Jamani ndungu zangu wiki iliyopita ilikuwa Weekend baada ya kupiga vitu kidogo kuna demu nilikuwa namuelewa hivyo kuna hatua tayari nilikuwa nimepiga kwake hivyo tulikua na mawasiliano na ukaribu...
Katika sheria za dini za kikiristo ni kwamba hurusiwi kuongeza mke na kifo pekee ndicho cha kuwatenganisha, kinyume na hapo ni nje ya sheria za ukristo.
Sasa inapotokea mfano mke wako ama mume...
Wanabodi habari
Iko hivi kipindi ninamuoa huyu wife nilikuwa na date na mtoto mmoja wa kihaya mashaallah. Sasa alipata ujauzito nilipofunga ndoa na wife alianza kunisumbua sana na mimba ilikuwa...
Kuna mwanamke ni mke wa mtu, anadai Ali squit mara moja tu katika maisha yake, kila nikikitananaye lazima godoro lijae maji kama ndoo yalita 10.
Cha ajab kila tukimaliza lazima aombe msamaha...
Salaam wapendwa wa JF
Nina shangazi yangu ambaye ana umri wa miaka 47, yeye ni wa mwisho kuzaliwa katika familia ya baba yetu. Jambo moja la kunishangaza ni kuwa hajawahi kuwa na mwanaume yoyote...
Husika na kichwa cha habari ..
Ninavyoandika hapa kuna mwanamke anapitia changamoto baada ya mumewe kusimamishwa kazi...
Anadai mumewe amekuwa mkali sana yaani kidogo tu anakasirika...
Amekuwa...
Mimi ni kijana wa miaka 29 nina Kilo 97 naishi ndani ya Dar, ni mkaka mweusi, mfupi kiasi. wengi wanahisi mimi ni MUHA kutoka Kigoma kulingana na weusi wangu na unene ila kiukweli mimi ni mdigo...
Ndugu wana Jf natumaini mpo salama salimini, kwa wale wenye changamoto za hapa na pale Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi sasa sawa na imani zao kwa namna yao. Amina
Yapata miezi kadha wa kadha sasa...
Ndugu zangu nimejiridhisha hakuna mwanamke anayevaa kipini puani akawa fala.
Halafu wengi wao wana miili fulani hivi kama Zuchu, kwenye kuzagamuana sasa 🙌🙌
Juzi kati nlikua baa moja ndogo kwenda kupata msosi wa jioni for 1 week mfululizo, sasa mm nikiwa kwenye kumbi za "starehe" hua napenda kuangalia inter gender interaction between male and...
Kama mada inavyojieleza.
Baada ya miaka mingi ya mvurugano na kutokua na amani ndani ya ndoa tena ndoa ya bluetooth tumeamua tutengane kila mtu aendelee na 50 zake.
Mke aliona bora anisaliti...
Kwema wakuu
Leo nilikua na miadi na pisi ikaniambia nimtumie nauli aje daah.. nikatuma tokea saa 3 asubuhi mpaka mda huu hapa pisi haijatokea na simu hapokei.
Ngoja nifanye mambo mengine tuu...
Kwa pande zote mbili
Kuna muda unamuona mwanamke (Kwa sisi wanaume) ama mwanaume (Kwa wanawake) anakuwa kwenye muonekano fulani ambao binafsi unaona noma kumtokea / kumsaundisha (Kwa ME), ama...
Siku kadhaa nyuma nlileta uzi hapa kuelezea kuhusu mke wangu niliefunga nae ndoa ya bomani na kuzaa nae watoto watatu anavyotaka tuachane kisa tu namzinguaga mara moja moja
Huyu mwanamke...
Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata...
Kuna utafiti mdg usio rasmi nmeufanya,
Asilimia kubwa ya Watu wanene sana (VIBONGE) Wana roho nzuri sana (Hawana roho mbaya,kijicho Wala husda na Cha mtu) na wana huruma sana (hasa wanawake)...
Haswa za kizazi hiki.
Usaliti umekuwa kitu cha kawaida, magomvi kama yote, wengi wanafeki furaha ila ndani kunafurukuta. Matukio ya kutisha, najiuliza walewale waliokuwa wanacheza romantic songs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.