Juzi nikiwa pale Jacques Salad and restaurant, mara linaingia lishangazi na kuja kukaa karibu yangu. Likaniambia mambo, nilivyo pokea nikaliangalia si likanikonyeza, ikabidi ni smile nalo lika...
Bwana miaka ya nyuma Nikiwa zangu Tanga nishamaliza masomo afu nishafeli sielewi elewi kila kazi ninayofanya inagoma Nikaona ni vyema niongee na mama angu Ili nije dar kutafuta maisha.
Mama...
Kwema Wakuu!
Mbinu bora ya wakati wote ambayo hata mimi Taikon ninatumia kwenye mahusiano yangu ambayo nimefanikiwa na nitafanikiwa. Yaani kwenye jino kwa jino kufanikiwa sio hiyari bali lazima...
Hebu fikiria mtu anaamka saa 11 asubuhi ana andaa breakfast, anawaandaa watoto kwenda shule, anasafisha nyumba ndani, anafagia uwanja nje, anaosha vyombo, anafua nguo za familia, anapika chakula...
Salaam Wakuu,
Nimekutana na hii clip hapa chini. Je nani anapaswa kupiga goti kati ya mwanaume na mwanamke wanapovalishana pete?
Binafsi naona ni tamaduni za watu tu hizi vyoyote ni sawa...
Jamani naenda moja kwa moja .
Tabia zinazonikera kwa wanaume kiukweli kama mtabadikika basi Dunia itakuwa mahali safi na nitawapenda sana baba zangu nyie na wapenzi niwapendao.
1. Muache uchafu...
Wasalaam
Hakika DSM nimeinyooshea mkono.
Baada ya kupiga maokoto mazuri kwenye machimbo,nikaamua nije kumwagilia moyo jijini DSM.
Aisee huu mji ni balaa kuna wanawake wazuri hatari,miili...
Wasalaam,
Jamani Kwa uchache hio ni sifa nzuri ya wanawake wa kihaya hawaboi mpapaso au mtomasowao ukiwa juu kama wote huku akiviringika, naomba kwa heshima wanawake wa makabila mengine sio...
Habarini! Ijumaa njema sana, iliyonyooka.
Marafiki/machizi/wadau ni watu wazuri mno, ila kwa Bongo wengi ni vichomi mno.
Hii inanipeleka mbali na kunikumbusha wimbo wa Farid Kubanda, 'kiberiti'...
Jf .
Post ya mwisho mnisamehe mie memba mpya.
Kiukweli kama wanaume wote mngeweza kutukojoza vizuri sana nadhani dunia inggekuwa sehemu ya furaha sana kwa wanawake.
Wanaume mnatuachia shombo...
Wadau,
Kwa wanandoa tu, tupia kituko cha mwenzi wako hapa ili tucheke na kujifunza akili nyingi za wenza wetu;
Naanza...
1. Mke wangu alijidai kununa akatuma SMS kuwa anajinyonga kisa...
Habari za eid pili waungwana,
Iko hivi, nimejaliwa kuzaa watoto wawili wa kiume na bwana mmoja. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo, hatukuoana na huyo bwana. Watoto wote nilikuwa naishi...
Mwanamke huyu hapa (anaitwa Alvera) amesema anajuta sana kuwakataa wanaume wote waliotaka kumuoa akiwa kijana, sasa ana miaka 56, hawezi tena kuolewa na amekuwa mpweke sana.
Amedai kwamba...
Ukiona chuchu zako zinakuuma jua kuwa mume wako añavunja amri ya sita almaarufu Anazini na mwanamke mwingine huko aliko.
Hii hutokea pale mtoto wako anayenyonya ameamka na wewe uko mbali kidogo na...
Wakuu habari zenu wote, acha nianze kwa kucheka😁😁😁😁
Mwaka fulani nipo namtafuta binti nimtongoze nikazama moja ya account yake ya mtandao fulani. Nikamcheki tukawa tunabadilishana mawazo mara...
Kuchagua partner au wa kufanana na wewe ni uamuzi wa kibinafsi na inategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na mazingira ya familia.
Ingawa kwa uwelewa wangu historia ya familia inaweza kuwa na...
Love is a beautiful thing, but not all relationships are created equal. Sometimes, what starts as a whirlwind romance can turn into a storm that disrupts your life in ways you never expected...
Huu ni utafiti wa kweli, unaohusisha nchi hii ya TZ tu. Wanaume wengi karibu wote wa TZ wana confidence kwa wanaume wenzao tu, kwa akina dada wana sunder.
Nilipokuwa o level, nakumbuka wale...
https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj
Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi.
Short description kwa wasio na bundle;
Jamaa aliamua kumzawadia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.