Nawasalimu kwa jina la Dp
Ipo hivi hawa wavulana wanaolia lia mbele za wanawake wanatuzalilisha sana, Mwanaume hutakiw kuwa dhaifu mbele ya kiumbe cha kike hata awe na uzuri wa aina gani...
Wakuu heshima kwenu, tunakumbushana tu wadada/wanawake tu play part zetu Kwa waume zetu 99.9% ili wasijehamia Kwa Samantha maana keshaingia bongo na waume zetu washaanza kumnunua, naskia anajoto...
Wanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu...
Wakuu mko salama?
Jamani mimi nina mke, tatizo ambalo nimelileta kwenu ni kwamba mke wangu toka siku ya kwanza kufanya naye mapenzi basi ili afike kileleni ni lazima wakati tukiwa kwenye tendo...
Japo sio wanawake wote ila Kuna Aina flani ya wanawake kumuoneshea mwanaume wake jeuri na kiburi ni kitu cha kawaida tuu.
Wapo wanaume ambao wanafanyiwa vitu vya ajabu ajabu na wanawake zao...
Habari ya asubuhi,
Wenzangu huwa mnazoeaje haya maumivu jamani?😓😓
Yaani iko hivi, tumbo linauma kama mtu yupo tumboni anavutavuta utumbo, yaani kama yuko na kijiko anakwangua ukoko kwenye...
Wazee wanawake wengi wamekuwa wakijichua hata wakiwa wameolewa, japo hili Jambo huwa wanafanya Kwa Siri Sana, hata hivyo ni kwasababu hawajui wataonekanaje na waume zao wakigundulika wanafanya...
Wanaume hivi kwa wale wanatoa wanawake kafara wanaonaje wenzio nakwanini mnatoa watu kafara?
Rafiki yangu alikuwa anatolewa na mchumba wake kafara isingekuwa maombi kweli leo hii angeenda na...
Salaaaam wanaJamiiForums
Azimio langu ni kwamba kabla sijatimiza miaka 25 rasmi niwe ndoani, I mean miaka 25 niwe rasmi nimeshaianza ile maana halisi ya maisha na kuanza kuijenga my own family...
Wanawake tunajua mnatuombea sisi wanaume wenu, tunajua mnatupa ukakasi sana nakutupiga mizinga ya hapa na pale ili akili zetu zi chemke kusaka kibunda ila punguzeni basi.
Wanawake ndoa haijegwi...
Wasalaam!
Kila siku hapa tunasema Kataa ndoa Ndoa ni Utapeli Ndoa ni Janga kwa Mwanaume watu hawaelewi
Ni jamaa yangu wa karibu tu, alioa mwanamke akampa matunzo mazuri hadi kumsomesha...
Habari wakuu,
Twende moja kwa moja kwa mada yetu hapo juu, sasa hivi ukipita mitandaoni ni habari tu za kungonoka. Watu wanapenda habari za ngono kuliko zingine, ukiona mijadala ya kawaida na...
Ni ghafla bin vuu mida ya saa 10 jioni wakati nikiwa nje ya kibanda change cha kupatia riziki. Wamepita wakina Dada wawili wazuri sana. Wamekuwa wakinitizama kwa kuibia ibia huku wakinong'onozana...
Jamani wana jf.
Nawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti herufi kubwa wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!
Sasa naomba nianze...
Nimejaribu kutafakari ni kwanini kasi ya kupeana talaka na migogoro ya kwenye ndoa imeongezeka mara dufu katika zama hizi kuliko kipindi chochote kile na nilichokibaini ni kwamba kuna mahali...
Wakuu.
Yaani nyie wanaume mimi naona bora naendelee kuishi Maisha niliyochagua
Nawaona mmeamua kuwa pasua vichwa sio msomi, asiye na elimu hadi wa kanisani nao vile vile tu
Yaani Mtu anasema...
i hope wazima wana Jamii forum
Hivi kuna siri gani na nguvu ipi kwa wanawake wakichaga. kwanza ni wazuri wanajua kutafuta na washauri wazuri kwenye familia, na ni walezi wazuri kwa familia...
Hivi inakuaje wanawake mnakuwa watu wa kuvunja vunja mioyo ya wanaume hivoo? Wanawake mnawatesa wanaume sana hasa kwenye suala la mahusiano, mioyo ya wanaume inavunjwa bila huruma, kuna nyakati...
Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli, lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu. Mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya.
Najua wako wengi wenye hiyo changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.