katika kuchakata kwangu wanawake zaidi ya 70 (si wengi sana) ambao nimewahi wasababisha watoe maji mengi /wamwage ni wanawake 13 tu. wengine walikuwa wana come kawaida ila hawamwagi maji. nliamua...
Hello babies,
Si mnakumbuka kuna siku nilikuja hapa like waaaoh, nikaleta story za kutafuta mume? You know babies basi bwana kwenye DM yangu ikamwagika weee meseji kibao zaidi ya mia mbili hivi...
Habari ndugu , samahani kwa usumbufu ila nahitaji msaada/ ufafanuzi/ ushaur katika jambo hili
Mimi Nina rafiki yangu wa kike bado anaishi nyumban kwao , yeye anaishi na bibi ake kizaa mama ,
Bas...
Mwanangu ujuwe nakuona na yale unayoyaandika na kuyavalia jezi hapa kwenye kijiwe cha mahusiano mapenzi na Unafiki.
Hivyo ni vizuri ukaachana na ukumbi huu haukufai na nakuona unavurugika akili...
Hawa jamaa wa kataa ndoa wapo sahihi kabisa yaani jamani kwenye ndoa kuna mambo ya hovyo sna aisee asikuambie mtu kabisa kqwnye ndoa kuna mambo ya hovyokupitiliza bora wakati niko single ilikuwa...
NI kutokana na SABABU zifuatazo
(1)Wanaheshimu Sana wake zao, na wanahudumia vizuri Sana.
(2) Wanaheshimu Sana dini ndio maana hata wakati wa Ramadhan Mambo mengi katika maisha hayaendi. Mfano...
Ninapenda mapenzi.
Nimekuwa addicted sana na Maisha ya mapenzi.
Kuna ka muda najiona mpweke [emoji42][emoji42][emoji42]nikikosa kitu roho inapenda.
Jamani kuna mwingine mwenye hii hali unaweza...
Habarini,
Naombeni mnisaidie, kuhusu hii tabia ya mke wangu! Sijui kama mimi ndo nina tatizo au yeye anatatizo lakini nimekuwa nikichukizwa sana na tabia yake mbali na tabia yake hiyo lakini...
Nipo na shosti hapa analalamika kuwa
Wakati Wana do na mpenzi wake, mpenzi wake akalala kifuani kwake mpaka akamuamsha
Sasa ananiuliza shida NI nini?! Mpaka mwanaume analala na haujawahi kutokea...
Nawasalimu kwa salami pendwaaa,jibu NI kazi
Iko hivi Kuna watu walipendana sàana,huku na huko wakamwita shekhee,akachoma ubani,ndoa ikafungwaaa.
Ndoa ikawajibu jamani wakapata watoto wawili...
Tukiwa kwenye msiba wa ndugu yetu, ametokea mtoto akidai ni mtoto wa marehemu. Wakati kama familia na mke wa marehemu hatukuwa na taarifa yoyote juu ya uwepo wake.
Ukimwangalia huyo mtoto ni...
Usiku au mchana na kama ni usiku iwepo taa au izimwe ,madirisha yafungwe au yawachwe wazi ,kuna mapazia.
tafadhali saidia utushauri.
Nitafarijika zikiwepo sababu na ukosoaji.
Ukizingatia...
Jamani wanawake mkuje Mara moja.
Niko na mahusiano na Mwanaume mmoja mwezi wa sita now ila hatukuwahi kufanya chochote.
Wiki iliyoisha baada ya kumpa ahadi nyingi mpenzi wangu ,nikasema ngoja...
Hizi kauli za huyu anatumia muda na pesa kujiremba, wakati ulimkuta anapendeza na unajua kupendeza huko gharama nadhani ni kupotoka kutaka kumbadilisha....; Fulani kila siku anatumia muda...
Ivi Tinder au other similar online dating Km Badoo au Bumble why mtu ana match na wewe Alafu linakaa kimya???😡😡😡😡 why alikulike Sasa? C bora angekaa kimya? Upuuzi mtupu.
Wanaume wengi miaka hii wameamua kuwa tu wanajichukulia sheria mkononi. Wanafunga goal la mkono. Unakumbuka mwaka 1984 kama sikosei.. unakumbuka?
Diego Armandos Maradonna alipiga bao la Mkono na...
Ndugu wana Jf nilipata binti aliyeonekana mwema machoni pangu ila alikua anapiga vizinga sana, katika minyanduano tofauti nilipiga kavu na sikuwa na hofu yeyote huku nikimjanza mbegu zangu ndani...
Habari ndo hiyo.
Jamani muwe munajikaguapo japo kidogo [Msiniulize mnakaguaje sasa] basi kabla hamjatia timu kwa maboy wenu.
Mbona nywele zinawashughulisha sana, huko mnashindwa nini?
Tunawapenda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.