Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Maisha ni pesa na pesa ni nguvu mojawapo ya ujasiri na kujiamini katika maisha ya mapenzi na mahusiano. Binafsi nikiwa na pesa pungufu ya Laki moja siwezi thubutu kumchokoza demu, hata kama ni...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Habari wanajf Ukijaribu kuwasikiliza wanawake wengi unakuta wanasema wanapenda wanaume wapole na ambao hawana mambo mengi sio kwamba hawapati wanaume dizaini lahasha lakini wakiwashawapata...
14 Reactions
45 Replies
3K Views
Alietairiwa na asie tairiwa/aliekeketwa na asie keketwa yupi ananogesha ? haya wapita njia mbalimbali tupeni elimu ili wakati wa ndoa tujuwe wa kuchagua.
2 Reactions
6 Replies
346 Views
Utandawazi na njia za masiliano zime rahisisha namna ya kukutana na kufahamiana na watu tofauti na njia za kizamani za hadi ukutane na mtu uso kwa uso, mfano kanisani, kongamano, bar, harusini...
2 Reactions
3 Replies
618 Views
Wakuu aisee mapenzi matamu Sana nimepita mahusiano zaidi ya 10 hatimaye NIMEMPATA MWANAMKE MWENYE MAPENZI ya kweli, Kiukweli mahusiano yana mwezi mmoja ila tayari nishanenepa Wakuu kumbe Kuna...
31 Reactions
166 Replies
7K Views
Wakuu salaam nyingi kwenu, Kama mmoja wa member wa hapa jamvini, Ninaombi langu kwenu, naishi na msichana wangu na anaujauzito now wa miezi sita sasa changamoto inakuja Mungu akijaalia akazaliwa...
4 Reactions
314 Replies
50K Views
Nina watu fulani wafupi ofisi Mate. Kitu kidogo tu kesi. Wana tabia ya kupenda uspesho fulani hivi. Yaani hakuna kilema kizuri ila ukisikia ulemavu, acha kabisa ulemavu ni maumivu makubwa sana...
6 Reactions
134 Replies
5K Views
Hii ni mojawapo ya mada zilizojaa ukakasi kuhusiana na maisha yetu ya mafanikio na dhana dhanifu mzima ya kupata. Uhalisia ama ukweli kwa muktadha wa heading hauwezi kufika asilimia 50 lakini...
24 Reactions
69 Replies
11K Views
Habari. Kumekuwa na wimbi kubwa sana la Wanawake kulalamika kutofikishwa vileleni na wapenzi wao,na lugha hii kwa sasa naona kama inaongelewa karibia na wanawake wote. Kiukweli shida ya mwanamke...
2 Reactions
5 Replies
911 Views
Ni swali tu, Biblia inasema katika kitabu Cha waefeso 6:3-1 Enyi watoto watiini wazazi wenu katika Bwana.Waheshimuni wazazi wenu Kwa kuwa hii ndyo amri ya kwanza Yenye ahadi. Lakini pia...
3 Reactions
8 Replies
869 Views
Habari za jumapili, Nikiwa na akili zangu timamu, leo tarehe 29/05/2022 nimeona nisimulie moja ya mahusiano niliyopitia kwenye maisha yangu wakati wa uschana.... Sio mazuri kusimulia sababu...
53 Reactions
210 Replies
14K Views
Habari wakuu, Nimekuwa muumini wa masturbation kwa takribani miaka mitano sasa, kiukweli punyeto ni very interesting practice haswa kwetu wanaume kama tukiachana na dhana za hapa na pale...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Mimi ni kijana na hiyo habari niliyoandika ilikuwa ni 🍵 Asanteni.
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Jamaa yangu ananioa story hapa kwamba kua utofaut mkubwa sana na lait kama vijana weng wakionja penz la hawa watoto weupe sidhan kama watachomoka. Anasema kwamba 1.kwanza hawafichi mapenz.. yaan...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Wanaume wenzangu popote mlipo wote tujipige kifua, huku tukimeza mate kupalilia kitu kinaitwa maamuzi ya kiume, kuchapiwa kunauma mno siyo demu, hapa nazungumzia MKE, aibu...
4 Reactions
40 Replies
6K Views
Mimi ni mwanamke mchumba wangu ameanza likizo ya wiki mbili tukakubaliana aje nyumbani kwangu, alikuja kwangu siku ya Jumatano, ilipofika Ijumaa asubuhi akasema anaenda kuhakiki baadhi ya nyaraka...
19 Reactions
89 Replies
4K Views
Habari wa jf. Kuna rafiki yangu mmoja alioa mwanamke mwenye mtoto tena mapacha ni wakike tupu. Ila wao wanakaa kwa Baba yao na Baba yao ashaoa na amezaa watoto 3 na mke wake huyo mwingine 1...
2 Reactions
9 Replies
829 Views
Ulishawahi kujiwekea vigezo vya huyo "ke" unayeenda kuanzisha mahusiano naye? Jiulize na jiridhishe anafanyakazi au shughuri gani ili aweze kuishi! Wengi wao hawana kipato chochote zaidi ya...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Salaam; Siyo vibaya kukumbushana mambo kadhaa katika maisha haya. Hapa simfundishi mtu jinsi ya kuishi, simzuii mtu kitu cha kufanya na wala simshawishi mtu kipi afanye. Haya twende kwenye hoja...
13 Reactions
22 Replies
2K Views
Elimu ya nyota/Unajimu (Astrology) ni elimu kama zilivyo elimu nyingine japo wapo wanaoihusianisha na imani za giza lakini fikra hio nafikiri ni potofu.Unajimu ni uhusiano wa nyota na maisha ya...
9 Reactions
74 Replies
8K Views
Back
Top Bottom