Maneno "life begins at 40" yana maana kuwa mtu akifika umri wa miaka 40, maisha yanakuwa bora zaidi, labda kwa sababu tayari mtu keshapata skills, experiences na namna bora ya kuyafurahia maisha...
Katika maisha yangu mambo ambayo kwangu ni hatari na ambayo nayaogopa.
1. Uzinzi (uasherati)
2. Kula jasho la mtu
3. Kumuuzunisha mtu
Sijui nyie wenzengu mambo yepi kwenu mna yaogopa...
Material create God is LOVE, Mungu ni pendo.
Mapenzi ni hisia kama huna hisia njoo tukuombee.
Kuna story nimeitoa kwenye maandiko matakatifu ikieleza Mwanamke ni nani kwa Mwanaume.
Palikuwa na...
Ndugu kama kichwa cha habari kinavyo onekana.
Ni yapi mazingira ya hatari mwanaume uliyowahi kumtongoza mwanamke na wanawake watiririke ni mazingira gani ya hatari uliyowahi kutongozwa na...
Wakuu salama uko mliko? Nina miaka 2 npo huku kikaz bahati nzuri nilimkuta ndugu yng huku mtoto wa aunt yng ( rip ) nlifurahi kumkuta uku kama mwenyeji wng, ana mke na watoto wawili na ana...
Wakuu mko sawa?
Aisee nina mke mmoja na mtoto mmoja, sasa mke wangu aliniomba amlete mdogo wake huku aje ajiendeleze mambo fulani aliyokuwa ameyaanza, nlikubali kwa dhati kabisa.
Sasa shughuli...
Saikolojia yangu na hisia zangu naona zinanielekeza pabaya, yapata miezi mitatu sasa naona hali yangu ya kisaikolojia na kihisia inaelekea kwenye midoli sijui nini cha kufanya.
Ndugu , mimi ni...
Habari.
Siku naanza balehe nadhani hiki ndo kipindi ambacho binadamu anayaona na kuyaenjoi mapenzi kuliko kipindi chochote kile duniani.
Ila kwa umri tulionao hakuna binadamu aliyepita umri wa...
Achana na jini mahaba nazungumzia pepo...jini mahaba hutulizana sehemu moja na kwa sehemu kubwa jinsia yake ni kiumeni...kamwe huwezi kukuta jini mahaba lina pepo la ngono...
Jini mahaba...
Sio tu wa kuwaoa, bali hata wachumba, wapenzi au part time men. Na hii ndio sababu kuu ya kwanini wanawake wamejazana makanisani 90℅ kulinganisha na wanaume
Akili za mwanamke zinafikiri kwamba...
Na hii nayo ikatumike kama kigezo cha mke mwema mwenye faida katika familia. Usioe gogo, narudia tena, magogo yote yatumike kuchochelea shisha kwenye ma-godown
Mimi ni mtumishi wa boss katika...
Kuna huyu dada (anawatoto wawili japo mdogo), kalipiwa ada ya mafunzo ya ushonaji na mume wake, kajifunza mpaka akajua.
Picha linaanza mwalimu wake akawa anamegua kama wife, kibosi.
Haikuishia...
Habari za saa watanzania wenzangu,
Namshukuru Mungu Kwa kuzidi kuniongoza katika safari ya maisha ,Mimi ni kijana ninaye chukia sana kitu kinaitwa mchango wa harusi ,ni Bora niombe mchango wa...
Nyieee kumbe hii kitu ni kwel bwana, "Overtaking is Everywhere" [emoji17]! Tuache kusifia wapenzi/mke/ mume kwa marafiki zetu [emoji3064].
Haya mambo ya kumshirikisha rafiki yako akakuombee...
Ndugu zangu Wana Jf Habari zenu!
Mimi ni kijana wa kiume, napitia changamoto mbalimbali za kuhusiana na mahusiano yangu ya mapenzi.
Nimekuwa kwenye mahusiano kadha wa kadha, lakini yote nimekuwa...
Kutokana na changamoto ya kunenepa vidole, imepelekea pete zetu kuwa ndogo, na kuonekana kama adhabu pale tunapo zivaa.
Kwa upande wangu, ni mwaka wa sita huu huwa sivai pete ya ndoa zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.