Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nauliza jamani? Ina maana wake zetu hawana furaha na sisi?...Ila wanatuvumilia tu
13 Reactions
45 Replies
3K Views
Nimekopi hiki kisa! nadhani huyu ni lofa wa kwanza, huyu dada hatakaa amsahau... leteni visa vyenu, naambatanisha na picha ili kuondoa uchovu kwa wanaume,,picha haina uhusiano na mada Mwaka 2012...
18 Reactions
469 Replies
56K Views
Hakika namwombea Pumziko liliro la kheri Mwenyezi Mungu ampokee panapostaili. Niseme ukweli Baba yangu wa Ubatizo alikuwa Mtu mwema sana,wema wake niliona pale alipo kubali ombi la Bibi yangu...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu...ma broo na ma sista...Kwanza poleni na majukumu ya Kila siku... Kwa kuzingatia michango ya Wana jf member hapa...Kuna namna imenisaidia na kuweza kumla huyu demu siku ya Jana jumapili kwa...
5 Reactions
72 Replies
2K Views
Wana MMU kwema? Nikutana na hii mada sehemu, je kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii? Baadhi ya wanaume wanasema kufanya hivi ni kuanika mambo yako bila sababu ya msingi...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Huo ndio ukweli na utabakia hivyo hadi kiyama. Japo mtakuwa kila mtu na wake lakini, kuna kitu kinabakia na uhakika wake. Na unaposhindwa au mnaposhindwa mnajikuta mnaingia matatani. Yaani...
2 Reactions
6 Replies
737 Views
Hello guys. Hakuna jambo zuri na kubwa maishani upate mwanaume anayekupenda na siyo kukupenda tu, yaani akupende haswa.[emoji7][emoji7] Mungu wangu, utake nini kwa Dunia hii mwanamke...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Ndoa sio upendo ila ni kuheshimiana na kuiheshimu ndoa. Naongea na wanaume wenzangu pamoja na wanawake, kama wewe unahisi huwezi kuiheshimu ndoa basi nakushauri endelea na uhuni wako tu...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Nimeshindwa imebidi niwe nafanya kazi za nje tu ,siwezi siwezi siwezi ,nafukuzwa maana uvumilivu kusema kweli sinao ,wote nawaona warembo. Sijui wenzangu mnawezaje kuwepo maofisini na kufanya...
1 Reactions
3 Replies
580 Views
KIKAO CHA WANAUME. Kikao cha wanaume kimeisha salama jana.. Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya.. Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu🖐 Nitaifupisha kwa kadri ya uwezo wangu. Kama miezi mitano iliyopita kuna demu flani hv nilikuwa na mahusiano naye(anaishi mkoani), huyu demu alikuwa ana boyfriend wake huko mkoani...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu Ila kwa upande wangu...
8 Reactions
252 Replies
20K Views
Naandika haya hasa kwa wale ambao tumetoka familia ambazo hazieleweki na hazina kipato cha kueleweka. Ukiona haya mambo acha kuoa kabisa kwani utaendeleza umaskini kizazi hadi kizazi (...
30 Reactions
198 Replies
11K Views
kichwa cha habari cha husika
6 Reactions
188 Replies
31K Views
Nisiseme mengi, kuna clip inazagaa mwanamke mmoja anajisifia kalea mtoto kwa kutumia baba watatu na hawajuani. Yaan anamaanisha mababa watatu wamelea na kuhudumia mtoto kila mmoja akijua huyo...
6 Reactions
117 Replies
9K Views
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana! Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k. Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili? Tukiuza chini huwa...
60 Reactions
762 Replies
17K Views
Guys Kitu gani mpaka leo umejifunza katika ulimwengu wa kimahusiano/mahusiano na kimekuwa somo kubwa sana unahitaji kizazi kijacho wajifunze katika hilo. Nimejifunza kwenye mapenzi kuna usaliti...
2 Reactions
7 Replies
893 Views
Shemeji mtarajiwa anachangamoto ya kuongea uongo. Yani story moja ya uongo akibanwa anabadilisha nyingine ambayo nayo ni ya uongo, akibanwa anabalisha tena mpaka akiona yamemfika shingoni ndiyo...
4 Reactions
16 Replies
498 Views
Hii haikubaliki kabisa, kwa mtindo huu mbona tutapoteza pesa nyingi kusiko julikana, serikali mje mtuokoe huu ni utapeli wa kimahaba. Anyways: Anayejua hii saloon ilipo aseme nasisi tukaone kama...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wana jukwaaa. Weeks kama mbili zilizopita nilipata mchongo flani hivi wa kazi asa katika pitapita zangu za hapa na pale kuna kidemu nikakutana nacho nikawa nimekielewa. Si...
2 Reactions
62 Replies
3K Views
Back
Top Bottom