameweka namba na wanawake waeleze yaliyo moyoni...
14 Reactions
67 Replies
4K Views
Nimeishiwa nguvu, Ni mambo yanayotia stress sana. Kinachoaminika kwa tamaduni zetu ni kwamba mtoto wa kike mchanga, kitovu chake kikidondokea kwenye uke wake basi ni kifungo cha uzazi, Yani...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Kuna mtoto mmoja hivi wa kishua kweli kweli alinipaga namba mwenyewe sasa baada ya ziku 3 nikaji race nikaanza kumwambia nakupenda nataka nikuoe akanitolea nje nikavunga niakendelea...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
sasa embu niambie basi wewe mpenzi msomaji ukimkumbuka ex wako unakumbuka nini? kizuri au kibaya!
4 Reactions
116 Replies
6K Views
Wapendwa, nauliza tu sio kwa ubaya kwani siku hizi wanaume wote mna watoto Yaani tangu nianze mahusiano seriously namaanisha ya Kiutu uzima natongozwa na wanaume wenye watoto Nina ex wawili...
15 Reactions
129 Replies
4K Views
Habari wana JF. Kuna Ndoa imevunjika hapa ndoa ya miaka 15. Mke alizaa kabla ya ndoa, sasa mama huyu alimficha mtoto, Huyu mtoto alikuwa anaishi na Baba yake. Mume alijua kwa mawasiliano ya...
23 Reactions
415 Replies
15K Views
Back
Top Bottom